Sawa, lakini nina shughuli.
|||activity
OK but I am busy.
Unahitaji kuharakisha.
You need|hurry up
You had better hurry.
Tafadhali subiri.
|wait
Please wait.
Nahitaji sana msaada wako.
I need||help|
I really need you to help me.
Siwezi kutumia siku nzima nikijibu tu maswali yako.
|spend||whole day|while answering|||
I cannot spend the whole day just answering your questions.
Sijali ikiwa nitapata tiketi ya maegesho.
I don't care|if|I will get|||parking
I do not care if I get a parking ticket.
Nataka unisaidie.
I want you to help me.
Na je ingekuwa ndugu yako?
||if it were||
What if it were your brother?
Ungekuwa katika hali sawa na mimi.
you would be||state|||
You would be in the same situation as me.
Naam, nimeelewa.
|I understand
Well, get to the point.
Unataka kujua nini?
What do you want to know?
Na ningekupa dola mia moja?
|I would give you|dollars|one hundred|
What if I gave you one hundred dollars?
Je! Ungenisaidia kujua zaidi kuhusu kile ndugu yangu na mwenzake wanafanya?
question marker|help me||more|about|that||||his partner|
Would you help me find out more about what my brother and his roommate are doing?
Unataka nimpeleleze ndugu yako?
|I will spy on||
You want me to spy on your brother?
La, siwezi kufanya hilo.
that|||
No, I will not do that.
Sio haki kwa ndugu yako.
|justice, fairness|||
It is not fair to your brother.
Na nikikupa dola mia tano, je, utafanya hivyo?
|I give you|||||do that|
What if I give you five hundred dollars, would you do it then?
Hilo ni jambo lingine.
||thing|another thing
That is a different story.
Bila shaka sifai kufanya hivyo, lakini kwa dola mia tano naweza kufanya hivyo.
Without|without a doubt|certainly||that||||||||
Of course I really should not do it, but for five hundred dollars, I might be willing to do it.
Vizuri, Sasa nafahamu aina ya mtu nafanya kazi naye..
||understand||||I work with||with whom
Good, Now I know the kind of person I am dealing with.
Unamaanisha nini kwa hilo?
you mean|||
What do you mean by that?
Wataka msaada wangu au la?
want||||or not
Do you want my help or not?
Ndiyo, nataka msaada wako.
Yes I want your help.