×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».

image

Habari za UN, Sitisha uhasama miongoni mwa wakimbizi wa ndani Sudan Kusini: UNMISS  | | Habari za UN

Sitisha uhasama miongoni mwa wakimbizi wa ndani Sudan Kusini: UNMISS | | Habari za UN

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS umetoa wito wa kusitishwa mara moja kwa uhasama miongoni mwa wakimbizi wa ndani katika Kambi ya Umoja wa Mataifa ya Ulinzi wa Raia nchini humo kufuatia tukio la jana Alhamis ambapo watu kadhaa waliripotiwa kujeruhiwa na wengine kuuawa.

Video iliyorekodiwa na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini (UNMISS) inaonesha gari la wagonjwa la Umoja wa Mataifa likisindikizwa na walinda amani likipita katika barabara ya vumbi katikati ya umati wa wakimbizi wa ndani katika eneo la Malakal nchini Sudan Kusini.

Kila mmoja aliyefanikiwa kusalia na chochote katika anavyovimiliki, amekibebeba kichwani, mgongoni au mkononi.

Jana muda wa mchana ghasia zilizuka kati ya jamii mbili za wakimbizi wa ndani ambazo zimehifadhiwa katika Kambi ya Umoja wa Mataifa ya Ulinzi wa Raia.

UNMISS inasema vurugu hizo zilichochewa na tukio la kuchomana visu huku ripoti za awali zikitaja raia watatu kuuawa na wengine 20 kujeruhiwa hadi kufikia jana Alhamisi mchana.

Kabla ya hapo, hiyo-hiyo jana Alhamis asubuhi, milio ya risasi ilitanda alfajiri katika mji mkuu wa jimbo la Upper Nile, Malakal, karibu na makazi ya UNMISS.

Walinda amani wa UNMISS waliingia kazini haraka kwa kuwa hali ya wasiwasi imekuwa ikiendelea hapa tangu mwisho wa wiki iliyopita, wakati mzozo katika kituo cha maji uliongezeka haraka na kuwa mzozo kamili ambapo mtu mmoja mwenye umri wa miaka 32 aliuawa.

Kwa kuwa kambi ya walinda amani iko karibu na kambi ya Umoja wa Mataifa ya ulinzi kwa raia, mara zote walinda amani wako chonjo kuchukua hatua ya haraka pindi tu wanapopokea taarifa ya vurugu.

Wakati wa mapigano ya mwezi uliopita, wanajeshi na polisi walinda amani walitumwa mara moja ili kutuliza hali hiyo.

Polisi na walinda amani wa kijeshi kwa sasa wanashika doria ndani ya eneo hilo na kuzunguka eneo la nje, kwa ushirikiano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Sudan Kusini ili kuondoa hofu miongoni mwa jamii iliyokimbia makazi yao.

Zaidi ya hayo, walinda amani matabibu katika hospitali ya UNMISS wanatoa huduma ya dharura kwa baadhi ya waliojeruhiwa.

Kwa mujibu wa usajili wa kibayometriki wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM), kufikia Desemba mwaka jana 2022, baadhi ya watu 37,032 waliokimbia makazi yao wanajihifadhi katika Eneo la Ulinzi la Umoja wa Mataifa la Malakal.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Sitisha uhasama miongoni mwa wakimbizi wa ndani Sudan Kusini: UNMISS  | | Habari za UN suppress|violence|among|mwa|internally displaced persons||internally|||||| Feindseligkeiten unter Binnenvertriebenen im Südsudan beenden: UNMISS | | UN-Nachrichten End hostilities among internally displaced persons in South Sudan: UNMISS | | UN news Poner fin a las hostilidades entre los desplazados internos en Sudán del Sur: UNMISS | | noticias de la ONU Mettre fin aux hostilités parmi les personnes déplacées internes au Soudan du Sud : MINUSS | | Actualités de l'ONU Güney Sudan'da ülke içinde yerinden edilmiş kişiler arasındaki düşmanlıklara son verin: UNMISS | | BM haberleri

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS umetoa wito wa kusitishwa mara moja kwa uhasama miongoni mwa wakimbizi wa ndani katika Kambi ya Umoja wa Mataifa ya Ulinzi wa Raia nchini humo kufuatia tukio la jana Alhamis ambapo watu kadhaa waliripotiwa kujeruhiwa na wengine kuuawa. |||||||||has issued|call||cessation||||hostilities|||||||camp||United Nations||||||Protection of Civilians|||following|incident|||Thursday|where|||reported|been injured||others|

Video iliyorekodiwa na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini (UNMISS) inaonesha gari la wagonjwa la Umoja wa Mataifa likisindikizwa na walinda amani likipita katika barabara ya vumbi katikati ya umati wa wakimbizi wa ndani katika eneo la Malakal nchini Sudan Kusini. ||||||||||||shows|||patients|||||being escorted||peacekeepers|peacekeepers|passes||||dust road|||crowd|||||||||||

Kila mmoja aliyefanikiwa kusalia na chochote katika anavyovimiliki, amekibebeba kichwani, mgongoni au mkononi. |each one|has succeeded|to remain||anything||possesses|has carried||on the back||in hand

Jana muda wa mchana ghasia zilizuka kati ya jamii mbili za wakimbizi wa ndani ambazo zimehifadhiwa katika Kambi ya Umoja wa Mataifa ya Ulinzi wa Raia. Jana|change|||violence|erupted|||community|||||||have been sheltered||||||||||

UNMISS inasema vurugu hizo zilichochewa na tukio la kuchomana visu huku ripoti za awali zikitaja raia watatu kuuawa na wengine 20 kujeruhiwa hadi kufikia jana Alhamisi mchana. |it says|riot||were incited||||stabbing|knives||||initial|mention||||||to be injured||||Thursday|

Kabla ya hapo, hiyo-hiyo jana Alhamis asubuhi, milio ya risasi ilitanda alfajiri katika mji mkuu wa jimbo la Upper Nile, Malakal, karibu na makazi ya UNMISS. ||||||||sounds||gunfire|spread||||||||||||||| Avant cela, hier jeudi matin, des coups de feu avaient retenti à l'aube dans la capitale de l'État du Haut-Nil, Malakal, près du siège de la MINUSS.

Walinda amani wa UNMISS waliingia kazini haraka kwa kuwa hali ya wasiwasi imekuwa ikiendelea hapa tangu mwisho wa wiki iliyopita, wakati mzozo katika kituo cha maji uliongezeka haraka na kuwa mzozo kamili ambapo mtu mmoja mwenye umri wa miaka 32 aliuawa. ||||entered||quickly||to be||||has been|continuing||since||||||conflict||center|||increased rapidly||||||||||||| Les soldats de la MINUSS sont rapidement entrés en action alors que la tension montait ici depuis la fin de la semaine dernière, lorsqu'un conflit dans une station d'eau s'est rapidement transformé en un véritable conflit au cours duquel un homme de 32 ans a été tué.

Kwa kuwa kambi ya walinda amani iko karibu na kambi ya Umoja wa Mataifa ya ulinzi kwa raia, mara zote walinda amani wako chonjo kuchukua hatua ya haraka pindi tu wanapopokea taarifa ya vurugu. ||||||is|||||||||||||||||alert|to take|action|||when|you|they receive|report||violence

Wakati wa mapigano ya mwezi uliopita, wanajeshi na polisi walinda amani walitumwa mara moja ili kutuliza hali hiyo. ||fighting||||soldiers|||||they were sent||||calm down||

Polisi na walinda amani wa kijeshi kwa sasa wanashika doria ndani ya eneo hilo na kuzunguka eneo la nje, kwa ushirikiano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Sudan Kusini ili kuondoa hofu miongoni mwa jamii iliyokimbia makazi yao. ||||||||are patrolling|patrol||||||circle|||||cooperation||military|||||||||remove fear|fear||||that fled||

Zaidi ya hayo, walinda amani matabibu katika hospitali ya UNMISS wanatoa huduma ya dharura kwa baadhi ya waliojeruhiwa. |||||medical personnel||||||service||emergency||some||those injured

Kwa mujibu wa usajili wa kibayometriki wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Uhamiaji (IOM), kufikia Desemba mwaka jana 2022, baadhi ya watu 37,032 waliokimbia makazi yao wanajihifadhi katika Eneo la Ulinzi la Umoja wa Mataifa la Malakal. |according to||registration||biometric registration||Agency||||||migration||||||||||||are sheltered|||||||||| Selon l'enregistrement biométrique de l'Organisation des Nations Unies pour les migrations (OIM), en décembre 2022, quelque 37 032 personnes ayant fui leur foyer se sont réfugiées dans la zone de protection des Nations Unies de Malakal.