×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».

image

Habari za UN, WHO imetoa onyo kwamba matumizi ya vikoleza utamu visivyo sukari hayapunguzi uzito | | Habari za UN

WHO imetoa onyo kwamba matumizi ya vikoleza utamu visivyo sukari hayapunguzi uzito | | Habari za UN

Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO, hii leo limetoa mwongozo unaoshauri watu wasitumie vikoleza utamu visivyo sukari halisia (NSS) kwa lengo la kupunguza uzito na kuepusha magonjwa yasiyo ya kuambukiza, NCDs.

Assumpta Massoi anafafanua zaidi.

Taarifa ya WHO iliyotolewa leo Geneva, Uswisi inasema mwongozo huo unafuatia mapitio ya ushahidi unaodokeza kwamba kutumia sukari isiyo halisia kwa ajili ya kupunguza uzito hauna manufaa ya muda mrefu katika kupunguza mafuta mwilini miongoni mwa watoto na watu wazima.

Sukari hizo zisizo halisia na ambazo zinatumika ni pamoja na aspartame, advantame, cyclamates, neotame, saccharin, sucralose na stevia.

Kitu kibaya zaidi ambacho mapitio hayo yamebaini ni kwamba sukari hizo zisizo halisia zinaongeza hatari ya kupata uognjwa wa kisukari aina ya 2, magonjwa ya moyo na vifo miongoni mwa watu wazima.

Mkurugenzi wa WHO Idara ya Lishe na Usalama wa Chakula Dkt. Francesco Branca amesema kuacha kutumia sukari ya kawaida na badala yake kutumia sukari zisizo halisia kwa muda mrefu hakusaidii kupunguza uzito.

Amesema “watu wanapaswa kufikiria njia mbadala za kupunguza matumizi ya sukari kwa kula vyakula vyenye sukari ya asili kama vile matunda au vinywaji na vyakula visivyo na sukari.”

Amesema “vikoleza utamu visivyo na sukari havina lishe yoyote. Watu wapunguze vyakula vitamu kwenye mlo wao tangu utotoni ili kuimarisha afya zao.”

WHO inasema pendekezo hilo linahusu watu wote isipokuwa wale wanaougua kisukari.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

WHO imetoa onyo kwamba matumizi ya vikoleza utamu visivyo sukari hayapunguzi uzito | | Habari za UN WHO|has issued|warning|that|use||sweeteners|sweeteners|non-sugar||does not reduce|weight||| Die WHO hat gewarnt, dass die Verwendung von zuckerfreien Süßungsmitteln nicht zu einer Gewichtsreduktion führt | UN-Nachrichten WHO has warned that the use of sugar-free sweeteners does not reduce weight | UN news La OMS advierte que el uso de edulcorantes sin azúcar no reduce el peso | noticias de la ONU L'OMS a averti que l'utilisation d'édulcorants sans sucre ne réduit pas le poids | Actualités de l'ONU WHOは無糖甘味料の使用は体重を減らさないと警告した|国連ニュース WHO는 무설탕 감미료를 사용해도 체중이 감소하지 않는다고 경고했습니다. | 유엔 뉴스 De WHO heeft gewaarschuwd dat het gebruik van suikervrije zoetstoffen het gewicht niet vermindert | VN-nieuws WHO ostrzega, że stosowanie słodzików bezcukrowych nie powoduje utraty wagi | Wiadomości ONZ A OMS alertou que o uso de adoçantes sem açúcar não reduz o peso | notícias da ONU ВОЗ предупредила, что употребление подсластителей без сахара не снижает вес | Новости ООН 世卫组织警告称,使用无糖甜味剂并不能减轻体重|联合国新闻 世界卫生组织警告称,使用无糖甜味剂并不能减轻体重|联合国新闻

Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO, hii leo limetoa mwongozo unaoshauri watu wasitumie vikoleza utamu visivyo sukari halisia (NSS) kwa lengo la kupunguza uzito na kuepusha magonjwa yasiyo ya kuambukiza, NCDs. |||||||||||||qui conseille||ne les utilisent pas|||||réel||||||||||||transmettre| organization||Unity||||health|world||||has released|guideline|that advises||should not use|sweeteners|sweetness|that do not|sugar substitutes|non-sugar sweeteners|non-sugar sweeteners|for|purpose|||||avoid|diseases|non-communicable diseases||non-communicable diseases|magonjwa yasiyo ya kuambukiza The United Nations World Health Organization, WHO, today issued a guideline that advises people not to use natural sugar sweeteners (NSS) in order to lose weight and avoid non-communicable diseases, NCDs. L'Organisation mondiale de la santé, OMS, a publié aujourd'hui des directives conseillant aux gens de ne pas utiliser des édulcorants non sucrés (NSS) dans le but de perdre du poids et de prévenir les maladies non transmissibles, MNT.

Assumpta Massoi anafafanua zaidi. Assumpta|Massoi|explique|davantage Assumpta|Massoi|explains| Assumpta Massoi explains more. Assumpta Massoi explique davantage.

Taarifa ya WHO iliyotolewa leo Geneva, Uswisi inasema mwongozo huo unafuatia mapitio ya ushahidi unaodokeza kwamba kutumia sukari isiyo halisia kwa ajili ya kupunguza uzito hauna manufaa ya muda mrefu katika kupunguza mafuta mwilini miongoni mwa watoto na watu wazima. ||||||||||||||indiquant||||||||||||bénéfices||||||||||||| report|||"released"||Geneva|Switzerland|says|guideline|"that"|"follows"|review of evidence||evidence|"suggests"||use||"not real"|artificial||guideline||reduce|weight reduction|has no|long-term benefits|||||reduce|fat in the body|"in the body"|among|||||adults A WHO statement released today in Geneva, Switzerland says the guidelines follow a review of evidence suggesting that using artificial sugar for weight loss has no long-term benefits in reducing body fat among children and adults. Le communiqué de l'OMS publié aujourd'hui à Genève, en Suisse, indique que ces directives font suite à un examen des preuves montrant que l'utilisation de sucre non réel pour la perte de poids n'apporte aucun bénéfice à long terme dans la réduction de la graisse corporelle chez les enfants et les adultes.

Sukari hizo zisizo halisia na ambazo zinatumika ni pamoja na aspartame, advantame, cyclamates, neotame, saccharin, sucralose na stevia. ||||||||||aspartame|advantame|cyclamates|neotame|saccharine|sucralose||stevia ||"that are not"|artificial||"which" or "that are"|are used||||aspartame|Advantame|cyclamates|neotame|saccharin|sucralose||stevia The artificial sugars that are used include aspartame, advantame, cyclamates, neotame, saccharin, sucralose and stevia.

Kitu kibaya zaidi ambacho mapitio hayo yamebaini ni kwamba sukari hizo zisizo halisia zinaongeza hatari ya kupata uognjwa wa kisukari aina ya 2, magonjwa ya moyo na vifo miongoni mwa watu wazima. |||||||||||||||||maladie||||||||||||| |worst thing||"which"|reviews have revealed|those reviews have|"have identified"|||||"not genuine"|artificial|"increases the risk"|risk of developing||to develop|disease||diabetes type 2|||diseases||heart disease||deaths among adults|among||| The worst thing the review found is that these artificial sugars increase the risk of type 2 diabetes, heart disease and death among adults. La pire chose que ces études ont révélée est que ces sucres artificiels augmentent le risque de contracter le diabète de type 2, des maladies cardiaques et des décès chez les adultes.

Mkurugenzi wa WHO Idara ya Lishe na Usalama wa Chakula Dkt. Director|||Department||Nutrition||Safety|||Dr Director of the WHO Department of Nutrition and Food Safety Dr. Le directeur de l'OMS, Département Nutrition et Sécurité Alimentaire, Dr. Francesco Branca amesema kuacha kutumia sukari ya kawaida na badala yake kutumia sukari zisizo halisia kwa muda mrefu hakusaidii kupunguza uzito. |||||sucre||||||||||||||| Francesco Branca said|Branca|||"use"|||regular sugar||"instead of"||"use"||artificial sweeteners|artificial sweeteners||||does not help|reduce|weight Francesco Branca has said that giving up regular sugar and instead using artificial sugar for a long time does not help to lose weight. Francesco Branca a déclaré que cesser de consommer du sucre ordinaire et utiliser à la place des sucres artificiels sur une longue période n'aide pas à perdre du poids.

Amesema “watu wanapaswa kufikiria njia mbadala za kupunguza matumizi ya sukari kwa kula vyakula vyenye sukari ya asili kama vile matunda au vinywaji na vyakula visivyo na sukari.” |||to think||alternative ways||reduce|consumption||||||containing|||natural||such as|fruits||drinks|||without sugar|| He said "people should think of alternative ways to reduce sugar consumption by eating foods with natural sugar such as fruits or drinks and foods without sugar."

Amesema “vikoleza utamu visivyo na sukari havina lishe yoyote. |enhance|flavor||||"do not have"|Nutritional value| He said "sweeteners without sugar do not have any nutrition. Watu wapunguze vyakula vitamu kwenye mlo wao tangu utotoni ili kuimarisha afya zao.” |"reduce"||sweet foods||diet||"since childhood"|"childhood"||"to improve"|Health| People should reduce sweet foods in their diet from childhood to strengthen their health." Les gens devraient réduire les aliments sucrés dans leur alimentation depuis l'enfance afin d'améliorer leur santé.

WHO inasema pendekezo hilo linahusu watu wote isipokuwa wale wanaougua kisukari. ||recommendation|that proposal|concerns|||except for|those with diabetes|are suffering from|diabetes The WHO says the recommendation applies to all people except those suffering from diabetes. L'OMS dit que cette recommandation s'applique à tout le monde, sauf aux personnes atteintes de diabète.