×

Мы используем cookie-файлы, чтобы сделать работу LingQ лучше. Находясь на нашем сайте, вы соглашаетесь на наши правила обработки файлов «cookie».

image

Swahili dialogue - Nchi ya Mwujiza, Nchi ya Mwujiza

Nchi ya Mwujiza

017 Mawe Moja, Kendu Bay Februari 20, 2016

Hujambo mpendwa binamu! Ninatumai hujambo.

Nisamehe kwa kuchelewa kujibu maswali yako kuhusu safari yangu ya kuvutia ya Kenya.

Unajua kwamba nimekuwa nje ya bara letu kwa muda.

Safari yangu ilikuwa ya siku saba. Nilisafiri na ndege ya Kenya Airways kutoka Ulaya ya Kati.

Nilifurahi sana kutembelea bara la Afrika kwa mara ya kwanza.

Siku ya kwanza ya safari yetu tulitembelea karibu katikati ya mji wa Kisumu kufurahia hali ya hewa nzuri.

Ilikuwa ni siku ya mapumziko.

Siku ya pili, mwongozo alituchukua vivutio mbalimbali vya utalii na kisha ununuzi.

Niamini, unaweza kupata zawadi ya bei nafuu nchini Kenya.

Sehemu ya kuvutia ya safari yetu ilikuwa kwenda Nairobi kupitia mabasi ambao ulifanyika siku ya tatu.

Sanaa ya mwamba katika barabara na vijiji vya jirani ni kuvutia sana.

Wakati huko, tulitembelea Makumbusho Maarufu ya Taifa ya Nairobi na kisha tukaenda bustani ya mimea.

Pengine unajua kwamba kuna ndenge nyingi za changamfu na vipepeo nchini Kenya.

Tulitumia siku nne ya mwisho ya safari yetu kwa kujifurahisha katika Kisiwa ya Lamu na mji wake wa kale.

Siku ya mwisho katika saa za alasiri tulirudi kwa mji mkuu, Nairobi nakujitaharisha kuondoka wakati wa usiku.

Nataka kwenda huko tena pengine mwaka ujao.

Nashangaa kama ungependa kuandamana nami kwa nchi ya mwujiza ya Kenya.

Kwaheri kwa sasa, ninamatumaini ya kusikia kutoka kwako kuhusu safari yako Ulaya.

Asante sana, Kanyaga.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Nchi ya Mwujiza Miracle Country||Wonderland Das Land des Wunders The Land of the Miracle La tierra del milagro Le pays du miracle 奇跡の国 기적의 땅 Het land van het wonder Kraina Cudów A Terra do Milagre Земля Чуда 奇迹之地 奇迹之地

017 Mawe Moja, Kendu Bay Februari 20, 2016 Stone|One|Kendu Bay|Kendu Bay|February 017 Mawe Moja, Kendu Bay February 20, 2016 017 Mawe Moja, Kendu Bay 20 februari 2016

Hujambo mpendwa binamu! How are you|dear|cousin Hello dear cousin! Hallo lieve neef! Ninatumai hujambo. "I hope"|you are well I hope hello.

Nisamehe kwa kuchelewa kujibu maswali yako kuhusu safari yangu ya kuvutia ya Kenya. Forgive me|for|being late|respond|your questions|your questions|about|trip|my trip|of|fascinating||Kenya Forgive me for the delay in answering your questions about my interesting trip to Kenya.

Unajua kwamba nimekuwa nje ya bara letu kwa muda. You know|that|I have been|outside|of|continent|our continent|for a period|time You know that I have been out of our country for a while.

Safari yangu ilikuwa ya siku saba. my trip||was|of|days|seven My trip was for seven days. Nilisafiri na ndege ya Kenya Airways kutoka Ulaya ya Kati. I traveled||airplane|||airways|from|Central Europe|of|Central Europe I flew with Kenya Airways from Central Europe.

Nilifurahi sana kutembelea bara la Afrika kwa mara ya kwanza. I was happy|very|visit|continent|the|Africa continent|to|time||first time I was very happy to visit the continent of Africa for the first time.

Siku ya kwanza ya safari yetu tulitembelea karibu katikati ya mji wa Kisumu kufurahia hali ya hewa nzuri. Day||first|||our|we visited|near|in the middle||city|of|Kisumu|enjoying|weather conditions|of|weather|good weather On the first day of our trip we visited near the center of Kisumu town to enjoy the good weather.

Ilikuwa ni siku ya mapumziko. ||day||day off It was a day off.

Siku ya pili, mwongozo alituchukua vivutio mbalimbali vya utalii na kisha ununuzi. Day|of|second|guide|"took us to"|tourist attractions|various|various attractions|tourist attractions||and then|shopping On the second day, the guide took us to various tourist attractions and then shopping.

Niamini, unaweza kupata zawadi ya bei nafuu nchini Kenya. Believe me|can|get|gift|of|price|affordable|in the country| Trust me, you can find a cheap gift in Kenya.

Sehemu ya kuvutia ya safari yetu ilikuwa kwenda Nairobi kupitia mabasi ambao ulifanyika siku ya tatu. Part|of|attractive part|||||go|Nairobi|through|buses|which took place|was done|day||three The interesting part of our trip was going to Nairobi via buses which happened on the third day. La partie intéressante de notre voyage était d'aller à Nairobi en bus, ce qui s'est passé le troisième jour.

Sanaa ya mwamba katika barabara na vijiji vya jirani ni kuvutia sana. Art||rock art|in the|road|and|villages|of the|neighboring|is|attractive|very The rock art in the streets and neighboring villages is very interesting. L'art rupestre dans les rues et les villages voisins est très intéressant.

Wakati huko, tulitembelea Makumbusho Maarufu ya Taifa ya Nairobi na kisha tukaenda bustani ya mimea. When there|"there"|we visited|museum|Famous|of|National||||then|we went to|botanical garden|of|plants garden While there, we visited the Nairobi National Museum and then went to the botanical garden. Pendant notre séjour, nous avons visité le musée national de Nairobi, puis nous sommes allés au jardin botanique.

Pengine unajua kwamba kuna ndenge nyingi za changamfu na vipepeo nchini Kenya. "Perhaps"|you know|that|there are|many types|many|of|lively|and|butterflies|in the country| You probably know that there are many colorful butterflies and moths in Kenya. Vous savez probablement qu'il existe de nombreux papillons et mites colorés au Kenya.

Tulitumia siku nne ya mwisho ya safari yetu kwa kujifurahisha katika Kisiwa ya Lamu na mji wake wa kale. We spent||four||last|||our trip|to|enjoying ourselves|in the|island||Lamu Island||city|its|of|ancient We spent the last four days of our trip enjoying Lamu Island and its old town. Nous avons passé les quatre derniers jours de notre voyage à profiter de l'île de Lamu et de sa vieille ville.

Siku ya mwisho katika saa za alasiri tulirudi kwa mji mkuu, Nairobi nakujitaharisha kuondoka wakati wa usiku. ||||||Nachmittag|wir kehrten zurück|||Hauptstadt||mich vorbereiten|abfahren|||Nacht day||last|in the|time|of|afternoon hours|we returned|to|city|capital city|Nairobi|prepare myself|to depart|at the time|of the|night On the last day in the afternoon we returned to the capital, Nairobi, preparing to leave at night. Le dernier jour dans l'après-midi, nous sommes retournés à la capitale, Nairobi, en nous préparant à partir dans la nuit.

Nataka kwenda huko tena pengine mwaka ujao. ich möchte|||wieder||Jahr|nächstes I want|go|there|again|maybe|year|next year I want to go there again maybe next year.

Nashangaa kama ungependa kuandamana nami kwa nchi ya mwujiza ya Kenya. I wonder|if|"would like to"|accompany|with me|with|country|of|wonderful place|| I wonder if you would like to accompany me to the miraculous land of Kenya. Je me demande si vous aimeriez m'accompagner au pays miraculeux du Kenya.

Kwaheri kwa sasa, ninamatumaini ya kusikia kutoka kwako kuhusu safari yako Ulaya. Goodbye|for|for now|I hope||hear from you|from you|from you|about|trip|your|Europe Goodbye for now, I hope to hear from you about your trip to Europe. Au revoir pour l'instant, j'espère avoir de vos nouvelles sur votre voyage en Europe.

Asante sana, Kanyaga. Danke|sehr|Kanyaga Thank you||Step on it Thank you very much, Kanyaga. Merci beaucoup Kanyaga.