×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».

image

LingQ 101 - Getting Started, Msamihati

Inakupasa kuwa unapitia maneno yako mapya na sentensi mpya mara kwa mara.

Usijali kama umeyasahau.

Usijali kama utashindwa kuyakumbuka.

Unaweza kupitia maneno na sentensi zako za njano katika masomo.

Unaweza kwenda katika ukurasa wa msamihati ili kupitia tena maneno na sentensi zako mpya.

Humo unaweza kutumia kadi yako ya maneno ili kupitia maneno na sentensi zako mpya.

Kama utakuwa na maswali unaweza kumuuliza mwalimu

Unaweza kuandika taarifa kuhusu sarufi za kila LingQ utakayotengeneza.

Unaweza kurudia mifano ya kila LingQ utakayotengeneza.

Hili litakusaidia kujifunza namna maneno haya mapya yanavyotumika.

Unaweza kuweka lebo kwenye kila LingQ utakazo zitengeneza.

Kama utaweka lebo juu ya LingQ hii itakusaidia kurudia LingQ zote ambazo zina lebo moja.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Inakupasa kuwa unapitia maneno yako mapya na sentensi mpya mara kwa mara. It is necessary for you|to be|you review|words|your|new|and|sentences|new|times|by|times Sie sollten Ihre neuen Wörter und neuen Sätze regelmäßig überprüfen. You need to review your new words and phrases regularly.

Usijali kama umeyasahau. Don't worry|if|you have forgotten them Machen Sie sich keine Sorgen, wenn Sie sie vergessen haben. It does not matter if you forget them. Ne vous inquiétez pas si vous les avez oubliés.

Usijali kama utashindwa kuyakumbuka. Don't worry|if|you will fail|to remember them Machen Sie sich keine Sorgen, wenn Sie sich nicht daran erinnern. It does not matter if you cannot remember them.

Unaweza kupitia maneno na sentensi zako za njano katika masomo. You can|review|words|and|sentences|your|of|yellow|in|studies Sie können Ihre gelben Wörter und Sätze im Unterricht wiederholen. You can review your yellow words and phrases in the lesson.

Unaweza kwenda katika ukurasa wa msamihati ili kupitia tena maneno na sentensi zako mpya. You can|go|to|page|of|exercises|in order to|review|again|words|and|sentences|your|new Sie können zur Wörterbuchseite gehen, um Ihre neuen Wörter und Sätze zu überprüfen. You can go to the vocabulary page to review your new words and phrases. Vous pouvez accéder à la page du dictionnaire pour revoir vos nouveaux mots et phrases.

Humo unaweza kutumia kadi yako ya maneno ili kupitia maneno na sentensi zako mpya. Here|you can|use|card|your|of|vocabulary|in order to|review|words|and|sentences|your|new Dort können Sie mit Ihrer Vokabelkarte Ihre neuen Wörter und Sätze wiederholen. There you can use flashcards to review your new words and phrases.

Kama utakuwa na maswali unaweza kumuuliza mwalimu If|you will have|and|questions|you can|ask him|teacher Wenn Sie Fragen haben, können Sie sich an den Lehrer wenden If you have questions you can ask the tutor.

Unaweza kuandika taarifa kuhusu sarufi za kila LingQ utakayotengeneza. You can|write|report|about|grammar|of|each|LingQ|you will create Sie können Informationen über die Grammatik jedes von Ihnen erstellten LingQ schreiben. You can make grammar notes for each LingQ that you create.

Unaweza kurudia mifano ya kila LingQ utakayotengeneza. You can|repeat|examples|of|each|LingQ|you will create Sie können jede von Ihnen erstellte LingQ-Instanz durchlaufen. You can review examples for each LingQ that you create.

Hili litakusaidia kujifunza namna maneno haya mapya yanavyotumika. This|will help you|learn|how|words|these|new|are used Dies wird Ihnen helfen zu lernen, wie diese neuen Wörter verwendet werden. This helps you learn how the new words are used.

Unaweza kuweka lebo kwenye kila LingQ utakazo zitengeneza. You can||label|on|each|LingQ|that you|will create Sie können jedes LingQ, das Sie erstellen, mit einem Label versehen. You can put a tag on each LingQ you create.

Kama utaweka lebo juu ya LingQ hii itakusaidia kurudia LingQ zote ambazo zina lebo moja. If|you put|label|on|of|LingQ|this|it will help you|to review|LingQ|all|which|have|label|one Wenn Sie einem LingQ ein Tag hinzufügen, können Sie alle LingQs wiederholen, die dasselbe Tag haben. If you put a tag on a LingQ this will help you review all the LingQs that have the same tag. Si vous mettez un tag sur un LingQ, cela vous aidera à répéter tous les LingQ qui ont le même tag.