×

Używamy ciasteczek, aby ulepszyć LingQ. Odwiedzając stronę wyrażasz zgodę na nasze polityka Cookie.


image

Who is She?, 6- Hii Inaweza Kutokea

Huenda alipoteza anwani yako ya barua pepe.

Hii inaweza kutokea.

Kwa nini unadhani ameacha kuniandikia?

Nitajuaje sababu yake ya kuacha kukuandikia?

Nina hakika msichana huyu ndiye sababu.

Kunaweza kuwa na sababu zingine za kutokukuandikia.

Kama nini kwa mfano?

Huenda ndugu yako amekasirishwa na wewe, kwa sababu fulani.

Hiyo siyo sababu.

Angalau, sio sababu nzuri.

Kunaweza kuwa na sababu nyingi za kutokukuandikia.

Kwa nini unasema kuwa kuna sababu nyingi?

Mimi ninajaribu tu kukusaidia.

Huna haja ya kuwa na wasiwasi juu yake.

Huenda alipoteza anwani yako ya barua pepe. May|lost|address|||email address|email address Maybe he lost your email address.

Hii inaweza kutokea. This|may happen|"happen" This can happen.

Kwa nini unadhani ameacha kuniandikia? ||"do you think"|stopped| Why do you think he has stopped writing to me?

Nitajuaje sababu yake ya kuacha kukuandikia? How will I know||||to stop|write to you How should I know why he has stopped writing to you?

Nina hakika msichana huyu ndiye sababu. I have|I am sure||this girl here|is the one| I am sure the girl is the reason why.

Kunaweza kuwa na sababu zingine za kutokukuandikia. There may|there|||other|for|not writing to you There could be other reasons why he does not write.

Kama nini kwa mfano? "Like" or "such as"|||example Like what for example?

Huenda ndugu yako amekasirishwa na wewe, kwa sababu fulani. |||got angry||||| Maybe your brother is angry with you for some reason.

Hiyo siyo sababu. |not| That is no reason.

Angalau, sio sababu nzuri. At least|not||good reason At least it is not a good reason.

Kunaweza kuwa na sababu nyingi za kutokukuandikia. "There may be"|there may be|||many||not writing to you There could be many different reasons why he does not write to you.

Kwa nini unasema kuwa kuna sababu nyingi? for|||||| Why do you say that there are many reasons?

Mimi ninajaribu tu kukusaidia. |I am trying||help you I am just trying to help.

Huna haja ya kuwa na wasiwasi juu yake. you don't|need||||worry or concern|about| You need not worry about him.