×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».

image

Habari za UN, Jifunze kiswahili: Je, wajua maana ya neno "KUYEYESA"? | | Habari za UN

Jifunze kiswahili: Je, wajua maana ya neno "KUYEYESA"? | | Habari za UN

Na sasa ni wasaa wa kujifunza lugha ya Kiswahili. Leo tunafafanuliwa maana ya neno "KUYEYESA". Na mtaalam wetu Onni Sigalla. Huyu ni Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA.

Mara nyingi tunafanya usaidizi kwa wenzetu na hasa ambao wamepatwa na maradhi kwa muda mrefu, wameishiwa nguvu au kwa mtu ambaye umri wake umemsogea sana na anahitaji usaidizi. Kitendo hicho si usaidizi kama ambavyo tunasema ila tunaweza tukasema ni uyeyesaji. Yaani, unayeyesa, au unayeyeswa, au unayeyesesha mtu ambaye aghalabu; ni mgonjwa ili aweze kutembea au kukua na nguvu tena ili aweze kutembea. Kwa hiyo, mtu unapomsaidia, mtu aweze kutembea, aweze kujongea mahali fulani, basi unakuwa unamyeyesa na kama ni wewe mwenyewe basi unayeyesewa na kadhalika.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Jifunze kiswahili: Je, wajua maana ya neno "KUYEYESA"? | | Habari za UN |||||||Fondre||| Learn|Swahili||know|||word|to drizzle||| Kiswahili lernen: Kennen Sie die Bedeutung des Wortes „VERSUCHEN“? | | UN-Nachrichten Learn Kiswahili: Do you know the meaning of the word "TRY"? | | UN news Aprende Kiswahili: ¿Conoces el significado de la palabra "TRY"? | | noticias de la ONU Apprenez le kiswahili : Connaissez-vous la signification du mot « ESSAYER » ? | | Actualités de l'ONU スワヒリ語を学ぶ: 「TRY」という言葉の意味を知っていますか? | |国連ニュース 学习斯瓦希里语:你知道“TRY”这个词的意思吗? | |联合国新闻

Na sasa ni wasaa wa kujifunza lugha ya Kiswahili. |||time||||| And now it's time to learn the Kiswahili language. Et maintenant, il est temps d'apprendre la langue swahilie. Leo tunafafanuliwa maana ya neno "KUYEYESA". |are being explained||||"To stagger" Today we are explained the meaning of the word "TRYING". Aujourd'hui, nous expliquons la signification du mot "KUYEYESA". Na mtaalam wetu Onni Sigalla. |expert||Onni|Sigalla And our expert Onni Sigalla. Et notre expert Onni Sigalla. Huyu ni Mhariri mwandamizi wa Baraza la Kiswahili la Taifa nchini Tanzania, BAKITA. ||Senior Editor|senior editor||Council|||||||Swahili Council This is the senior editor of the National Kiswahili Council in Tanzania, BAKITA. Il s'agit d'un éditeur principal du Conseil national du swahili en Tanzanie, BAKITA.

Mara nyingi tunafanya usaidizi kwa wenzetu na hasa ambao wamepatwa na maradhi kwa muda mrefu, wameishiwa nguvu au kwa mtu ambaye umri wake umemsogea sana na anahitaji usaidizi. "Often"|"many times"||assistance||our colleagues||"especially"||have been afflicted||illnesses||||have run out|strength or energy|or||||age||"caught up with"|||| We often help our colleagues and especially those who have been ill for a long time, have run out of energy or for someone who is very old and needs help. Souvent, nous apportons assistance à nos collègues, en particulier à ceux qui sont malades depuis longtemps, qui ont perdu de la force ou à une personne âgée qui a besoin d'aide. Spesso aiutiamo i nostri colleghi e soprattutto chi è malato da molto tempo, ha finito le energie o per qualcuno che è molto anziano e ha bisogno di aiuto. Kitendo hicho si usaidizi kama ambavyo tunasema ila tunaweza tukasema ni uyeyesaji. The act|that act||||that|we say|but||we said||Mockery or ridicule That action is not help as we say, but we can say it is a test. Cet acte n'est pas seulement une assistance comme nous le disons, mais nous pouvons dire qu'il s'agit de soulagement. Yaani, unayeyesa, au unayeyeswa, au unayeyesesha mtu ambaye aghalabu; ni mgonjwa ili aweze kutembea au kukua na nguvu tena ili aweze kutembea. that is|you help||be helped||you make|||often|||to|"he/she can"|walk||grow|||||he can|to walk That is, you try, or you are tried, or you try to make someone who often; is sick enough to be able to walk or grow strong enough to be able to walk again. En d'autres termes, que vous aidiez, soyez aidé ou aidiez quelqu'un d'autre; si cette personne est malade pour pouvoir marcher ou gagner en force pour marcher à nouveau. Kwa hiyo, mtu unapomsaidia, mtu aweze kutembea, aweze kujongea mahali fulani, basi unakuwa unamyeyesa na kama ni wewe mwenyewe basi unayeyesewa na kadhalika. |||when you help him|||walk||crawl||somewhere||you are|supporting|||||||helping out||and so on Therefore, when you help someone, so that someone can walk, can walk somewhere, then you are judging him and if it is yourself then you are being judged and so on. Ainsi, lorsque vous aidez quelqu'un à marcher, à se déplacer quelque part, vous êtes en train de l'aider et si c'est vous-même, alors vous êtes aidé, et ainsi de suite.