×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.

image

LingQ Mini Stories, 8- Ninataka Kununua Viatu Vipya

Vailet anataka kununua viatu vipya.

Anaenda ndani ya duka la viatu.

Kuna viatu vingi vizuri hapo.

Vailet anajaribu kuvaa jozi ya viatu vya bluu.

Viatu vya bluu vinambana sana.

Anajaribu kuvaa jozi ya viatu vyeusi.

Viatu hivi vinamkaa vizuri sana.

Vailet anauliza gharama ya viatu vile vyeusi.

Viatu vyeusi ni shilingi laki mbili na elfu hamsini.

Vailet kwa huzuni anaviweka viatu vile chini na kuondoka.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Vailet

Ninataka kununua viatu vipya.

Ninaenda ndani ya duka la viatu.

Kuna viatu vingi vizuri hapo.

Ninajaribu kuvaa jozi ya viatu vya bluu.

Viatu vya bluu vinanibana sana.

Ninajaribu jozi ya viatu vyeusi.

Viatu hivi vinanikaa vizuri sana.

Ninauliza gharama ya viatu vile vyeusi.

Viatu vyeusi ni shilingi laki mbili na elfu hamsini.

Kwa huzuni naviweka viatu vile chini na kuondoka.

Maswali.

1) Vailet anataka kununua viatu vipya. Je, Vailet anataka kununua viatu vipya? Ndiyo, Vailet anataka kununua viatu vipya.

2) Kuna viatu vingi vizuri ndani ya duka la viatu. Je, kuna viatu vingi ndani ya duka la viatu? Ndiyo, kuna viatu vingi vizuri ndani ya duka la viatu.

3) Vailet anajaribu kuvaa jozi ya viatu vya blue na vyeusi. Je, Vailet amejaribu jozi mbili ya viatu? Ndiyo, Vailet amejaribu jozi mbili ya viatu. Amejaribu kuvaa jozi ya bluu na nyeusi.

4) Kwanza, Vailet amejaribu jozi ya viatu vya bluu. Je, Vailet amejaribu jozi ya viatu vyekundu kwanza? Hapana, Vailet hajajaribu jozi ya viatu vyekundu. Amejaribu jozi ya viatu vya bluu.

5) Viatu vya bluu vinambana sana. Je, viatu vya bluu vinamkaa vizuri? Hapana, viatu vya bluu havimkai vizuri. Vinambana sana.

6) Viatu vyeusi vinamkaa vizuri. Je, viatu vyeusi vinamkaa vizuri? Ndiyo, viatu vyeusi vinamkaa vizuri.

7) Viatu vyeusi ni shilingi laki mbili na elfu hamsini. Je, viatu vyeusi vina gharama kubwa? Ndiyo, viatu vyeusi vina gharama kubwa. Ni shilingi laki mbili na elfu hamsini.

8) Vailet anaweka chini viatu na kuondoka dukani. Je, Vailet alinunua viatu? Hapana, Vailet hakununua viatu. Aliviweka chini na kuondoka dukani.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Vailet anataka kununua viatu vipya. Vailet|wants|to buy|shoes|new Vailet möchte neue Schuhe kaufen. Lisa wants to buy new shoes. Vailet wil nieuwe schoenen kopen.

Anaenda ndani ya duka la viatu. He goes|inside|in|store|of|shoes She goes to a shoe store. Il entre dans le magasin de chaussures.

Kuna viatu vingi vizuri hapo. There are|shoes|many|good|there There are many pretty shoes there.

Vailet anajaribu kuvaa jozi ya viatu vya bluu. Vailet|is trying|to wear|pair|of|shoes|of|blue Lisa tries on a blue pair of shoes. Vailet past een paar blauwe schoenen.

Viatu vya bluu vinambana sana. The shoes|of|blue|are tight|very The blue shoes are too tight. Blauwe schoenen zitten erg strak.

Anajaribu kuvaa jozi ya viatu vyeusi. He is trying|to wear|pair|of|shoes|black She tries on a black pair of shoes.

Viatu hivi vinamkaa vizuri sana. The shoes|these|fit him/her|well|very These shoes are very comfortable.

Vailet anauliza gharama ya viatu vile vyeusi. Vailet|asks|price|of|shoes|those|black Vailet fragt nach dem Preis dieser schwarzen Schuhe. Lisa asks how much the black shoes cost.

Viatu vyeusi ni shilingi laki mbili na elfu hamsini. The shoes|black|are|shillings|hundred thousand|two|and|thousand|fifty Schwarze Schuhe kosten zweihundertfünfzigtausend Schilling. The black shoes are four hundred and fifty dollars. Les chaussures noires coûtent deux cent cinquante mille shillings. Zwarte schoenen kosten tweehonderdvijftigduizend shilling.

Vailet kwa huzuni anaviweka viatu vile chini na kuondoka. Vailet|with|sadness|puts them|shoes|those|down|and|leaves Vailet zieht traurig die Schuhe aus und geht. Lisa sadly puts the shoes down and leaves. Vailet legt verdrietig de schoenen neer en vertrekt.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Vailet This|is|story|that|narrated|by|Vailet Here is the same story told in a different way.

Ninataka kununua viatu vipya. I want|to buy|shoes|new I want to buy new shoes.

Ninaenda ndani ya duka la viatu. I am going|inside|to|store|of|shoes I go to a shoe store.

Kuna viatu vingi vizuri hapo. There are|shoes|many|good|there There are many pretty shoes there.

Ninajaribu kuvaa jozi ya viatu vya bluu. I am trying|to wear|pair|of|shoes|of|blue I try on a blue pair of shoes.

Viatu vya bluu vinanibana sana. The shoes|of|blue|squeeze me|very much The blue shoes are too tight.

Ninajaribu jozi ya viatu vyeusi. I am trying|pair|of|shoes|black I try on a black pair of shoes.

Viatu hivi vinanikaa vizuri sana. The shoes|these|fit me|well|very These shoes are very comfortable. Ces chaussures me vont très bien.

Ninauliza gharama ya viatu vile vyeusi. I am asking|price|of|shoes|those|black I ask how much the black shoes cost. Je demande le prix de ces chaussures noires.

Viatu vyeusi ni shilingi laki mbili na elfu hamsini. The shoes|black|are|shillings|hundred thousand|two|and|thousand|fifty The black shoes are four hundred and fifty dollars. Les chaussures noires coûtent deux cent cinquante mille shillings.

Kwa huzuni naviweka viatu vile chini na kuondoka. With|sadness|I put them|shoes|those|down|and|to leave I sadly put the shoes down and leave.

Maswali. Questions Questions: Des questions.

1) Vailet anataka kununua viatu vipya. Vailet|wants|to buy|shoes|new One: Lisa wants to buy new shoes. 1) Vailet souhaite acheter de nouvelles chaussures. Je, Vailet anataka kununua viatu vipya? Is|Vailet|wants|to buy|shoes|new Does Lisa want to buy new shoes? Vailet souhaite-t-il acheter de nouvelles chaussures ? Ndiyo, Vailet anataka kununua viatu vipya. Yes|Vailet|wants|to buy|shoes|new Yes, Lisa wants to buy new shoes. Oui, Vailet souhaite acheter de nouvelles chaussures.

2) Kuna viatu vingi vizuri ndani ya duka la viatu. There are|shoes|many|good|inside|of|store|of|shoes Two: There are many pretty shoes in the shoe store. 2) Il y a beaucoup de bonnes chaussures dans le magasin de chaussures. Je, kuna viatu vingi ndani ya duka la viatu? Is|there are|shoes|many|inside|of|store|of|shoes Are there many shoes in the shoe store? Y a-t-il beaucoup de chaussures dans le magasin de chaussures ? Ndiyo, kuna viatu vingi vizuri ndani ya duka la viatu. Yes|there are|shoes|many|nice|inside|of|store|of|shoes Yes, there are many pretty shoes in the shoe store. Oui, il y a beaucoup de bonnes chaussures dans les magasins de chaussures.

3) Vailet anajaribu kuvaa jozi ya viatu vya blue na vyeusi. Vailet|is trying|to wear|pair|of|shoes|of|blue|and|black Three: Lisa tries on a blue and a black pair of shoes. Je, Vailet amejaribu jozi mbili ya viatu? question particle|proper noun|has tried|pair|two|of|shoes Does Lisa try on two pairs of shoes? Ndiyo, Vailet amejaribu jozi mbili ya viatu. Yes|Vailet|has tried|pair|two|of|shoes Yes, Lisa tries on two pairs of shoes. Amejaribu kuvaa jozi ya bluu na nyeusi. He has tried|to wear|pair|of|blue|and|black She tries on a blue and a black pair.

4) Kwanza, Vailet amejaribu jozi ya viatu vya bluu. First|Vailet|has tried|pair|of|shoes|blue|blue Four: First, Lisa tries a pair of blue shoes. Je, Vailet amejaribu jozi ya viatu vyekundu kwanza? question particle|proper noun|has tried|pair|of|shoes|red|first Does Lisa try a pair of red shoes first? Vailet a-t-il d'abord essayé une paire de chaussures rouges ? Hapana, Vailet hajajaribu jozi ya viatu vyekundu. No|Vailet|has not tried|pair|of|shoes|red No, Lisa does not try a pair of red shoes. Amejaribu jozi ya viatu vya bluu. He has tried|pair|of|shoes|of|blue She tries a pair of blue shoes. Il a essayé une paire de chaussures bleues.

5) Viatu vya bluu vinambana sana. The shoes|of|blue|are tight|very Five: The blue shoes are too tight. Je, viatu vya bluu vinamkaa vizuri? Do|shoes|of|blue|fit|well Are the blue shoes comfortable? Les chaussures bleues lui vont-elles bien ? Hapana, viatu vya bluu havimkai vizuri. No|shoes|of|blue|do not fit|well No, the blue shoes are not comfortable. Non, les chaussures bleues ne lui vont pas bien. Vinambana sana. I struggle|a lot They are too tight.

6) Viatu vyeusi vinamkaa vizuri. The shoes|black|fit him|well Six: The black shoes are very comfortable. Je, viatu vyeusi vinamkaa vizuri? Are the black shoes comfortable? Les chaussures noires lui vont-elles bien ? Ndiyo, viatu vyeusi vinamkaa vizuri. Yes|shoes|black|they look on him/her|good Yes, the black shoes are very comfortable. Oui, les chaussures noires lui vont bien.

7) Viatu vyeusi ni shilingi laki mbili na elfu hamsini. The shoes|black|are|shillings|hundred thousand|two|and|thousand|fifty Seven: The black shoes are four hundred fifty dollars. 7) Les chaussures noires coûtent deux cent cinquante mille shillings. Je, viatu vyeusi vina gharama kubwa? Do|shoes|black|have|cost|high Are the black shoes expensive? Ndiyo, viatu vyeusi vina gharama kubwa. Yes|shoes|black|they have|cost|high Yes, the black shoes are expensive. Oui, les chaussures noires coûtent cher. Ni shilingi laki mbili na elfu hamsini. It is|shillings|hundred thousand|two|and|thousand|fifty They are four hundred fifty dollars. C'est deux cent cinquante mille shillings.

8) Vailet anaweka chini viatu na kuondoka dukani. Vailet|puts|down|shoes|and|leaves|from the store Eight: Lisa puts down the shoes and leaves the store. Je, Vailet alinunua viatu? question particle|Vailet|bought|shoes Does Lisa buy the shoes? Vailet a-t-il acheté des chaussures ? Hapana, Vailet hakununua viatu. No|Vailet|did not buy|shoes No, Lisa does not buy the shoes. Non, Vailet n'a pas acheté de chaussures. Aliviweka chini na kuondoka dukani. He put them|down|and|left|the store She puts them down and leaves the store. Il les posa et quitta le magasin.