×

Nós usamos os cookies para ajudar a melhorar o LingQ. Ao visitar o site, você concorda com a nossa política de cookies.

image

LingQ 101 - Getting Started, Marafiki

Marafiki ni watu waliopo LingQ ambao unataka kuwafuata.

Marafiki zako watakusaidia kujifunza.

Unaweza kuona ni kitu gani marafiki zako wanakifanya.

Unaweza kuona ni masomo gani wanayoyasoma.

Marafiki zako wanaweza kuona ni nini unafanya.

Unaweza kuchagua waalimu wakawa marafiki zako.

Watakusaidia kujifunza.

Unaweza kuwasaidia marafiki zako pia.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Marafiki ni watu waliopo LingQ ambao unataka kuwafuata. Friends|are|people|who are|LingQ|that|you want|to follow them Freunde sind Personen auf LingQ, denen Sie folgen möchten. Friends are people at LingQ that you want to follow. Les amis sont des personnes sur LingQ que vous souhaitez suivre.

Marafiki zako watakusaidia kujifunza. Your friends|will|help you|learn Deine Freunde werden dir beim Lernen helfen. Your friends help you learn. Vos amis vous aideront à apprendre.

Unaweza kuona ni kitu gani marafiki zako wanakifanya. You can|see|is|thing|what|friends|your|are doing Sie können sehen, was Ihre Freunde tun. You can see what your friends are doing. Vous pouvez voir ce que font vos amis.

Unaweza kuona ni masomo gani wanayoyasoma. You can|see|which|subjects|what|they are studying Sie können sehen, welche Fächer sie studieren. You can see the lessons they are learning. Vous pouvez voir quelles matières ils étudient.

Marafiki zako wanaweza kuona ni nini unafanya. Your friends|your|can|see|what|you|are doing Ihre Freunde können sehen, was Sie tun. Your friends can see what you are doing. Vos amis peuvent voir ce que vous faites.

Unaweza kuchagua waalimu wakawa marafiki zako. You can|choose|teachers|and they become|friends|your Sie können Lehrer auswählen, die Ihre Freunde sein sollen. You can choose tutors as friends. Vous pouvez choisir des professeurs pour être vos amis.

Watakusaidia kujifunza. They will help you|learn Sie werden Ihnen beim Lernen helfen. They will help you learn. Ils vous aideront à apprendre.

Unaweza kuwasaidia marafiki zako pia. You can|help|your friends|your|also Auch Sie können Ihren Freunden helfen. You can help your friends too. Vous pouvez aussi aider vos amis.