×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».


image

Habari za UN, Wakimbizi Kenya: Mradi wa shiriki ni neema kwetu na jamii inayotuhifadhi | | Habari za UN

Wakimbizi Kenya: Mradi wa shiriki ni neema kwetu na jamii inayotuhifadhi | | Habari za UN

Serikali ya Kenya inaendesha mradi wa “shiriki” ambao unawapa fursa wakimbizi wanaosihi katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma iliyoko katika kaunti ya Turkana nchini humo kujitegemea kwa kufanya kilimo cha mbogamboga kupitia chama cha ushirika wa wakulima. Serikali hiyo imetenga ekari 21katika kambi ya Kakuma ili kutumika katika mradi huo ambao sio tu unawapa lishe bora wakimbizi, matumaini na kipato lakini pia umekuwa neema kwa jamii za wenyeji.

Katika makazi ya Kalobeyei kambini Kakuma maisha yanaendelea kama kawaida kwa maelfu ya wakimbizi yakighubikwa na pilika nyingi kikiwemo kilimo cha mchicha, Sukuma na mbogamboga zingine chini ya mradi wa shiriki. Abdulazizi Lugazo ni mkimbizi kutoka Somalia na mwenyekiti wa chama hicho cha ushirika wa wakulima anasema,

Abdulazizi anasema mradi huu ulianza kidogokidogo lakini sasa umepanuka na kujumuisha wakimbizi wengi zaidi,

Kenya imekuwa mwenyeji wa wakimbizi kwa zaidi ya miaka 30 na inaamini kuwapa fursa hii wakimbizi sio tu inawapa matumaini badi inawajengea uwezo. Mkimbizi kutoka Congo DRC anayeshiriki mradi huu Muhawe Selene ambaye ni mchuuzi wa mbogamboga sokoni anaafiki,

Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR mtazamo kama huu wa Kenya unapaswa kuigwa na mataifa mengine kwani unawajumuisha wakimbizi na kusaidia kuleta utangamno baina ya wakimbizi na jamii zinazowahifadhi.

Kwa Abdulazizi mradi huu umemfungulia njia mpya ya matumaini akiwa mbali na nyumbani.

UNHCR Imeishukuru Kenya kwa kuwapa matumaini wakimbizi hawa wakiwa mbali na nyumbani, na Kenya inasema huu ni mwanzo tu kwani iko katika mipango ya kutekeleza sera ambazo ni bunifu na jumuishi zitakazowaruhusu baadhi ya wakimbizi hao nusu milioni na waomba hifadhi nchini humo kufanya kazi na kuishi na Wakenya.

Wakimbizi Kenya: Mradi wa shiriki ni neema kwetu na jamii inayotuhifadhi | | Habari za UN Refugees in Kenya||project||participate||blessing|to us||community hosting us|that shelters us||| Flüchtlinge in Kenia: Das Beteiligungsprojekt ist ein Segen für uns und die Gemeinschaft, die uns beherbergt | UN-Nachrichten Refugees in Kenya: The participation project is a blessing for us and the community that shelters us | UN news Refugiados en Kenia: El proyecto de participación es una bendición para nosotros y la comunidad que nos acoge | noticias de la ONU Réfugiés au Kenya : le projet de participation est une bénédiction pour nous et pour la communauté qui nous héberge | Actualités de l'ONU Rifugiati in Kenya: Il progetto di partecipazione è una benedizione per noi e per la comunità che ci ospita | Novità dell'ONU ケニアの難民: 参加プロジェクトは私たちと私たちを保護してくれるコミュニティにとって祝福です|国連ニュース Uchodźcy w Kenii: Projekt uczestnictwa jest błogosławieństwem dla nas i społeczności, która nas udziela | Wiadomości ONZ Refugiados no Quênia: o projeto de participação é uma bênção para nós e para a comunidade que nos acolhe | notícias da ONU Kenya'daki mülteciler: Katılım projesi bizim ve bizi barındıran toplum için bir nimettir | BM haberleri Біженці в Кенії: Проект участі є благословенням для нас і громади, яка надає нам притулок | Новини ООН 肯尼亞難民:參與項目對我們和庇護我們的社區來說是一種祝福|聯合國新聞

Serikali ya Kenya inaendesha mradi wa “shiriki” ambao unawapa fursa wakimbizi wanaosihi katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma iliyoko katika kaunti ya Turkana nchini humo kujitegemea kwa kufanya kilimo cha mbogamboga kupitia chama cha ushirika wa wakulima. Government||Kenya|runs|project||participate|which|"gives them"|opportunity|refugees|reside in||camp||refugees||Kakuma refugee camp|"located in"||county||Turkana County||in that country|self-reliance|||farming||vegetables|through the farmers' cooperative|cooperative society||cooperative association||farmers The Kenyan government is running a "participation" project that gives refugees who are begging in the Kakuma refugee camp located in Turkana county in the country self-sufficiency by farming vegetables through a farmers' cooperative. Serikali hiyo imetenga ekari 21katika kambi ya Kakuma ili kutumika katika mradi huo ambao sio tu unawapa lishe bora wakimbizi, matumaini na kipato lakini pia umekuwa neema kwa jamii za wenyeji. |that|has allocated|acres||camp|||"in order to"|to be used||project|that project|which||only|provides them|nutrition|better nutrition|refugees|hope and income||income|||has become|blessing||local communities||local communities The government has set aside 21 acres in the Kakuma camp to be used in the project, which not only provides refugees with good nutrition, hope, and income but has also been a blessing to the host communities. Le gouvernement a réservé 21 acres dans le camp de Kakuma pour être utilisé dans le projet qui non seulement donne aux réfugiés une bonne nutrition, de l'espoir et des revenus, mais qui a également été une aubaine pour les communautés locales.

Katika makazi ya Kalobeyei kambini Kakuma maisha yanaendelea kama kawaida kwa maelfu ya wakimbizi yakighubikwa na pilika nyingi kikiwemo kilimo cha mchicha, Sukuma na mbogamboga zingine chini ya mradi wa shiriki. |settlement||Kalobeyei settlement|"in the camp"||life|"it continues"||as usual||thousands of refugees||refugees|"being overshadowed"||hustle and bustle||"including"|farming||Spinach|Kale.|||other vegetables|||project||participate In the Kalobeyei settlement within the Kakuma camp, life continues as usual for thousands of refugees, with many activities including farming of amaranth, sukuma wiki, and other vegetables under the cooperative project. Dans la résidence Kalobeyei du camp de Kakuma, la vie continue comme d'habitude pour des milliers de réfugiés entourés de nombreux incendies notamment la culture d'épinards, de Sukuma et d'autres légumes dans le cadre du projet de participation. Abdulazizi Lugazo ni mkimbizi kutoka Somalia na mwenyekiti wa chama hicho cha ushirika wa wakulima anasema, Abdulazizi|Lugazo||refugee||Somalia||chairman||party|that||cooperative association||| Abdulazizi Lugazo is a refugee from Somalia and the chairman of the farmers' cooperative, he says,

Abdulazizi anasema mradi huu ulianza kidogokidogo lakini sasa umepanuka na kujumuisha wakimbizi wengi zaidi, ||||"started"|little by little|||has expanded||include more refugees|refugees|| Abdulazizi says this project started small but now it has expanded to include more refugees,

Kenya imekuwa mwenyeji wa wakimbizi kwa zaidi ya miaka 30 na inaamini kuwapa fursa hii wakimbizi sio tu inawapa matumaini badi inawajengea uwezo. |"has been"|host||refugees||||years||believes in|give them|opportunity||||only|"gives them"|hope and empowerment|but also|"builds their capacity"|capacity or empowerment Kenya has been hosting refugees for over 30 years and believes that giving refugees this opportunity not only provides them with hope but also builds their capacity. Mkimbizi kutoka Congo DRC anayeshiriki mradi huu Muhawe Selene ambaye ni mchuuzi wa mbogamboga sokoni anaafiki, Refugee from Congo||||participating in|project||Muhawe Selene|Selene|who is||vendor|||at the market|agrees A refugee from DRC participating in this project, Muhawe Selene, who is a vegetable vendor in the market, agrees, Un réfugié du Congo RDC qui participe à ce projet, Muhawe Selene, qui est vendeur de légumes au marché, est d'accord :

Kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR mtazamo kama huu wa Kenya unapaswa kuigwa na mataifa mengine kwani unawajumuisha wakimbizi na kusaidia kuleta utangamno baina ya wakimbizi na jamii zinazowahifadhi. |"according to"||organization||Unity||||to serve|refugees||approach|like||||"should be"|emulated||nations|other|because it includes|includes|refugees||to help|bring about|social cohesion|between||refugees||communities|that host them According to the United Nations refugee agency UNHCR, Kenya's approach should be emulated by other nations as it includes refugees and helps promote integration between refugees and the host communities.

Kwa Abdulazizi mradi huu umemfungulia njia mpya ya matumaini akiwa mbali na nyumbani. |Abdulazizi|||has opened up|path|||new opportunities|being||| For Abdulazizi, this project has opened a new pathway of hope while he is away from home. Pour Abdulaziz, ce projet lui a ouvert une nouvelle voie d’espoir alors qu’il est loin de chez lui.

UNHCR Imeishukuru Kenya kwa kuwapa matumaini wakimbizi hawa wakiwa mbali na nyumbani, na Kenya inasema huu ni mwanzo tu kwani iko katika mipango ya kutekeleza sera ambazo ni bunifu na jumuishi zitakazowaruhusu baadhi ya wakimbizi hao nusu milioni na waomba hifadhi nchini humo kufanya kazi na kuishi na Wakenya. |has thanked|||giving them|hope||these refugees|being away|away||||||||beginning||"because" or "since"|"is in"||plans||implement|policies|which are||innovative||inclusive|that will allow|some of||refugees|those refugees|half|||seek asylum|asylum||in the country||||to live||the Kenyans UNHCR has thanked Kenya for giving hope to these refugees while they are far from home, and Kenya says this is just the beginning as it is in plans to implement innovative and inclusive policies that will allow some of these half a million refugees and asylum seekers in the country to work and live with Kenyans. Le HCR a remercié le Kenya d'avoir donné de l'espoir à ces réfugiés alors qu'ils sont loin de chez eux, et le Kenya affirme que ce n'est qu'un début car il envisage de mettre en œuvre des politiques innovantes et inclusives qui permettront à certains des un demi-million de réfugiés et de demandeurs d'asile présents dans le pays. pays pour travailler et vivre avec des Kenyans.