×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».


image

Habari za UN, Walinda amani kutoka Tanzania watoa mafunzo ya mapishi na ujasiriamali kwa wanawake wanakijiji cha Moro, CAR |...

Walinda amani kutoka Tanzania watoa mafunzo ya mapishi na ujasiriamali kwa wanawake wanakijiji cha Moro, CAR |...

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wa kikosi cha 6 kutoka Tanzania (TANBAT 6) wanaohudumu chini ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya kati, CAR (MONUSCO) wametoa mafunzo ya upishi kwa vikundi vya wanawake wa Kijiji cha Moro kilichoko takribani kilometa 50 kutoka Mji wa Berberati, jimboni Mambere Kadei yalipo makao makuu ya kikosi hicho.

Wakiwa na shangwe na nderemo wanakijiji cha Moro wanawapokea walinda amani kutoka Tanzania chini ya MINUSCA katika Kijiji hicho...Kisha walinda amani hao wanaanza kutoa elimu ya mapishi kwa vitendo kwa wanawake ili kuwapa njia ya kujipatia kipato na lishe kupitia utengenezaji wa vitafunwa kama vile mandazi. Wanawake wameona kuanzia jinsi ya kuchanganya unga, kukoroga, kuumua hadi mwisho kupata

Chifu wa Kijiji cha Moro Jack Bambakyr anatoa shukrani zake kwa TANBAT6 kwa elimu waliyotoa akisema, "Ninatoka shukrani kwa walinda amani kutoka Tanzania kwa sababu ya mambo mapya ambayo wamekuja kuwaonesha wake zetu hapa. Wamepata ujuzi wa kutengeneza vitu mbalimbali kwa mikono Ili kujipatia kipato. Asante sana, asante sana kwa kuja kwetu."

Naye Mwenyekiti wa vikindi vya ujasiliamali vya wanawake wa kijiji Cha Moro Bi. Marie Aghateanatoa shukrani zake kwa TANBAT6 huku akiwasihi wapatapo nafasi warudi tena kuwapatia elimu zaidi, "Kwa niamba ya kinamama nashukuru sana Kwa kutupa uelewa zaidi wa kujipatia kipato. Asanteni watanzania tunaomba mnapopata nafasi msisite kuja tena Kijiji hapa"

Sasa ni matunda ya kile walichofundishwa wanakijiji, wanakula na kunywa uji na mandazi.

Walinda amani kutoka Tanzania watoa mafunzo ya mapishi na ujasiriamali kwa wanawake wanakijiji cha Moro, CAR |... Peacekeepers|peacekeepers|||"provide"|training||cooking and entrepreneurship||entrepreneurship|||village women||Moro village|Central African Republic Friedenstruppen aus Tansania bieten Frauen im Dorf Moro, Zentralafrikanische Republik, Koch- und Unternehmerschulungen an |... Peacekeepers from Tanzania provide cooking and entrepreneurship training to women in the village of Moro, CAR |... Fuerzas de paz de Tanzania brindan capacitación en cocina y emprendimiento a mujeres en la aldea de Moro, República Centroafricana |... Des soldats de la paix tanzaniens offrent une formation en cuisine et en entrepreneuriat aux femmes du village de Moro, en RCA |... タンザニアの平和維持軍がモロ村の女性たちに料理と起業家精神の訓練を提供 |... 탄자니아의 평화유지군이 중앙아프리카공화국 모로 마을 여성들에게 요리와 기업가 정신 교육을 제공합니다 |... Siły pokojowe z Tanzanii zapewniają kobietom w wiosce Moro w Republice Środkowoafrykańskiej szkolenia z gotowania i przedsiębiorczości |... Soldados da paz da Tanzânia fornecem treinamento em culinária e empreendedorismo para mulheres no vilarejo de Moro, CAR |... Tanzanya'dan gelen barış güçleri, Moro, CAR |... köyündeki kadınlara yemek pişirme ve girişimcilik eğitimi veriyor. Миротворці з Танзанії навчають жінок кулінарії та підприємництву в селі Моро, ЦАР |...

Walinda amani wa Umoja wa Mataifa wa kikosi cha 6 kutoka Tanzania (TANBAT 6) wanaohudumu chini ya Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya kati, CAR (MONUSCO) wametoa mafunzo ya upishi kwa vikundi vya wanawake wa Kijiji cha Moro kilichoko takribani kilometa 50 kutoka Mji wa Berberati, jimboni Mambere Kadei yalipo makao makuu ya kikosi hicho. Peacekeepers|peacekeepers||United Nations||United Nations||Unit or team||||Tanzania Battalion|"serving under"|under||Mission||United Nations|||in the country|Republic||||Central African Republic||United Nations|"have provided"|Training||cooking|"for" or "to"|groups||||Village|||"located in"|approximately|kilometers||town||Berberati: Berberati town|"in the province"|Mambere Kadei|Kadei: "Kadei region"|"where are"|headquarters|headquarters||unit|"that" The United Nations peacekeepers of the 6th contingent from Tanzania (TANBAT 6) serving under the United Nations Mission in the Central African Republic, CAR (MONUSCO) have provided cooking training to the women's groups of the Moro Village located about a kilometer 50 from the town of Berberati, Mambere Kadei province where the headquarters of the force is located.

Wakiwa na shangwe na nderemo wanakijiji cha Moro wanawapokea walinda amani kutoka Tanzania chini ya MINUSCA katika Kijiji hicho...Kisha walinda amani hao wanaanza kutoa elimu ya mapishi kwa vitendo kwa wanawake ili kuwapa njia ya kujipatia kipato na lishe kupitia utengenezaji wa vitafunwa kama vile mandazi. While having||joy and celebration||cheers and jubilation|villagers|||they receive them|peacekeepers|peacekeepers|||||United Nations Mission|||that village|Then|peacekeepers||"those" or "the"|"they begin"|provide|education on cooking||cooking||practically|||"so that"|to give them|means of||to obtain|income||nutrition|through|production||snacks like mandazi||such as|Mandazi: Swahili doughnuts With joy and pride, the Moro villagers welcome the peacekeepers from Tanzania under MINUSCA in the village... Then the peacekeepers begin to provide practical cooking education to women to give them a way to earn income and nutrition through the production of snacks such as mandazi . Avec joie et enthousiasme, les villageois de Moro accueillent les soldats de la paix tanzaniens de la MINUSCA dans le village... Ensuite, les soldats de la paix commencent à dispenser une formation culinaire pratique aux femmes pour leur donner un moyen de gagner un revenu et de se nourrir grâce à la production de collations telles que le mandazi. . Wanawake wameona kuanzia jinsi ya kuchanganya unga, kukoroga, kuumua hadi mwisho kupata Women||"starting from"|how to||mixing|flour|stirring|kneading the dough|until the end|the end|to obtain Women have learned everything from how to mix flour, stir, knead, to the end result

Chifu wa Kijiji cha Moro Jack Bambakyr anatoa shukrani zake kwa TANBAT6 kwa elimu waliyotoa akisema, "Ninatoka shukrani kwa walinda amani kutoka Tanzania kwa sababu ya mambo mapya ambayo wamekuja kuwaonesha wake zetu hapa. Chief|||||Jack|Bambakyr|"Expresses"|Thanks|||||education provided|they provided|saying|I give thanks|gratitude||peacekeepers|peacekeepers||||||new things|new things|"which" or "that"|have come to|show them||our wives| Village Chief of Moro Jack Bambakyr expresses his gratitude to TANBAT6 for the education they provided, saying, "I am grateful to the peacekeepers from Tanzania for the new things they have come to show our wives here. Wamepata ujuzi wa kutengeneza vitu mbalimbali kwa mikono Ili kujipatia kipato. "They have gained"|skills||make|things|various things||hands|"In order to"|earn for themselves|income They have gained skills in making various things by hand to earn income. Asante sana, asante sana kwa kuja kwetu." |||||coming|our place Thank you very much, thank you so much for coming to us.

Naye Mwenyekiti wa vikindi vya ujasiliamali vya wanawake wa kijiji Cha Moro Bi. With her|Chairperson||women's groups||entrepreneurship||||||| The Chairperson of the women's entrepreneurship groups in Moro Village, Mrs. Marie Aghateanatoa shukrani zake kwa TANBAT6 huku akiwasihi wapatapo nafasi warudi tena kuwapatia elimu zaidi, "Kwa niamba ya kinamama nashukuru sana Kwa kutupa uelewa zaidi wa kujipatia kipato. Marie thanks TANBAT6|her gratitude|"her gratitude"|her|||"while"|"pleading with"|"when they get"|opportunity|"they return"||provide them with||||on behalf of||mothers|"I thank"|||"giving us"|understanding|||"to earn"|income Marie Aghate expresses her gratitude to TANBAT6 while urging them to come back and provide more education, "On behalf of the women, I am very grateful for giving us more understanding of how to generate income. Asanteni watanzania tunaomba mnapopata nafasi msisite kuja tena Kijiji hapa" Thank you all|Tanzanians|we request|"when you get"|opportunity|do not hesitate|||village| Thank you Tanzanians, we ask that when you get the chance, do not hesitate to come back to this village"

Sasa ni matunda ya kile walichofundishwa wanakijiji, wanakula na kunywa uji na mandazi. "Now"||fruits||that which|they were taught|villagers||||porridge||doughnut-like pastries Now it is the results of what the villagers were taught, they eat and drink porridge and mandazi.