Joseph anafanya kazi ofisini.
Joseph|works|job|in the office
James works in an office.
Joseph trabaja en una oficina.
Joseph travaille dans un bureau.
Ametingwa sana na kazi kila siku.
is busy|a lot||||
Er ist jeden Tag sehr beschäftigt mit der Arbeit.
He is very busy every day.
Está muy ocupado con el trabajo todos los días.
Il est très occupé par son travail chaque jour.
Hij is elke dag erg druk met zijn werk.
Huwa ana vikao vingi na wateja wake.
He usually|has|meetings|many|with|clients|his
Er hat viele Sitzungen mit seinen Kunden.
He has many meetings with his customers.
Tiene muchas sesiones con sus clientes.
Hij heeft veel sessies met zijn cliënten.
Joseph huwa hapendi vikao hivi.
Joseph|usually|does not like|meetings|these
James does not like these meetings.
Huwa anafikiri kwamba vinaboa sana.
He usually|thinks|that|they are boring|very
Er findet sie immer sehr langweilig.
He thinks they are very boring.
Siempre piensa que son muy aburridos.
Baadhi ya wateja ni wakarimu kwa Joseph.
Some|of|customers|are|generous|to|Joseph
Einige Kunden sind Joseph gegenüber großzügig.
Some customers are friendly to James.
Sommige klanten zijn genereus tegenover Joseph.
Ila, baadhi ya wateja sio wakarimu.
But|some|of|customers|are not|generous
Some customers are not nice, though.
Sin embargo, algunos clientes no son generosos.
Joseph huwa anachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana.
Joseph||takes|breaks|long|time|of|meal|of|lunch
James takes long lunch breaks.
Anaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja.
He can|go|home|o'clock|ten|and|one
He can go home at five.
Puede volver a casa a las once.
Huwa anasubiri kila siku saa kumi na moja ifike.
He usually|waits|every|day|hour|ten|and|one|arrives
Er wartet jeden Tag auf elf Uhr.
He waits every day for five to come.
Espera todos los días a que lleguen las once.
Hij wacht elke dag tot elf uur voordat hij arriveert.
Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Joseph.
This|is|story|that|narrated|by|Joseph
Here is the same story told in a different way.
Esta es esa historia, contada por José.
Ninafanya kazi ofisini.
I work|work|in the office
I work in an office.
Huwa nimetingwa sana na kazi kila siku.
I am usually|overwhelmed|very|by|work|every|day
I am very busy every day.
Huwa nina vikao vingi na wateja wangu.
I usually|have|meetings|many|with|clients|my
I have many meetings with my customers.
Sivipendi vikao hivi.
I don't like|meetings|these
I do not like these meetings.
Ninafikiria kwamba vinaboa sana.
I think|that|they are boring|very
I think they are very boring.
Baadhi ya wateja ni wakarimu kwangu.
Some|of|customers|are|generous|to me
Some customers are friendly to me.
Algunos clientes son amables conmigo.
Ila, baadhi ya wateja sio wakarimu.
But|some|of|customers|are not|generous
Some customers are not nice, though.
Huwa ninachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana.
I usually|take|breaks|long|time|of|meal|of|lunch
I take long lunch breaks.
Ninaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja jioni.
I can|go|home|o'clock|ten|and|one|evening
Ich kann um 17 Uhr nach Hause gehen.
I can go home at five.
Huwa ninasubiri kila siku saa kumi na moja ifike.
I usually|wait|every|day|hour|ten|and|one|to arrive
I wait every day for five to come.
Maswali.
Questions
Questions:
1) Joseph anafanya kazi ofisini.
Joseph|works|job|in the office
One: James works in an office.
Je, Joseph anafanya kazi shuleni?
question particle|Joseph|does he do|work|at school
Does James work at a school?
Hapana, Joseph anafanya kazi ofisini.
No|Joseph|works|job|in the office
No, James works in an office.
2) Joseph huwa ametingwa sana na kazi kila siku.
Joseph|is|overwhelmed|very|by|work|every|day
Two: James is very busy every day.
Je, Joseph ametingwa sana na kazi?
Is James very busy?
Ndiyo, Joseph ametingwa sana na kazi kila siku.
Yes|Joseph|is overwhelmed|very|by|work|every|day
Yes, James is very busy every day.
3) Joseph huwa ana vikao vingi na wateja wake.
Joseph|usually|has|meetings|many|with|clients|his
Three: James has many meetings with his customers.
Je Joseph huwa ana vikao vichache?
|||||few
Does James have a few meetings?
Hapana, Joseph huwa ana vikao vingi na wateja wake.
No|Joseph|||meetings|many|and|clients|his
No, James has many meetings with his customers.
4) Joseph huwa anafikiri kwamba vikao vinaboa.
Joseph||thinks|that|meetings|are boring
Four: James thinks the meetings are boring.
Je, Joseph anafikiri vikao vinaboa?
||thinks|meetings|are boring
Does James think the meetings are boring?
Ndiyo, Joseph huwa anafikiri vikao vinaboa.
Yes|Joseph|usually|thinks|meetings|are boring
Yes, James thinks the meetings are boring.
5) Baadhi ya wateja ni wakarimu.
Some|of|customers|are|generous
Five: Some of the customers are friendly.
Je, wateja wote ni wakarimu?
||all||
Are all the customers friendly?
Hapana, baadhi ya wateja ni wakarimu.
No|some|of|customers|are|generous
No, some of the customers are friendly.
6) Joseph huwa anachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana.
Joseph||takes|breaks|long|time|of|meal|of|lunch
Six: James takes long lunch breaks.
Je, Joseph huwa anachukua mapumziko mafupi muda wa chakula cha mchana?
question particle|Joseph||takes|breaks|short|time|of|meal|of|lunch
Does James take short lunch breaks?
Hapana, huwa hachukui mapumziko mafupi.
No||he doesn't take|breaks|short
No, he does not take short breaks.
Huwa anachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana.
He usually|takes|breaks|long|time|of|meal|for|lunch
He takes long lunch breaks.
7) Joseph anaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja jioni.
Joseph|can|go|home|hour|ten|and|one|evening
Seven: James can go home at five.
Je, Joseph anaweza kwenda nyumbani saa kumi?
question particle|Joseph|can|go|home|hour|ten
Can James go home at four?
Hapana, anaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja.
No|he can|go|home|hour|ten|and|one
No, he can go home at five.