×

Używamy ciasteczek, aby ulepszyć LingQ. Odwiedzając stronę wyrażasz zgodę na nasze polityka Cookie.


image

LingQ Mini Stories, 51 - Simu mpya

Juno amekuwa akitafuta simu mpya.

Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi, lakini ameshindwa kupata chochote cha bei nafuu.

Hivyo basi Juno aliamua kuangalia mtandaoni badala yake.

Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, alitumai kuwa bidhaa za mtandaoni zingekuwa nafuu zaidi.

Baada ya kutafuta na kusogeza kwa saa chache, Juno alipata simu ambayo aliipenda.

Ilikuwa karibu nusu ya bei ya nyingine, hivyo akainunua.

Anatumai itadumu kwa muda mrefu.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Mwanangu amekuwa akitafuta simu mpya.

Ametafuta maduka mengi katika eneo tunaloishi, lakini ameshindwa kupata ya bei nafuu.

Aliamua kuangalia mtandaoni badala yake.

Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, alikuwa na matumaini kwamba maduka ya mtandaoni yangemulika zaidi.

Baada ya kupekua na kuperuzi kwa saa chache, alipata simu aliyoipenda.

Ilikuwa karibu nusu ya bei ya nyingine, hivyo akainunua.

Natumai itadumu kwake kwa muda mrefu.

Maswali:

Moja: Juno amekuwa akitafuta simu mpya.

Juno amekuwa akitafuta nini?

Juno amekuwa akitafuta simu mpya.

Mbili: Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi.

Ameangalia wapi?

Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi.

Tatu: Hata hivyo, ameshindwa kupata ya bei nafuu.

Je, ameweza kupata simu ya bei nafuu?

Hapana, ameshindwa kupata ya bei nafuu.

Nne: Juno ameamua kuangalia mtandaoni badala yake.

Juno ameamua kuangalia wapi badala yake?

Juno ameamua kuangalia mtandaoni badala yake.

Tano: Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, anatumai kuwa maduka ya mtandaoni yatakuwa na bei nafuu zaidi.

Je, anaamini ununuzi wa mtandaoni?

Hapana, haamini kabisa ununuzi mtandaoni.

Sita: Baada ya kupekua na kuperuzi kwa saa chache, alipata simu anayoipenda.

Je, alitafuta na kusogeza mtandaoni kwa muda gani?

Saa chache.

Alipata simu ambayo aliipenda baada ya kuitafuta na kuperuzi kwa saa chache.

Saba: Ni karibu nusu ya bei ya zingine, kwa hivyo aliinunua.

Kwa nini aliinunua?

Kwa sababu ni karibu nusu ya bei ya zingine.

Nane: Anatumai haitavunjika kirahisi, na kwamba itadumu kwa muda mrefu.

Anatarajia nini hakitatokea?

Anatumai haitavunjika kirahisi.

Juno amekuwa akitafuta simu mpya. Juno|has been|has been searching|| Juno har letat||har letat efter|| Kevin has been looking for a new phone. Juno cherchait un nouveau téléphone.

Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi, lakini ameshindwa kupata chochote cha bei nafuu. Has searched|shops|||area he lives|he lives in||has failed|to find|anything affordable||price|affordable Har letat i|||||bor där||misslyckats||||| He has looked in many stores in the area where he lives, yet he's been unable to find anything affordable.

Hivyo basi Juno aliamua kuangalia mtandaoni badala yake. |||decided||online|"instead"| So then Kevin decided to look online instead.

Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, alitumai kuwa bidhaa za mtandaoni zingekuwa nafuu zaidi. although|does not believe|completely, entirely|online shopping|||he hoped|to be|products|||"would be"|more affordable| |tror inte|helt och hållet|onlineköp||||||||skulle vara|| ||||||||productos en línea||||| Even though he doesn't really trust online shopping, he hoped that online products would be more affordable.

Baada ya kutafuta na kusogeza kwa saa chache, Juno alipata simu ambayo aliipenda. ||||move closer||hours|few hours||found|phone|which|"he liked it" ||||flytta runt||||||||gillade den After searching and scrolling for a few hours, Kevin found a phone that he liked.

Ilikuwa karibu nusu ya bei ya nyingine, hivyo akainunua. |close|half||price||another one||bought it ||||||||köpte den It was about half the price of the others, so he bought it.

Anatumai itadumu kwa muda mrefu. He/She hopes|it will last||| |vara länge||| He hopes it will last a long time.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti. Here is the same story told in a different way.

Mwanangu amekuwa akitafuta simu mpya. my son|||| My son has been looking for a new phone.

Ametafuta maduka mengi katika eneo tunaloishi, lakini ameshindwa kupata ya bei nafuu. |||||we live in||has failed|||| |||||vi bor i|||||| He has looked in many stores in the area where we live, but he hasn't been unable to find an affordable one.

Aliamua kuangalia mtandaoni badala yake. He decided to look online instead.

Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, alikuwa na matumaini kwamba maduka ya mtandaoni yangemulika zaidi. |doesn't believe||online shopping|||||high hopes|||||would highlight more| ||||||||förhoppningar|||||skulle belysa mer| Even though he doesn't really trust online shopping, he was hoping that the online stores would be more affordable.

Baada ya kupekua na kuperuzi kwa saa chache, alipata simu aliyoipenda. ||searching through||browsing|||few hours|he found||he liked ||genomsöka||surfa på nätet|||||| After searching and scrolling for a few hours, he found a phone that he liked.

Ilikuwa karibu nusu ya bei ya nyingine, hivyo akainunua. It was||half||||||"he bought it" It was about half the price of the others, so he bought it.

Natumai itadumu kwake kwa muda mrefu. I hope|last|with him/her||| I hope it'll last him a long time.

Maswali: Questions:

Moja: Juno amekuwa akitafuta simu mpya. One: Kevin has been looking for a new phone.

Juno amekuwa akitafuta nini? What has Kevin been looking for?

Juno amekuwa akitafuta simu mpya. Kevin has been looking for a new phone.

Mbili: Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi. Two: He has looked in many stores in the area where he lives.

Ameangalia wapi? Where has he looked?| Var har hen tittat?| Where has he looked?

Ametafuta maduka mengi katika eneo analoishi. |stores|many shops|in|area|he lives in He has looked in many stores in the area where he lives.

Tatu: Hata hivyo, ameshindwa kupata ya bei nafuu. Three|||has failed|||| Three: Nonetheless, he's been unable to find an affordable one.

Je, ameweza kupata simu ya bei nafuu? |"Has managed"||||| |har lyckats med||||| Has he been able to find an affordable phone?

Hapana, ameshindwa kupata ya bei nafuu. No, he's been unable to find an affordable one.

Nne: Juno ameamua kuangalia mtandaoni badala yake. Four||has decided|||| Four: Kevin has decided to look online instead.

Juno ameamua kuangalia wapi badala yake? Where has Kevin decided to look instead?

Juno ameamua kuangalia mtandaoni badala yake. Kevin has decided to look online instead.

Tano: Ingawa haamini kabisa ununuzi wa mtandaoni, anatumai kuwa maduka ya mtandaoni yatakuwa na bei nafuu zaidi. |although|does not believe||online shopping||||||||"will be"|"and"||| ||||||||||||kommer att vara|||| Five: Even though he doesn't really trust online shopping, he hopes online stores will be more affordable.

Je, anaamini ununuzi wa mtandaoni? |"Does he/she believe"||| |tror på||| Does he trust online shopping?

Hapana, haamini kabisa ununuzi mtandaoni. No, he doesn't really trust online shopping.

Sita: Baada ya kupekua na kuperuzi kwa saa chache, alipata simu anayoipenda. |||searching through||browsing|||few hours|||"she likes" |||||||||||gillar den Six: After searching and scrolling for a few hours, he found a phone that he likes.

Je, alitafuta na kusogeza mtandaoni kwa muda gani? |||move around|||| How long did he search and scroll online?

Saa chache. A few hours.

Alipata simu ambayo aliipenda baada ya kuitafuta na kuperuzi kwa saa chache. ||||||searching for it||browsing||| ||||||leta efter||||| He found a phone that he liked after searching and scrolling for a few hours.

Saba: Ni karibu nusu ya bei ya zingine, kwa hivyo aliinunua. |||half||price||other ones|||he bought it ||||||||||köpte den Seven: It's about half the price of the others, so he bought it.

Kwa nini aliinunua? ||he bought it Why did he buy it?

Kwa sababu ni karibu nusu ya bei ya zingine. ||||||price|| Because it's about half the price of the others.

Nane: Anatumai haitavunjika kirahisi, na kwamba itadumu kwa muda mrefu. ||won't break easily|easily|||last long||| ||inte går sönder|lätt|||||| Eight: He hopes it won't break easily, and that it will last a long time.

Anatarajia nini hakitatokea? ||will not happen ||inte kommer hända What does he hope won't happen?

Anatumai haitavunjika kirahisi. |won't break easily|easily |No se romperá|fácilmente He hopes it won't break easily.