×

Używamy ciasteczek, aby ulepszyć LingQ. Odwiedzając stronę wyrażasz zgodę na nasze polityka Cookie.


image

Who is She?, 3- Yeye Ni Nani?

Nataka tu kujua.

Sasa nimemfahamu unayemzungumzia.

Ndugu yako anafanana na wewe.

Anaishi kwenye ghorofa ya tano.

Kuna mtu yeyote anaishi na ndugu yangu?

Ndiyo.

Nani anaishi na ndugu yangu?

Kuna msichana anayeishi na ndugu yako.

Yeye ni nani?

Tafadhali nieleze kuhusu yeye.

Siwezi kukueleza yeye ni nani.

Mbona usimuulize ndugu yako?

Nataka kujua ni nani.

Nashangaa ni nani.

Samahani, siwezi kukueleza yeye ni nani.

Ndugu yako atakueleza ikiwa anataka.

Nina hakika unajua lakini hutaki kunieleza.

Si lazima nikueleze.

Sidhani kama natakiwa kukueleza.

Lakini unaweza kunieleza ikiwa unataka.

Unapaswa kunieleza.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Nataka tu kujua. "I want"|just|to know I just want to know.

Sasa nimemfahamu unayemzungumzia. Now|I understand him.|you are talking about |he entendido| Now I know who you mean.

Ndugu yako anafanana na wewe. Your sibling||looks like||you Your brother looks like you.

Anaishi kwenye ghorofa ya tano. "She lives"|on the|floor|of the|fifth floor ella vive|||| He lives on the fifth floor.

Kuna mtu yeyote anaishi na ndugu yangu? "Is there"|person|"anyone"|lives with|and|brother or sister| Does anyone live with my brother?

Ndiyo. Yes.

Nani anaishi na ndugu yangu? Who|||| Who lives with my brother?

Kuna msichana anayeishi na ndugu yako. |girl|who lives||| There is a girl who lives with your brother.

Yeye ni nani? Who is she?

Tafadhali nieleze kuhusu yeye. Please|explain to me|about|him/her/them Please tell me about her.

Siwezi kukueleza yeye ni nani. "I can't"|"to explain to"|who he/she is|"is"|who he is I cannot tell you who she is.

Mbona usimuulize ndugu yako? Why don't|"ask him"|brother|your Why don't you ask your brother?

Nataka kujua ni nani. "I want"||| I want to know who she is.

Nashangaa ni nani. I wonder who.|| I wonder who she is.

Samahani, siwezi kukueleza yeye ni nani. Sorry|"I can't"|"to tell you"||| I am sorry, I cannot tell you who she is.

Ndugu yako atakueleza ikiwa anataka. ||He will explain|if he wants|wants to Your brother will tell you if he wants to.

Nina hakika unajua lakini hutaki kunieleza. |sure|"you know"|"but"|"you don't want"|tell me I am sure you know but just don't want to tell me.

Si lazima nikueleze. It is not|necessary|"explain to you" I do not have to tell you.

Sidhani kama natakiwa kukueleza. I don't think|if|"I have to"|"to explain to you" |||explicarte I do not think I should tell you.

Lakini unaweza kunieleza ikiwa unataka. "But"|"you can"|tell me|if|"you want" But you could tell me if you wanted to.

Unapaswa kunieleza. You should|tell me You must tell me.