×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».

image

Habari za UN, Umoja wa Mataifa imelaani vikali shambulio lililoua na kujeruhi wafanyakazi wa ukoaji Kherson Ukraine | | Haba...

Umoja wa Mataifa imelaani vikali shambulio lililoua na kujeruhi wafanyakazi wa ukoaji Kherson Ukraine | | Haba...

Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Ukraine Matthew Hollingworth amelaani vikali shambulio lililofanywa na Urusi kwenye eneo la Kherson lililoathirika vibaya na mafuriko ya bwawa la Kakhovka, na kukatili maisha ya mfanyakazi wa ukoaji na kujeruhi wengine.

Katika tarifa yake iliyotolewa leo mjini Kyiv Ukraine mratibu huyo Hollingworth amesema “Inasikitisha sana kwamba waokoaji wameuawa na kujeruhiwa jana huko Kherson walipokuwa wakisaidia jamii zilizoathiriwa na uharibifu mkubwa wa bwawa la Kakhovka.”

Kwa mujibu wa duru za habari mfanyakzi mmoja wa uokoaji wa ofisi ya huduma za dharura za Ukraine ameuawa katika shambulio hilo wakati waokoaji wengine wanane wamejeruhiwa huku sita wakielezwa kuwa katika hali mbayá.

Imeleezwa kuwa shambulio hilo lililtokea wakati vikosi vya jeshi la Urusi vilipowafyatulia risasi wafanyakazi hao wa uokoaji wakiwa wakiwa katika operesheni za kusafisha matope yaliyotokana na uharibifu katika bwawa la Kakhovka.

Kwa niaba ya jumuiya ya masuala ya kibinadamu bwana Hollingworth ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu na kuwatakia majeruhi wote ahuweni ya haraka akiongeza kuwa “Fikra zetu pia ziko na ofisi ya huduma za dharura za Ukraine, inayofanya kazi katika mazingira magumu sana kusaidia watu wake.”

Mratibu huyo wa masuala ya kibinadamu amekumbusha kuwa “Tukio hili ni mfano mwingine wa athari mbayá za kibinadamu za uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.”

Na amesisitiza kwamba raia wote wakiwemo wafanyakazi wa ukoaji wanalindwa chini ya sheria za kimataifa za kibinadamu na kuwashambulia na kuwaua ni jambo lisilokubalika.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Umoja wa Mataifa imelaani vikali shambulio lililoua na kujeruhi wafanyakazi wa ukoaji Kherson Ukraine | | Haba... United|of|Nations|condemns strongly|strongly|attack|that killed|and|injure|rescue workers||rescue workers|Kherson Ukraine|Ukraine|little Die Vereinten Nationen haben den Angriff, bei dem Evakuierungskräfte in der Ukraine in Cherson getötet und verletzt wurden, aufs Schärfste verurteilt | Ach nein... The United Nations has strongly condemned the attack that killed and injured evacuation workers in Kherson Ukraine | Oh no... Las Naciones Unidas condenan enérgicamente el ataque que mató y hirió a los trabajadores de evacuación en Kherson, Ucrania. | Oh, no... L'ONU a fermement condamné l'attaque qui a tué et blessé des agents d'évacuation à Kherson en Ukraine. | Oh non... As Nações Unidas condenaram veementemente o ataque que matou e feriu trabalhadores de evacuação em Kherson, Ucrânia | Oh não... Організація Об'єднаних Націй рішуче засудила напад, в результаті якого загинули та були поранені евакуатори в Херсоні | О ні...

Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Ukraine Matthew Hollingworth amelaani vikali shambulio lililofanywa na Urusi kwenye eneo la Kherson lililoathirika vibaya na mafuriko ya bwawa la Kakhovka, na kukatili maisha ya mfanyakazi wa ukoaji na kujeruhi wengine. |||of||||||in|||Hollingworth|condemned|||that was carried out||Russia|on||the||affected|badly||floods||||Kakhovka dam|||lives||rescue worker|||||others Le coordinateur humanitaire des Nations Unies en Ukraine, Matthew Hollingworth, a fermement condamné l'attaque russe contre la région de Kherson, durement touchée par l'inondation du barrage de Kakhovka, tuant un secouriste et en blessant d'autres.

Katika tarifa yake iliyotolewa leo mjini Kyiv Ukraine mratibu huyo Hollingworth amesema “Inasikitisha sana kwamba waokoaji wameuawa na kujeruhiwa jana huko Kherson walipokuwa wakisaidia jamii zilizoathiriwa na uharibifu mkubwa wa bwawa la Kakhovka.” |report|||||||||||||||||||||||||||||||

Kwa mujibu wa duru za habari mfanyakzi mmoja wa uokoaji wa ofisi ya huduma za dharura za Ukraine ameuawa katika shambulio hilo wakati waokoaji wengine wanane wamejeruhiwa huku sita wakielezwa kuwa katika hali mbayá.

Imeleezwa kuwa shambulio hilo lililtokea wakati vikosi vya jeshi la Urusi vilipowafyatulia risasi wafanyakazi hao wa uokoaji wakiwa wakiwa katika operesheni za kusafisha matope yaliyotokana na uharibifu katika bwawa la Kakhovka.

Kwa niaba ya jumuiya ya masuala ya kibinadamu bwana Hollingworth ametuma salamu za rambirambi kwa familia ya marehemu na kuwatakia majeruhi wote ahuweni ya haraka akiongeza kuwa “Fikra zetu pia ziko na ofisi ya huduma za dharura za Ukraine, inayofanya kazi katika mazingira magumu sana kusaidia watu wake.” ||||||||||has sent|||||||||wish them|||||||||||||||||||Ukraine|operating||||||||

Mratibu huyo wa masuala ya kibinadamu amekumbusha kuwa “Tukio hili ni mfano mwingine wa athari mbayá za kibinadamu za uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.”

Na amesisitiza kwamba raia wote wakiwemo wafanyakazi wa ukoaji wanalindwa chini ya sheria za kimataifa za kibinadamu na kuwashambulia na kuwaua ni jambo lisilokubalika. ||||||||||||||||||attack|||||