×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».

image

Who is She?, 2- Namtafuta Ndugu Yangu

Tunamtafuta mtu fulani.

Unamtafuta nani?

Namtafuta ndugu yangu.

Je, anaishi hapa?

Ndiyo, nadhani ndugu yangu anaishi katika jengo hili.

Ndugu yako ni nani?

Niambie jina lake.

Jina la ndugu yangu ni Ibrahim.

Nani mkubwa, wewe au ndugu yako?

Ndugu yangu ni mkubwa kuliko mimi.

Mimi ni mdogo wake.

Yeye ni mtoto wa kwanza katika familia.

Kati yenu ni nani mrefu zaidi, wewe au ndugu yako?

Ndugu yangu ni mrefu zaidi.

Mimi ndiye mfupi kabisa katika familia.

Kwa nini unauliza?

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Tunamtafuta mtu fulani. nous cherchons||certain We are looking for|person|certain We are looking for someone. 我们正在找人。

Unamtafuta nani? qui|qui Who are you looking for?|who Who are you looking for? 你在找谁?

Namtafuta ndugu yangu. je cherche|frère|mon I am looking for|| I am looking for my brother. 我正在寻找我的兄弟。

Je, anaishi hapa? je|vit|ici Does he live here? 他住在这里吗?

Ndiyo, nadhani ndugu yangu anaishi katika jengo hili. oui|je pense|frère|mon|vit dans|dans|bâtiment|ce bâtiment Yes|I think|brother|my|lives|in|building|this Yes, I think my brother lives in this building. 是的,我想我哥哥住在这栋楼里。

Ndugu yako ni nani? votre frère|ta sœur|est|qui Your sibling|your|is|who Who is your brother? 谁是你兄弟

Niambie jina lake. dis-moi|nom|son Tell me|name|his Tell me his name. 告诉我他的名字。

Jina la ndugu yangu ni Ibrahim. le nom|de|frère|mon|est|Ibrahim The name|of|brother|my|is|Ibrahim My brother's name is George.

Nani mkubwa, wewe au ndugu yako? |||ou|| Who|older|you|or|sibling|your Who is older, you or your brother? 你和你的兄弟谁年纪大?

Ndugu yangu ni mkubwa kuliko mimi. ||||que| My brother|my|is|older|than|me My brother is older than me. 我哥哥比我大。

Mimi ni mdogo wake. |||de lui I|am|younger|his/her I am younger than him. 我是他的弟弟。

Yeye ni mtoto wa kwanza katika familia. il||||premier|| He|is|child|of|first|in|family He is the oldest child in the family. 他是家里的第一个孩子。

Kati yenu ni nani mrefu zaidi, wewe au ndugu yako? parmi|vôtre||||plus|||| Among|you|is|who|tall|more|you|or|sibling|your Which one of you is taller, you or your brother? 你们谁更高,你还是你兄弟?

Ndugu yangu ni mrefu zaidi. My brother|my|is|tall|taller My brother is taller.

Mimi ndiye mfupi kabisa katika familia. |suis||le plus|| I|am|short|the shortest|in|family I am the short one in the family. 我是家里最矮的。

Kwa nini unauliza? |pourquoi|tu demandes Why|what|are you asking Why do you ask? 你为什么问?