×

Używamy ciasteczek, aby ulepszyć LingQ. Odwiedzając stronę wyrażasz zgodę na nasze polityka Cookie.


image

LingQ Mini Stories, 2- Sikukuu za Majira ya Baridi Kali

David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali.

Ana likizo majira ya baridi kali.

Haitajiki kufanya kazi kwa wiki mbili.

Anataka kwenda kwenye mapumziko.

Lakini, hajui aende wapi.

Anataka kwenda Ufaransa.

Lakini Ufaransa ni gharama.

Tiketi za ndege zina bei kubwa.

Na David hajui kuongea Kifaransa.

Anaamua kusoma, kutunza pesa, na kubaki nyumbani.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na David.

Nina msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali.

Nina likizo majira ya baridi kali.

Sihitajiki kufanya kazi kwa wiki mbili.

Nataka kwenda kwenye mapumziko.

Lakini, sijui niende wapi.

Ninataka kwenda Ufaransa.

Lakini Ufaransa ni gharama.

Tiketi za ndege zina bei kubwa.

Na sijui kuongea Kifaransa.

Ninaamua kusoma, kutunza pesa, na kubaki nyumbani.

Maswali:

1) David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali. Je, David ana msisimko? Ndiyo, David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali.

2) David ana likizo majira ya baridi kali. Je, David ana muda wa ziada kipindi cha majira ya baridi kali? Ndiyo, David ana likizo majira ya baridi kali.

3) David anataka kwenda kwenye mapumziko. Je, David anataka kubaki nyumbani? Hapana, David hataki kubakia nyumbani. Anataka kwenda kwenye mapumziko.

4) David hajui aende wapi. Je, David anajua wapi aende? Hapana, David hajui wapi aende.

5) David anataka kwenda Ufaransa kwa mapumziko. Je, David anataka kwenda Ufaransa? Ndiyo, David anataka kwenda Ufaransa kwa ajili ya mapumziko yake.

6) Ufaransa ni gharama. Je, Ufaransa ni bei rahisi? Hapana, Ufaransa sio bei rahisi. Ufaransa ni gharama.

7) David hajui kuongea Kifaransa. Je, David huwa anaongea Kifaransa? Hapana, David hajui kuongea Kifaransa.

8) David ameamua kusoma Kifaransa, kutunza pesa, na kubakia nyumbani kwa mapumziko. Je, David ameamua kusoma Kifaransa? Ndiyo, ameamua kusoma Kifaransa, kutunza pesa, na kubakia nyumbani kwa mapumziko.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali. David|hat|Aufregung||für||Feiertage|für die|Winter||Kälte|harte Winterfeiern David is excited|has|excitement|for|because of|"of"|holidays|for|season|of|cold season|severe David är exalterad|har|upphetsad||||helgdagar|för|årstid||vinterkylan|stränga デイビッド|と|ワクワク|ために|ために|の|祝祭|のための|季節|のために|寒い|寒い冬 David freut sich auf die Winterferien. Dustin is excited about his winter holiday. David está emocionado por las vacaciones de invierno. デビッドは冬休みを楽しみにしています。

Ana likizo majira ya baridi kali. |Urlaub|Jahreszeiten||| She has|vacation|season||| |semester|||| |休暇|季節||寒い|厳しい寒さ Er hat Winterurlaub. He has some time off this winter. Il a des vacances d'hiver.

Haitajiki kufanya kazi kwa wiki mbili. Es ist nicht nötig|arbeiten|||Woche| Not required|to do|work|for|two weeks|two weeks Behöver inte||||vecka| ハイタジキ|する|仕事|for|週|二週間 He doesn't have to work for two weeks. No tienes que trabajar durante dos semanas. Vous n'êtes pas obligé de travailler pendant deux semaines. Je hoeft twee weken niet te werken.

Anataka kwenda kwenye mapumziko. |gehen||Urlaub "Wants to"|to go|to the|vacation Vill ha||till|Han vill ta semester. 彼は行きたい|行く|に行く|休暇 Er möchte in den Urlaub fahren. He wants to go on vacation. Quiere irse de vacaciones. Il veut partir en vacances. 彼は休暇に行きたいと思っています。

Lakini, hajui aende wapi. But|doesn't know|"go"|where to go しかし|しかし彼はどこへ行くか知らない|行くべき場所|どこ |vet inte|ska gå| Aber er weiß nicht, wohin er gehen soll. But, he is not sure where to go. Pero no sabe adónde ir. Mais il ne sait pas où aller. しかし、彼はどこへ行けばいいのか分かりません。

Anataka kwenda Ufaransa. ||France want to|行く|フランス ||Frankrike He thinks of going to France. Quiere ir a Francia.

Lakini Ufaransa ni gharama. |France|is|expensive しかし|フランス|は|高いコスト |||dyrt But France is expensive. Pero Francia es cara. しかしフランスは物価が高い。

Tiketi za ndege zina bei kubwa. Tickets|of the|airplane tickets|have|price|high Biljetter||flygplan|har|pris|högt pris 航空券|の|航空券|are|価格|高い The airplane tickets cost a lot. Los billetes de avión son caros. 航空券は高いです。

Na David hajui kuongea Kifaransa. |||sprechen| ||does not know|to speak|French language と|デイビッド|doesn't know|話す|フランス語 And Dustin doesn't speak French. Y David no sabe hablar francés. そしてデイビッドはフランス語を話すことができません。

Anaamua kusoma, kutunza pesa, na kubaki nyumbani. Er entscheidet|lesen|sparen|||zu Hause bleiben| "She decides"|to study|save money|money||stay at home|at home Hon bestämmer sig|läsa|spara|pengar||| 決定する|読む|貯金する|お金|と|残る|家 He decides to stay at home, study, and save money. Decide estudiar, ahorrar dinero y quedarse en casa. Hij besluit te studeren, geld te sparen en thuis te blijven.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na David. This is||story|that|being narrated by|| この|は|物語|その話|語られる|と|ダビデ Here is the same story told in a different way. Esta es esa historia, contada por David.

Nina msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali. |Aufregung||||||||| I have|Excitement||||holiday||seasons||cold season|severe cold weather 私は|興奮|のために|ために|yaのための|祝祭|のための|冬季|のための|寒さ|厳しい I am excited about the winter holiday. Estoy emocionado por las vacaciones de invierno. Ik heb zin in de wintervakantie.

Nina likizo majira ya baridi kali. |vacation|season|||harsh 私は|休暇||の|寒い|厳しい冬 I have some time off this winter.

Sihitajiki kufanya kazi kwa wiki mbili. nicht notwendig||||| Not required||||| Behövs inte||||| 必要なもの|働く|仕事|で|ウィキ|二 Ich muss zwei Wochen lang nicht arbeiten. I don't have to work for two weeks. No tengo que trabajar durante dos semanas.

Nataka kwenda kwenye mapumziko. "I want"||to the|vacation/holiday/break 行きたい|行く|に行く|休憩 I want to go on vacation.

Lakini, sijui niende wapi. |"I don't know"|"go"| しかし|わからない|行く|どこに I am thinking of where to go.

Ninataka kwenda Ufaransa. "I want"|"go"|France 行きたい|行くこと|フランス I want to go to France.

Lakini Ufaransa ni gharama. |||costly しかし|フランス|はしかし|高価なもの But France is expensive.

Tiketi za ndege zina bei kubwa. Tickets|||are|| チケット|のチケット|飛行機|チケットは|値段|高い Flugtickets sind teuer. The airplane tickets cost a lot.

Na sijui kuongea Kifaransa. |I don't know|| 私は|わからない|話す|フランス語 And I don't speak French.

Ninaamua kusoma, kutunza pesa, na kubaki nyumbani. I am deciding|to study|save|money||stay at home| Jag bestämmer mig|||||| 私は決める|勉強する|saving|お金|と|残る|家 Ich entscheide mich zu studieren, Geld zu sparen und zu Hause zu bleiben. I decide to stay home, study French and save money.

Maswali: Questions: 質問 Questions:

1) David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali. |has|excitement|for|for the sake||holidays||season|||severe ダビデ|と|わくわく|のために|ために|の|冬の祭り|の|季節|の|寒い|厳しい One: Dustin is excited about his winter holidays. Je, David ana msisimko? |||excitement は|デイビッド|私は|enthusiasm Is Dustin excited? Ndiyo, David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali. |||excitement|for|||holidays||seasons||| はいそうです|デイビッド|彼は|興奮|for|のため|のために|祭り|の|冬|の|寒い季節|厳しい寒さ Yes, Dustin is excited about his winter holidays.

2) David ana likizo majira ya baridi kali. ||vacation|season||| |と|休暇|季節|の|冬の|厳しい Two: Dustin has time off in the winter. Je, David ana muda wa ziada kipindi cha majira ya baridi kali? |||Zeit||zusätzlich|Zeitraum||||| |||time|"of"|extra time|period|of|season||| Is|デイビッド|持っている|時間|の|追加|期間|の|季節|もう|寒い季節| |||tid|har|||av|||| Hat David diesen Winter mehr Zeit? Does Dustin have free time in the winter? Heeft David extra tijd deze winter? Ndiyo, David ana likizo majira ya baridi kali. |デイビッド|持っている|休暇|季節|の|寒い|厳しい Yes, Dustin has time off in the winter. Sí, David tiene vacaciones de invierno.

3) David anataka kwenda kwenye mapumziko. |||to the|vacation |欲しい|行く|to the| Three: Dustin wants to go on vacation. Je, David anataka kubaki nyumbani? |||"to stay"| 私は|デイビッド|||家に Does Dustin want to stay home? Hapana, David hataki kubakia nyumbani. ||does not want|stay| いいえ|デイビッド|stay||家 ||vill inte|stanna kvar| No, Dustin does not want to stay home. Anataka kwenda kwenye mapumziko. |||breaks 行きたい|行く|に行きたい|休暇 he wants to go on vacation.

4) David hajui aende wapi. デイビッド|知らない|anakuja|どこ Four: Dustin doesn't know where to go. Je, David anajua wapi aende? ||"he knows"||"go" Does|デイビッド|彼は知っている|どこ|行くべき場所 ||vet|| Does Dustin know where to go? Hapana, David hajui wapi aende. いいえ|デビッド|知らない|どこに|行く No, Dustin doesn't know where to go.

5) David anataka kwenda Ufaransa kwa mapumziko. ダビデ|wants to|行く|フランス|for|休暇 Five: Dustin is thinking about going to France for his vacation. 5) David quiere ir de vacaciones a Francia. Je, David anataka kwenda Ufaransa? 私|デイビッド|want to|行く|フランス Is Dustin thinking about going to France? ¿David quiere ir a Francia? Ndiyo, David anataka kwenda Ufaransa kwa ajili ya mapumziko yake. はい|ダビデ|デビッドは行きたい|行く|フランス|ために|のために|はい|休暇|彼の Ja, David möchte in den Urlaub nach Frankreich fahren. Yes, Dustin is thinking about going to France for his vacation.

6) Ufaransa ni gharama. ||expensive フランス|は|費用 Six: France is expensive. 6) La France est chère. Je, Ufaransa ni bei rahisi? ||||cheap 私は|フランス|is|価格は|安い ||||billigt Ist Frankreich günstig? Is France cheap? Hapana, Ufaransa sio bei rahisi. ||is not||cheap いいえ|フランス|ではない|価格|安い ||inte|| No, France is not cheap. Ufaransa ni gharama. France||expensive フランスの|とまたはまた|高いコスト France is expensive.

7) David hajui kuongea Kifaransa. ダビデ|does not know|話す|フランス語 Seven: Dustin does not speak French. Je, David huwa anaongea Kifaransa? |||speaks| Does|ダビデ|is|話す|フランス語 Does Dustin speak French? Hapana, David hajui kuongea Kifaransa. いいえ|デイビッド|知らない|話す|フランス語 No, Dustin does not speak French.

8) David ameamua kusoma Kifaransa, kutunza pesa, na kubakia nyumbani kwa mapumziko. |has decided|||save money|||stay at home|||resting at home デイビッド|決めた|勉強する|フランス語|貯金する|お金|と|留まる|家に|ため|休暇 |har bestämt sig||||||||| Eight: Dustin decides to stay home, study French, and save money. Je, David ameamua kusoma Kifaransa? ||has decided|| あなた|デビッド|||フランス語 Does Dustin decide to stay home and study French? Ndiyo, ameamua kusoma Kifaransa, kutunza pesa, na kubakia nyumbani kwa mapumziko. |"has decided"||||||||| はい|決定した|勉強する|フランス語|節約する|お金|そして|留まる|家|のために|休暇 Yes, he decides to stay home, study French, and save money during his vacation.