×

Używamy ciasteczek, aby ulepszyć LingQ. Odwiedzając stronę wyrażasz zgodę na nasze polityka Cookie.

image

LingQ 101 - Getting Started, Kufundisha

Unaweza kufundisha katika lugha yako mama.

Unaweza kuwasaidia watu wengine kujifunza lugha yako.

Unaweza kusahihisha uandishi wa watu wengine.

Unaweza kuongea na watu wengine waliojiunga LingQ ambao wanajifunza lugha yako.

Kufundisha sio kazi ngumu.

Uliza marafiki zako, au uliza katika jukwaa, ili kujua namna ya kuwa mwalimu.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Unaweza kufundisha katika lugha yako mama. You can|teach|in|language|your|mother You can tutor in your own language. Vous pouvez enseigner dans votre langue maternelle. Você pode ensinar em sua língua materna.

Unaweza kuwasaidia watu wengine kujifunza lugha yako. You can|help|people|others|learn|language|your You can help other members learn your language. Vous pouvez aider d’autres personnes à apprendre votre langue.

Unaweza kusahihisha uandishi wa watu wengine. You can|correct|writing|of|people|others You can correct other members' writing if you want. Vous pouvez corriger les écrits des autres.

Unaweza kuongea na watu wengine waliojiunga LingQ ambao wanajifunza lugha yako. You can|talk|to|people|other|who have joined|LingQ|who|are learning|language|your You can talk to LingQ members who are learning your language. Vous pouvez parler à d'autres membres LingQ qui apprennent votre langue.

Kufundisha sio kazi ngumu. Teaching|is not|work|hard Tutoring is not difficult. Enseigner n’est pas un travail difficile. Ensinar não é uma tarefa difícil.

Uliza marafiki zako, au uliza katika jukwaa, ili kujua namna ya kuwa mwalimu. Ask|friends|your|or|ask|in|the forum|to|know|how|to be|become|teacher Ask your friends, or ask on the forum, to learn more about becoming a tutor. Demandez à vos amis, ou demandez sur le forum, comment devenir enseignant.