×

Używamy ciasteczek, aby ulepszyć LingQ. Odwiedzając stronę wyrażasz zgodę na nasze polityka Cookie.


image

LingQ Mini Stories, 15- Eliza Hana Nguvu

Johari na Eliza wanataka kupunguza uzito.

Wanataka kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi.

Ila kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama.

Hivyo wanaamua kufanya mazoezi nyumbani.

Johari anaanza kukimbia, na Eliza ananyanyua vyuma.

Ila Johari hapendi kukimbia.

Na Eliza hana nguvu.

Na pia wametingwa sana na kazi.

Hawana muda wa kufanya mazoezi.

Labda watajaribu tena wiki ijayo.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Johari.

Eliza na mimi tunataka kupunguza uzito.

Tunataka kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi.

Ila kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama.

Hivyo, tunaamua kufanya mazoezi nyumbani.

Ninaanza kukimbia, na Eliza anaanza kunyanyua vyuma.

Ila sipendi kukimbia.

Na Eliza hana nguvu.

Pia tumetingwa sana na kazi.

Hatuna muda wa kufanya mazoezi.

Labda tutajaribu tena wiki ijayo.

Maswali.

1) Johari na Eliza wanataka kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa mazoezi. Je, Johari na Eliza wanataka kufanya mazoezi? Ndiyo, wanataka kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa mazoezi.

2) Kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama. Je, kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni bei rahisi? Hapana, sio bei rahisi. Kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama.

3) Wanaamua kufanya mazoezi nyumbani, sababu ukumbi wa mazoezi ni gharama sana. Je, ukumbi wa mazoezi ni upo mbali sana nao? Hapana, ukumbi wa mazoezi haupo mbali sana nao. Ukumbi wa mazoezi ni gharama sana.

4) Johari hapendi kukimbia. Je Johari anapenda kukimbia? Hapana, Johari hapendi kukimbia.

5) Eliza anajaribu kunyanyua vyuma, lakini hana nguvu. Je, Eliza anajaribu kukimbia pia? Hapana, Eliza hajajaribu kukimbia. Anajaribu kunyanyua vyuma.

6) Eliza hana nguvu. Je, Eliza ana nguvu za kutosha kunyanyua vyuma? Hapana, Eliza hana nguvu.

7) Johari na Eliza wametingwa sana na kazi, hivyo hawana muda mwingi wa kufanya mazoezi. Je, Johari na Eliza wametingwa sana na kazi? Ndiyo, wametingwa sana na kazi, hawana muda mwingi wa kufanya mazoezi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Johari na Eliza wanataka kupunguza uzito. Johari||Eliza|"want to"|reduce|weight Johari||Eliza|vill ha|minska|vikt Mara and Emily want to lose weight. Johari et Eliza veulent perdre du poids.

Wanataka kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi. They want|to go|to the|gym hall|they|gym |||gym||gym Sie wollen ins Fitnessstudio gehen. They want to go to a gym. Ils veulent aller au gymnase.

Ila kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama. "However"|go to|to the|gym hall|of|exercise hall||costly Going to a gym is expensive, though. Mais aller à la salle de sport coûte cher.

Hivyo wanaamua kufanya mazoezi nyumbani. "Therefore"|they decide|to exercise|exercise|at home |beslutar sig för||| So, they decide to exercise at home. Ils décident donc de pratiquer à la maison.

Johari anaanza kukimbia, na Eliza ananyanyua vyuma. |"starts"|to run|||lifting weights|weights |börjar|springa|||lyfter upp|vikter Johari beginnt zu rennen und Eliza greift nach den Eisen. Mara tries to run, and Emily lifts weights. Johari se met à courir et Eliza ramasse les fers.

Ila Johari hapendi kukimbia. But||| Mara doesn't like running, though. Mais Johari n'aime pas courir.

Na Eliza hana nguvu. ||has|strength Und Eliza ist machtlos. And Emily is not very strong. Et Eliza est impuissante.

Na pia wametingwa sana na kazi. |also|are overwhelmed|a lot|and|work ||är upptagna med||| Und sie sind auch sehr arbeitslos. They are also very busy. Et ils sont également très au chômage.

Hawana muda wa kufanya mazoezi. They don't have|time to|"of"|to exercise|exercise Sie haben keine Zeit zum Sport. They don't have time to exercise. Ils n'ont pas le temps de faire de l'exercice.

Labda watajaribu tena wiki ijayo. Maybe|they will try|again|week|next |kommer att försöka|||nästa vecka Maybe they can try again next week. Peut-être qu'ils réessayeront la semaine prochaine.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Johari. ||story|that|being told|| Here is the same story told in a different way. C'est l'histoire racontée par Johari.

Eliza na mimi tunataka kupunguza uzito. |||"we want to"||weight |||vill ha|| Emily and I want to lose weight. Eliza et moi voulons perdre du poids.

Tunataka kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi. |||gym hall|| We want to go to a gym. Nous voulons aller à la salle de sport.

Ila kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama. |||||||costly Going to a gym is expensive, though. Mais aller à la salle de sport coûte cher.

Hivyo, tunaamua kufanya mazoezi nyumbani. "Therefore"|we decide||| |vi bestämmer oss||| So, we decide to exercise at home. Nous décidons donc de pratiquer à la maison.

Ninaanza kukimbia, na Eliza anaanza kunyanyua vyuma. "I am starting"|||||lift weights| Jag börjar|||||lyfta vikter| I try to run, and Emily lifts weights. Je commence à courir et Eliza commence à soulever des poids.

Ila sipendi kukimbia. However|| I don't like running, though. Mais je n'aime pas courir.

Na Eliza hana nguvu. ||does not have| And Emily is not very strong. Et Eliza est impuissante.

Pia tumetingwa sana na kazi. also|overwhelmed||| |Vi är överväldigade||| We are also very busy. Nous sommes également très isolés du travail.

Hatuna muda wa kufanya mazoezi. We don't have|||| We don't have time to exercise. Nous n'avons pas le temps de pratiquer.

Labda tutajaribu tena wiki ijayo. Maybe|we will try|again|week|next week |Vi ska försöka||| Maybe we can try again next week. Peut-être que nous réessayerons la semaine prochaine.

Maswali. Questions: Des questions.

1) Johari na Eliza wanataka kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa mazoezi. |||want|||in|gym hall|| One: Mara and Emily want to exercise at the gym. Je, Johari na Eliza wanataka kufanya mazoezi? Do Mara and Emily want to exercise? Ndiyo, wanataka kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa mazoezi. Yes||||||| Yes, they want to exercise at a gym.

2) Kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama. Two: Going to a gym is expensive. Je, kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni bei rahisi? |||||||price|cheap Is going to a gym cheap? Hapana, sio bei rahisi. |not|| No, it is not cheap. Kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama. going to a gym is expensive.

3) Wanaamua kufanya mazoezi nyumbani, sababu ukumbi wa mazoezi ni gharama sana. They decide||||because|||||| Three: They decide to exercise at home, because the gym is too expensive. Je, ukumbi wa mazoezi ni upo mbali sana nao? |||exercise hall||is it located|far away|| |||||är det||| Ist das Fitnessstudio zu weit von ihnen entfernt? Do they decide to exercise at home? Hapana, ukumbi wa mazoezi haupo mbali sana nao. |the practice hall|||is not|||and them ||||inte är|||inte heller Yes, they decide to exercise at home. Ukumbi wa mazoezi ni gharama sana. because the gym is too expensive.

4) Johari hapendi kukimbia. Four: Mara does not like running. Je Johari anapenda kukimbia? Does Mara like to run? Hapana, Johari hapendi kukimbia. No, Mara does not like running.

5) Eliza anajaribu kunyanyua vyuma, lakini hana nguvu. |is trying||||| Five: Emily tries lifting weights, but she is not very strong. Je, Eliza anajaribu kukimbia pia? Does Emily try running, too? Hapana, Eliza hajajaribu kukimbia. ||has not tried| No, Emily doesn't try running. Anajaribu kunyanyua vyuma. She tries lifting weights.

6) Eliza hana nguvu. Six: Emily is not strong. Je, Eliza ana nguvu za kutosha kunyanyua vyuma? |||||enough|to lift|weights or metal |||||tillräckligt med|| Is Emily strong? Hapana, Eliza hana nguvu. No, Emily is not strong.

7) Johari na Eliza wametingwa sana na kazi, hivyo hawana muda mwingi wa kufanya mazoezi. ||||||||||much||| |||är överväldigade av|||||||mycket||| Seven: Mara and Emily are very busy, so they don't have a lot of time to exercise. Je, Johari na Eliza wametingwa sana na kazi? Are Mara and Emily very busy? Ndiyo, wametingwa sana na kazi, hawana muda mwingi wa kufanya mazoezi. Yes||||||time|||| Yes, they are very busy, so they don't have a lot of time to exercise.