×

Używamy ciasteczek, aby ulepszyć LingQ. Odwiedzając stronę wyrażasz zgodę na nasze polityka Cookie.


image

Who is She?, 19- Kila Kitu Ni Shwari

Sawa, nitafanya kile unachotaka.

Hakifai lakini nitafanya.

Naam, nimepata wazo.

Kuna mtu yeyote nyumbani sasa?

La, wote wawili wako nje.

Wazo lako ni lipi?

Watarudi lini?

Atarudi leo usiku sana.

Anacheza gofu pamoja na marafiki zake.

Na msichana naye?

Anapaswa kurudi kutoka kazini baada ya saa moja hivi.

Kwa hiyo tuna saa moja kabla ya msichana kurudi.

Unamaanisha nini?

Sipendi kile ninachosikia.

Usijali, Hebu nishughulike na hilo.

Kila kitu ni shwari.

Najua unachowaza na sikipendi kabisa.

Subiri kidogo.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Sawa, nitafanya kile unachotaka. |||you want OK, I will do what you want.

Hakifai lakini nitafanya. It doesn't fit|| I really shouldn't but I will.

Naam, nimepata wazo. name|I have found|idea Hey, I just thought of something.

Kuna mtu yeyote nyumbani sasa? ||any||now Is anyone home right now?

La, wote wawili wako nje. ||||outside No, they are both out.

Wazo lako ni lipi? Idea|||which idea What do you mean by that?

Watarudi lini? will they return|when When will they be back?

Atarudi leo usiku sana. will return||| He will be back late tonight.

Anacheza gofu pamoja na marafiki zake. playing golf|golf|together with||| He is playing golf with his friends.

Na msichana naye? ||with her What about her?

Anapaswa kurudi kutoka kazini baada ya saa moja hivi. Should|return||work|||||about She should be back from work in an hour.

Kwa hiyo tuna saa moja kabla ya msichana kurudi. ||we have|||before||| We have one hour before the girl comes back.

Unamaanisha nini? do you mean| What do you mean?

Sipendi kile ninachosikia. ||I hear I don't like what I am hearing.

Usijali, Hebu nishughulike na hilo. ||let me handle|| Don't worry, Just leave it to me.

Kila kitu ni shwari. |||Everything is fine. Everything will be all right.

Najua unachowaza na sikipendi kabisa. |you're thinking||I don't like it| I know what you are thinking and I don't like it one bit.

Subiri kidogo. wait| Just wait a minute.