×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».

image

LingQ Mini Stories, 19- Ninaenda Katika Mgahawa

Darasa la hisabati limemalizika muda sio mrefu.

Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana.

Barnaba hakuja na chakula chake cha mchana kutoka nyumbani.

Inabidi anunue chakula cha mchana shuleni.

Anaenda katika mgahawa.

Anaona biskuti za chokoleti, na saladi.

Mama yake anataka ale saladi.

Lakini Barnaba anataka kula biskuti za chokoleti

Anafikiria kwa dakika.

Kisha, ananunua biskuti na kuzila.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Barnaba.

Darasa la hisabati limemalizika muda sio mrefu.

Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana.

Sikuja na chakula cha mchana kutoka nyumbani.

Inabidi ninue chakula cha mchana shuleni.

Ninaenda katika mgahawa.

Ninaona biskuti za chokoleti, na saladi.

Mama yangu anataka nile saladi.

Lakini mimi ninataka kula biskuti za chokoleti.

Ninafikiria kwa dakika.

Kisha, ninanunua biskuti na kuzila.

Maswali.

1) Darasa la hesabu la Barnaba limemalizika muda sio mrefu. Je, darasa la hesabu limeanza muda sio mrefu? Hapana, darasa la hesabu halijaanza. Limemalizika muda sio mrefu.

2) Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana. Je, ni muda wa chakula cha mchana? Ndiyo, ni muda wa chakula cha mchana. Ni mchana.

3) Barnaba hakuja na chakula cha mchana. Je, Barnaba alikuja na chakula cha mchana? Hapana, Barnaba hakuja na chakula cha mchana.

4) Anaenda katika mgahawa. Je, Barnaba anaenda nyumbani kula chakula cha mchana? Hapana, Barnaba haendi nyumbani. Anaenda katika mgahawa.

5) Barnaba anaona saladi na biskuti za chokoleti ndani ya mgahawa. Je, Barnaba anaona saladi? Ndiyo, Barnaba anaona saladi na biskuti za chokoleti ndani ya mgahawa.

6) Mama yake anataka ale saladi, siyo biskuti za chokoleti. Je, mama yake Barnaba anataka yeye ale saladi? Ndiyo, mama yake anataka ale saladi, sio biskuti za chokoleti.

7) Barnaba ananunua biskuti. Je, Barnaba ananunua saladi? Hapana, Barnaba hanunui saladi. Ananunua biskuti na kuzila.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Darasa la hisabati limemalizika muda sio mrefu. The class|of|mathematics|has finished|time|not|long Der Matheunterricht ist bald vorbei. Kyle is taking a break at school. Le cours de mathématiques est bientôt terminé.

Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana. It is|daytime|and|it is|time|for|food|of|lunch It's twelve o'clock and it's time for lunch. Il est midi et c'est l'heure du déjeuner.

Barnaba hakuja na chakula chake cha mchana kutoka nyumbani. Barnaba|did not come|with|food|his|of|lunch|from|home Barnabas brachte sein Mittagessen nicht von zu Hause mit. Kyle doesn't have a lunch from home. Barnabas n'a pas apporté son déjeuner de chez lui.

Inabidi anunue chakula cha mchana shuleni. He must|buy|food|of|lunch|at school He has to buy his lunch at school. Il doit acheter son déjeuner à l'école.

Anaenda katika mgahawa. He/She goes|to the|restaurant He goes to the cafeteria. Il va au restaurant.

Anaona biskuti za chokoleti, na saladi. He sees|cookies|of|chocolate|and|salad He sees French fries, and a salad. Il voit des biscuits aux pépites de chocolat et de la salade.

Mama yake anataka ale saladi. His mother|his|wants|eat|salad Seine Mutter möchte, dass er Salat isst. His Mom wants him to eat the salad. Sa mère veut qu'il mange de la salade.

Lakini Barnaba anataka kula biskuti za chokoleti But|Barnabas|wants|to eat|cookies|of|chocolate But Kyle wants to eat the French fries. Mais Barnabas veut manger des biscuits au chocolat

Anafikiria kwa dakika. He thinks|for|a minute Er denkt eine Minute nach. He thinks for a minute. Il réfléchit une minute.

Kisha, ananunua biskuti na kuzila. Then|he/she buys|cookies|and|eats them Then, he buys and eats the French fries. Ensuite, il achète des biscuits et les mange.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Barnaba. This|is|story|that|told|by|Barnabas Here is the same story told in a different way. C'est l'histoire racontée par Barnabas.

Darasa la hisabati limemalizika muda sio mrefu. The class|of|mathematics|has finished|time|not|long I am taking a break at school. Le cours de mathématiques est bientôt terminé.

Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana. It is|daytime|and|it is|time|for|food|of|lunch It's twelve and it's time for lunch. Il est midi et c'est l'heure du déjeuner.

Sikuja na chakula cha mchana kutoka nyumbani. I did not come|with|food|of|lunch|from|home I don't have a lunch from home. Je n'ai pas apporté de déjeuner de chez moi.

Inabidi ninue chakula cha mchana shuleni. I must|carry|food|of|lunch|at school I have to buy a lunch at school.

Ninaenda katika mgahawa. I am going|to the|restaurant I go to the cafeteria.

Ninaona biskuti za chokoleti, na saladi. I see|cookies|of|chocolate|and|salad I see French fries, and a salad.

Mama yangu anataka nile saladi. My mother|my|wants|me to eat|salad My Mom wants me to eat the salad.

Lakini mimi ninataka kula biskuti za chokoleti. But|I|want|to eat|cookies|of|chocolate But I want to eat the French fries.

Ninafikiria kwa dakika. I am thinking|for|minute I think for a minute.

Kisha, ninanunua biskuti na kuzila. Then|I buy|cookies|and|eat them Then, I buy and eat the French fries.

Maswali. Questions Questions:

1) Darasa la hesabu la Barnaba limemalizika muda sio mrefu. The class|of|mathematics|of|Barnabas|has finished|time|not|long One: Kyle is taking a break at school. 1) Le cours de mathématiques de Barnabas s'est terminé il n'y a pas longtemps. Je, darasa la hesabu limeanza muda sio mrefu? question particle|class|of|mathematics|has started|time|not|long Is Kyle working at school? Hapana, darasa la hesabu halijaanza. No|class|of|mathematics|has not started No, he is not working. Limemalizika muda sio mrefu. It has finished|time|not|long he is taking a break at school.

2) Ni mchana na ni muda wa chakula cha mchana. It is|daytime|and|it is|time|for|food|of|lunch Two: It's twelve and it's time for lunch. Je, ni muda wa chakula cha mchana? Ist es Mittagszeit? Is it lunchtime? Ndiyo, ni muda wa chakula cha mchana. Yes|it is|time|for|food|of|lunch Yes, it's lunchtime. Ni mchana. It is|daytime It's twelve.

3) Barnaba hakuja na chakula cha mchana. Barnaba|did not come|with|food|of|lunch Three: Kyle does not have a lunch. Je, Barnaba alikuja na chakula cha mchana? question particle|Barnabas|did he come|with|food|of|lunch Does Kyle have a lunch? Hapana, Barnaba hakuja na chakula cha mchana. No|Barnaba|did not come|with|food|of|lunch No, Kyle does not have a lunch.

4) Anaenda katika mgahawa. He goes||the restaurant Four: Kyle goes to the cafeteria. Je, Barnaba anaenda nyumbani kula chakula cha mchana? (question particle)|Barnabas|goes|home|to eat|food|of|lunch Does Kyle go home to eat lunch? Hapana, Barnaba haendi nyumbani. No|Barnaba|does not go|home No, Kyle doesn't go home. Anaenda katika mgahawa. He/She goes|to the|restaurant He goes to the cafeteria.

5) Barnaba anaona saladi na biskuti za chokoleti ndani ya mgahawa. Barnabas|sees|salad|and|cookies|of|chocolate|inside|the|restaurant Five: Kyle sees a salad, and French fries, in the cafeteria. Je, Barnaba anaona saladi? Does Kyle see a salad? Ndiyo, Barnaba anaona saladi na biskuti za chokoleti ndani ya mgahawa. Yes|Barnabas|sees|salad|and|cookies|of|chocolate|inside|the|restaurant Yes, Kyle sees a salad, and French fries, in the cafeteria.

6) Mama yake anataka ale saladi, siyo biskuti za chokoleti. Mother|his|wants|eat|salad|not|cookies|of|chocolate Six: His Mom wants him to eat the salad, not the French fries. Je, mama yake Barnaba anataka yeye ale saladi? question particle|mother|his|Barnabas|wants|he|eat|salad Does Kyle's Mom want him to eat the salad? Ndiyo, mama yake anataka ale saladi, sio biskuti za chokoleti. Yes|mother|his|wants|eat|salad|not|cookies|of|chocolate Yes, his Mom wants him to eat the salad, not the French fries.

7) Barnaba ananunua biskuti. Seven: Kyle buys and eats the French fries. Je, Barnaba ananunua saladi? question particle|Barnabas|buys|salad Does Kyle buy the salad? Hapana, Barnaba hanunui saladi. No|Barnaba|does not buy|salad No, Kyle does not buy the salad. Ananunua biskuti na kuzila. He buys|biscuits|and|eats them he buys and eats the French fries. Il achète des biscuits et les mange.