×

Nós usamos os cookies para ajudar a melhorar o LingQ. Ao visitar o site, você concorda com a nossa política de cookies.


image

Swahili music, Annette Tenaya - mimi na wewe

Annette Tenaya - mimi na wewe

oh oh oh oh

tamati ya kusaka kweli imekwisha

tangu nilipokupata wewe wangu mchumba

Jalali ndiye ambaye kweli atambua

jinsi roho yangu imejaa furaha

I.. oh I..

siwezi eleza yote kwa maneno

I.. baby I..

kwa moyo wangu wote namshukuru Muumba

hapa leo

ni mimi na we

milele oh..

ni mimi na we

hapa leo

ni mimi na we

milele oh..

ni mimi na we

hapa leo

ninakiri nitakutunza, nitakulinda milele

yaje mawimbi nitasimama nawe

hakuna ambaye atatutenga mimi na wewe

I.. oh I..

siwezi eleza yote kwa maneno

I.. baby I..

kwa moyo wangu wote namshukuru Muumba

hapa leo

ni mimi na we

milele oh..

ni mimi na we

hapa leo

ni mimi na we oh..

milele oh..

ni mimi na we

hapa leo

haiya cheza! cheza! usiogope cheza!

hapa ni Mola ametuleta

hatutachoka kueleza

basi cheza! cheza! usiogope cheza!

hapa ni Mola ametuleta

hatutachoka kueleza

basi cheza! cheza! usiogope cheza!

hapa ni Mola ametuleta

hatutachoka kueleza

basi cheza! cheza! usiogope cheza!

hapa ni Mola ametuleta

hatutachoka kueleza

ni mimi na we

hapa leo

ni mimi na we milele oh..

ni mimi na we

Annette Tenaya - mimi na wewe Annette Tenaya – ich und du Annette Tenaya - me and you Annette Tenaya - tú y yo Annette Tenaya - moi et toi アネット・テナヤ - 私とあなた Annette Tenaya – ja i ty Melhor música de casamento 2023 "eu e você"- Annette Tenaya | Canção de amor romântica Аннет Теная - я и ты Annette Tenaya-ben ve sen 安妮特·特纳亚 - 我和你

oh oh oh oh oh oh oh oh

tamati ya kusaka kweli imekwisha The search indeed is over la fin de la chasse est vraiment terminée

tangu nilipokupata wewe wangu mchumba Since I found you my love

Jalali ndiye ambaye kweli atambua truly only God knows

jinsi roho yangu imejaa furaha How my heart is full of joy

I.. oh I.. I.. oh I..

siwezi eleza yote kwa maneno I don't have enough words to explain it

I.. baby I.. I.. baby I..

kwa moyo wangu wote namshukuru Muumba with my whole heart, I am grateful to the creator

hapa leo in this place today

ni mimi na we its me and you

milele oh.. forever oh..

ni mimi na we its me and you

hapa leo in this place today

ni mimi na we its me and you

milele oh.. forever oh..

ni mimi na we its me and you

hapa leo in this place today

ninakiri nitakutunza, nitakulinda milele I pledge to take care of you and protect you forever

yaje mawimbi nitasimama nawe I will stand with you even in the midst of storms

hakuna ambaye atatutenga mimi na wewe Theres no one who can separate us

I.. oh I.. I.. oh I..

siwezi eleza yote kwa maneno I dont have enough words to explain it

I.. baby I.. I.. baby I..

kwa moyo wangu wote namshukuru Muumba With my whole heart, I am grateful to the creator

hapa leo in this place today

ni mimi na we its me and you

milele oh.. forever oh..

ni mimi na we its me and you

hapa leo in this place today

ni mimi na we oh.. its me and you

milele oh.. forever oh..

ni mimi na we its me and you

hapa leo in this place today

haiya cheza! cheza! usiogope cheza! Dance! Dance! dont be afraid to Dance ne joue pas ! jouer! n'ayez pas peur de jouer !

hapa ni Mola ametuleta its the Lord who has done it for us

hatutachoka kueleza we'll not stop declaring it

basi cheza! cheza! usiogope cheza! therefore Dance! Dance! dont be afraid to Dance

hapa ni Mola ametuleta its the Lord who has done it for us

hatutachoka kueleza we'll not stop declaring it

basi cheza! cheza! usiogope cheza! therefore Dance! Dance! dont be afraid to Dance

hapa ni Mola ametuleta its the Lord who has done it for us

hatutachoka kueleza we'll not stop declaring it

basi cheza! cheza! usiogope cheza! therefore, Dance! Dance! dont be afraid to Dance

hapa ni Mola ametuleta its the Lord who has done it for us

hatutachoka kueleza we'll not stop declaring it

ni mimi na we its me and you

hapa leo in this place today

ni mimi na we milele oh.. its me and you forever

ni mimi na we its me and you