×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».

image

LingQ Mini Stories, 2- Sikukuu za Majira ya Baridi Kali

David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali.

Ana likizo majira ya baridi kali.

Haitajiki kufanya kazi kwa wiki mbili.

Anataka kwenda kwenye mapumziko.

Lakini, hajui aende wapi.

Anataka kwenda Ufaransa.

Lakini Ufaransa ni gharama.

Tiketi za ndege zina bei kubwa.

Na David hajui kuongea Kifaransa.

Anaamua kusoma, kutunza pesa, na kubaki nyumbani.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na David.

Nina msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali.

Nina likizo majira ya baridi kali.

Sihitajiki kufanya kazi kwa wiki mbili.

Nataka kwenda kwenye mapumziko.

Lakini, sijui niende wapi.

Ninataka kwenda Ufaransa.

Lakini Ufaransa ni gharama.

Tiketi za ndege zina bei kubwa.

Na sijui kuongea Kifaransa.

Ninaamua kusoma, kutunza pesa, na kubaki nyumbani.

Maswali:

1) David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali. Je, David ana msisimko? Ndiyo, David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali.

2) David ana likizo majira ya baridi kali. Je, David ana muda wa ziada kipindi cha majira ya baridi kali? Ndiyo, David ana likizo majira ya baridi kali.

3) David anataka kwenda kwenye mapumziko. Je, David anataka kubaki nyumbani? Hapana, David hataki kubakia nyumbani. Anataka kwenda kwenye mapumziko.

4) David hajui aende wapi. Je, David anajua wapi aende? Hapana, David hajui wapi aende.

5) David anataka kwenda Ufaransa kwa mapumziko. Je, David anataka kwenda Ufaransa? Ndiyo, David anataka kwenda Ufaransa kwa ajili ya mapumziko yake.

6) Ufaransa ni gharama. Je, Ufaransa ni bei rahisi? Hapana, Ufaransa sio bei rahisi. Ufaransa ni gharama.

7) David hajui kuongea Kifaransa. Je, David huwa anaongea Kifaransa? Hapana, David hajui kuongea Kifaransa.

8) David ameamua kusoma Kifaransa, kutunza pesa, na kubakia nyumbani kwa mapumziko. Je, David ameamua kusoma Kifaransa? Ndiyo, ameamua kusoma Kifaransa, kutunza pesa, na kubakia nyumbani kwa mapumziko.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali. ||||为了|||||||寒冷 David|has|excitement|for|reason|of|holidays|of|season|of|cold|severe |||por|||||||| David freut sich auf die Winterferien. Dustin is excited about his winter holiday. David está emocionado por las vacaciones de invierno. デビッドは冬休みを楽しみにしています。

Ana likizo majira ya baridi kali. He has|vacation|season|of|winter|severe Er hat Winterurlaub. He has some time off this winter. Il a des vacances d'hiver.

Haitajiki kufanya kazi kwa wiki mbili. It is not necessary|to work|work|for|weeks|two He doesn't have to work for two weeks. No tienes que trabajar durante dos semanas. Vous n'êtes pas obligé de travailler pendant deux semaines. Je hoeft twee weken niet te werken.

Anataka kwenda kwenye mapumziko. He wants|to go|to|vacation Er möchte in den Urlaub fahren. He wants to go on vacation. Quiere irse de vacaciones. Il veut partir en vacances. 彼は休暇に行きたいと思っています。

Lakini, hajui aende wapi. But|he doesn't know|to go|where Aber er weiß nicht, wohin er gehen soll. But, he is not sure where to go. Pero no sabe adónde ir. Mais il ne sait pas où aller. しかし、彼はどこへ行けばいいのか分かりません。

Anataka kwenda Ufaransa. He wants|to go|France He thinks of going to France. Quiere ir a Francia.

Lakini Ufaransa ni gharama. But|France|is|expensive But France is expensive. Pero Francia es cara. しかしフランスは物価が高い。

Tiketi za ndege zina bei kubwa. Tickets|of|flight|have|price|high The airplane tickets cost a lot. Los billetes de avión son caros. 航空券は高いです。

Na David hajui kuongea Kifaransa. And|David|does not know|to speak|French And Dustin doesn't speak French. Y David no sabe hablar francés. そしてデイビッドはフランス語を話すことができません。

Anaamua kusoma, kutunza pesa, na kubaki nyumbani. He decides|to study|to save|money|and|to stay|at home He decides to stay at home, study, and save money. Decide estudiar, ahorrar dinero y quedarse en casa. Hij besluit te studeren, geld te sparen en thuis te blijven.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na David. This|is|story|that|being told|by|David Here is the same story told in a different way. Esta es esa historia, contada por David.

Nina msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali. I have|excitement|for|reason|of|holidays|of|season|of|winter|severe I am excited about the winter holiday. Estoy emocionado por las vacaciones de invierno. Ik heb zin in de wintervakantie.

Nina likizo majira ya baridi kali. I have|vacation|season|of|winter|severe I have some time off this winter.

Sihitajiki kufanya kazi kwa wiki mbili. I am not required|to work|work|for|weeks|two Ich muss zwei Wochen lang nicht arbeiten. I don't have to work for two weeks. No tengo que trabajar durante dos semanas.

Nataka kwenda kwenye mapumziko. I want|to go|to|vacation I want to go on vacation.

Lakini, sijui niende wapi. But|I don't know|I should go|where I am thinking of where to go.

Ninataka kwenda Ufaransa. I want|to go|France I want to go to France.

Lakini Ufaransa ni gharama. But|France|is|expensive But France is expensive.

Tiketi za ndege zina bei kubwa. Tickets|for|flight|have|price|high Flugtickets sind teuer. The airplane tickets cost a lot.

Na sijui kuongea Kifaransa. And|I do not know|to speak|French And I don't speak French.

Ninaamua kusoma, kutunza pesa, na kubaki nyumbani. I decide|to study|to save|money|and|to stay|at home Ich entscheide mich zu studieren, Geld zu sparen und zu Hause zu bleiben. I decide to stay home, study French and save money.

Maswali: Questions Questions:

1) David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali. David|has|excitement|for|the purpose of|of|holidays|of|season|of|cold|severe One: Dustin is excited about his winter holidays. Je, David ana msisimko? question particle|David|has|excitement Is Dustin excited? Ndiyo, David ana msisimko kwa ajili ya sikukuu za majira ya baridi kali. Yes|David|has|excitement|for|the purpose of|of|holidays|of|seasons|of|winter|severe Yes, Dustin is excited about his winter holidays.

2) David ana likizo majira ya baridi kali. David|has|vacation|season|of|winter|severe Two: Dustin has time off in the winter. Je, David ana muda wa ziada kipindi cha majira ya baridi kali? |||||空闲时间|||||| question particle|David|has|time|of|extra|during|of|season|of|cold|severe Hat David diesen Winter mehr Zeit? Does Dustin have free time in the winter? Heeft David extra tijd deze winter? Ndiyo, David ana likizo majira ya baridi kali. Yes|David|has|vacation|season|of|winter|severe Yes, Dustin has time off in the winter. Sí, David tiene vacaciones de invierno.

3) David anataka kwenda kwenye mapumziko. David|wants|to go|to|vacation Three: Dustin wants to go on vacation. Je, David anataka kubaki nyumbani? question particle|David|wants|to stay|at home Does Dustin want to stay home? Hapana, David hataki kubakia nyumbani. No|David|does not want|to stay|at home No, Dustin does not want to stay home. Anataka kwenda kwenye mapumziko. He wants|to go|to|vacation he wants to go on vacation.

4) David hajui aende wapi. David|does not know|he should go|where Four: Dustin doesn't know where to go. Je, David anajua wapi aende? question particle|David|knows|where|he should go Does Dustin know where to go? Hapana, David hajui wapi aende. No|David|does not know|where|he should go No, Dustin doesn't know where to go.

5) David anataka kwenda Ufaransa kwa mapumziko. David|wants|to go|France|for|vacation Five: Dustin is thinking about going to France for his vacation. 5) David quiere ir de vacaciones a Francia. Je, David anataka kwenda Ufaransa? (question particle)|David|wants|to go|France Is Dustin thinking about going to France? ¿David quiere ir a Francia? Ndiyo, David anataka kwenda Ufaransa kwa ajili ya mapumziko yake. Yes|David|wants|to go|France|for|the purpose of|his|vacation|his Ja, David möchte in den Urlaub nach Frankreich fahren. Yes, Dustin is thinking about going to France for his vacation.

6) Ufaransa ni gharama. France|is|expensive Six: France is expensive. 6) La France est chère. Je, Ufaransa ni bei rahisi? |||价格| Is|France|is|price|cheap Ist Frankreich günstig? Is France cheap? Hapana, Ufaransa sio bei rahisi. No|France|is not|price|cheap No, France is not cheap. Ufaransa ni gharama. France|is|expensive ||costo France is expensive.

7) David hajui kuongea Kifaransa. David|does not know|to speak|French Seven: Dustin does not speak French. Je, David huwa anaongea Kifaransa? question particle|David|usually|speaks|French Does Dustin speak French? Hapana, David hajui kuongea Kifaransa. No|David|does not know|to speak|French No, Dustin does not speak French.

8) David ameamua kusoma Kifaransa, kutunza pesa, na kubakia nyumbani kwa mapumziko. David|has decided|to study|French|to save|money|and|to stay|at home|during|holidays Eight: Dustin decides to stay home, study French, and save money. Je, David ameamua kusoma Kifaransa? question particle|David|has decided|to study|French Does Dustin decide to stay home and study French? Ndiyo, ameamua kusoma Kifaransa, kutunza pesa, na kubakia nyumbani kwa mapumziko. Yes|he has decided|to study|French|to save|money|and|to stay|at home|during|holidays Yes, he decides to stay home, study French, and save money during his vacation.