×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.

image

Who is She?, 1- Nafurahi Kukutana Nawe

Habari, Nikusaidie vipi?

Mimi ni Naomi.

Hujambo?

Nafurahi kukutana nawe.

Nafurahi pia kukutana nawe.

Rafiki yako anaitwaje?

Jina la rafiki yangu ni Anna.

Habari Naomi, Habari Anna, Vizuri kukutana nanyi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Habari, Nikusaidie vipi? Hello|How can I help you|you Hello, What can I do for you? Bonjour, comment puis-je vous aider ? 您好,请问有什么可以帮您的吗?

Mimi ni Naomi. I|am|Naomi My name is Jane. Je m'appelle Naomi. 我是娜奥米。

Hujambo? How are you How do you do? Bonjour?

Nafurahi kukutana nawe. I am happy|to meet|with you Glad to meet you. Ravi de vous rencontrer. 很高兴见到你。

Nafurahi pia kukutana nawe. I am happy|also|to meet|with you Glad to meet you too. Ravi de te rencontrer également. 我也很高兴见到你。

Rafiki yako anaitwaje? Your friend|your|is called What is your friend's name? Comment s'appelle ton ami ? 你朋友叫什么名字?

Jina la rafiki yangu ni Anna. The name|of|friend|my|is|Anna My friend's name is Sally. Le nom de mon amie est Anna.

Habari Naomi, Habari Anna, Vizuri kukutana nanyi. Hello|Naomi|Hello|Anna|Nice|to meet|with you all Hello Jane, Hello Sally, Nice to meet both of you. Salut Naomi, salut Anna, ravi de vous rencontrer.