×

Używamy ciasteczek, aby ulepszyć LingQ. Odwiedzając stronę wyrażasz zgodę na nasze polityka Cookie.


image

Who is She?, 4- Anafanya Nini?

Mbona nikueleze?

Sidhani ni sawa.

Sawa.

Msichana anakaa vipi?

Kwa nini unauliza maswali haya yote?

Msichana anakaa vipi?

Mrefu au mfupi?

Ngozi yake ni nyeupe au nyeusi?

Unataka kweli nikueleze kuhusu yeye.

Nimekueleza yote ninayotaka kusema.

Naam, tafadhali jaribu kunieleza kidogo zaidi kuhusu yeye.

Naam, yeye ni mfupi kuliko wewe lakini ni mrefu kuliko Anna.

Pia ana ngozi nyeusi zaidi kuliko mimi.

Anafanya nini?

Anafanya kazi wapi?

Anafanya kazi upande wa chini wa jiji.

Nadhani anafanya kazi katika duka la idara.

Jina lake ni nani?

Siwezi kukueleza jina lake.

Hunisaidii sana.

Ninahitaji msaada wako.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Mbona nikueleze? Why should I|"Explain to you" なぜ説明するのか|説明しようか Why do I have to tell you?

Sidhani ni sawa. I don't think||right そうは思わない|| ||correcto I do not think it is right.

Sawa. okay, fine Está bien OK.

Msichana anakaa vipi? Girl|"Does she live"|"How" What does the girl look like?

Kwa nini unauliza maswali haya yote? ||"are you asking"|questions|these|all Why are you asking all these questions?

Msichana anakaa vipi? ||how What does the girl look like?

Mrefu au mfupi? Tall||Short Is she tall or short?

Ngozi yake ni nyeupe au nyeusi? Skin|his or her||white||black Is she fair or dark?

Unataka kweli nikueleze kuhusu yeye. "Do you want"|really||about| You really want me to tell you about her?

Nimekueleza yote ninayotaka kusema. I have told|everything|"I want to"|to say I have told you all I want to say.

Naam, tafadhali jaribu kunieleza kidogo zaidi kuhusu yeye. <Name>|please|try to explain|explain to me|a little bit|more||him/her/them Well, please try to tell me a little more about her.

Naam, yeye ni mfupi kuliko wewe lakini ni mrefu kuliko Anna. |he||short|than|you|but|||| Well, she is shorter than you but taller than Sally.

Pia ana ngozi nyeusi zaidi kuliko mimi. ||skin|black||| She is also a little darker than me.

Anafanya nini? What is he doing?|what What does she do?

Anafanya kazi wapi? |work|"where" Where does she work?

Anafanya kazi upande wa chini wa jiji. |work|side of||"lower part"||city center She works downtown.

Nadhani anafanya kazi katika duka la idara. |||at|store||department store I think she works in a department store.

Jina lake ni nani? |his/her/its|| What is her name?

Siwezi kukueleza jina lake. |"tell you"|| I cannot tell you what her name is. Je ne peux pas vous dire son nom.

Hunisaidii sana. "Doesn't help me"|very much You are not helping me very much.

Ninahitaji msaada wako. I need|help|your I really need your help.