Nyumba ya Jumanne ni ndogo sana.
House||Tuesday||very small|
Hus||Tisdagens||mycket liten|
Das Haus am Dienstag ist sehr klein.
Brad's apartment is too small.
La maison de mardi est très petite.
Anataka kuhamia nyumba mpya.
|move to||
Er möchte in ein neues Haus umziehen.
He wants to move to a new apartment.
Anatazama picha za nyumba kwenye intaneti.
He is viewing|pictures|||on the|internet
Du tittar på|bilder||||internet
He looks at pictures of apartments on the internet.
Nyumba moja ni bei nafuu sana.
House|one|one|price|affordable|very much
||||billig|
One apartment is very cheap.
Ila imezeeka na ipo tupu.
However|has aged|and|is there|empty
|||finns där|tomt
Aber es ist alt und leer.
But it is old and empty.
Nyumba nyingine ina samani ndani yake.
|Another|has|furniture|inside it|its
|Ett annat|har|möbler||
In einem anderen Haus stehen Möbel.
Another apartment has furniture.
Ina kitanda, televisheni, na jiko.
Has|bed|||stove
|Säng|||spis
It has a bed, a TV, and a stove.
Ila, hiyo nyumba ni gharama.
However|that|||expensive
That apartment is expensive, though.
Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi.
Tuesday|decides|save|money|more money
Am Dienstag beschließt er, mehr Geld zu behalten.
Brad decides to save more money.
Namna hiyo, ataweza kuhama mwaka ujao.
That way|that way|"he will be able"|move|next year|next year
||kommer att kunna|flytta||
Auf diese Weise kann er nächstes Jahr umziehen.
Then, he can move next year.
Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Jumanne.
This||story|that|||
Here is the same story told in a different way.
Nyumba yangu ni ndogo sana.
My apartment is too small.
Ma maison est très petite.
Ninataka kuhamia kwenye nyumba mpya.
|||house|
I want to move to a new apartment.
Ninatazama picha za nyumba kwenye intaneti.
I am viewing|||house||
I look at pictures of apartments on the internet.
Nyumba moja ni bei rahisi.
||||cheap price
One apartment is very cheap.
Une maison est bon marché.
Lakini imezeeka na ni tupu.
But|has aged||it is|empty
But it is old and empty.
Nyumba nyingine ina samani ndani yake.
|another house||furniture||
In einem anderen Haus stehen Möbel.
Another apartment has furniture.
Ina kitanda, televisheni, na jiko.
It has a bed, a TV, and a stove.
Ila, nyumba hiyo ni gharama.
That apartment is expensive, though.
Ninaamua kutunza fedha zaidi.
"I decide"|save||
I decide to save more money.
Namna hiyo, nitaweza kuhama mwaka ujao.
That way||"I will be able"|||
Then, I can move next year.
Maswali.
Questions:
1) Nyumba ya Jumanne ni ndogo sana.
One: Brad's apartment is too small.
Je, nyumba ya Jumanne ni kubwa?
|||||big
Is Brad's apartment big?
Hapana, nyumba yake sio kubwa.
No, his apartment is not big.
Ni ndogo sana.
It is too small.
2) Jumanne anataka kuhamia kwenye nyumba mpya.
Two: Brad wants to move to a new apartment.
Je, Jumanne anataka kuhama?
Does Brad want to move?
Ndiyo, Jumanne anataka kuhamia kwenye nyumba mpya.
Yes, Brad wants to move to a new apartment.
3) Jumanne anatazama picha za nyumba kwenye intaneti.
Three: Brad looks at pictures of apartments on the internet.
Je, Jumanne anatazama picha za magari?
|||||cars
Does Brad look at pictures on the internet?
Hapana, Jumanne hatazami picha za magari.
|Tuesday|will not watch|||
||kommer inte att titta|||
Yes, Brad looks at pictures of apartments on the internet.
Anatazama picha za nyumba.
He looks at the pictures of the house.
4) Nyumba ya kwanza ni bei nafuu.
|||||affordable
Four: The first apartment is cheap.
Je, nyumba ya kwanza ni gharama?
Is the first apartment expensive?
Hapana, nyumba ya kwanza sio gharama.
No, the first apartment is not expensive.
Ni bei nafuu.
It is cheap.
5) Nyumba ya kwanza imezeeka na ipo tupu.
|||has aged||is|empty
Five: The first apartment is old and empty.
Je, nyumba ya kwanza imezeeka?
Is the first apartment old?
Ndiyo, nyumba ya kwanza imezeeka na ipo tupu.
Yes, the first apartment is old and empty.
6) Nyumba nyingine ina kitanda, televisheni, na jiko.
Six: The other apartment has a bed, a TV, and a stove.
Je, nyumba nyingine ina samani?
Does the other apartment have furniture?
Ndiyo, nyumba nyingine ina kitanda, televisheni, na jiko.
Yes, the other apartment has a bed, a TV, and a stove.
7) Nyumba yenye samani ni gharama.
|with|||
|med|||
7) Ein möbliertes Haus ist teuer.
Seven: The other apartment is expensive.
Je, nyumba yenye samani ni bei nafuu?
Is the other apartment cheap?
Hapana, nyumba yenye samani sio bei nafuu, ni gharama.
||with|furniture|||affordable||
No, the other apartment is not cheap, it is expensive.
8) Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi.
|decides||money|
Eight: Brad decides to save more money.
Je, Jumanne anataka kutunza fedha zaidi?
Does Brad want to save more money?
Ndiyo, Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi.
Yes, Brad decides to save more money.
9) Jumanne anaweza kuhama mwaka ujao.
Nine: Brad can move next year.
Je, Jumanne anaweza kuhama mwaka huu?
|||||this year
|||||i år
Kann der Dienstag dieses Jahr verschoben werden?
Can Brad move this year?
Hapana, Jumanne hawezi kuhama mwaka huu.
||cannot|||
||kan inte|||
No, Brad can't move this year.
Anaweza kuhama mwaka ujao.
He can move next year.
Il pourrait déménager l'année prochaine.