×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.

image

Who is She?, 26- Hiyo Ni Siri Ndogo Yangu

Je, kuna sababu nyingine unataka Ibrahim kuondoka?

Ndiyo, nina mpenzi mpya na hapendi nikiishi na Ibrahim.

Vizuri.

Mpenzi wako mpya anasema ukweli.

Kwa nini hilo ni nzuri?

Mbona inakujalisha?

Usijali, Hiyo ni siri ndogo yangu.

Hata hivyo, asante kwa kuturuhusu tukutembelee, na shukrani kwa msaada wako.

Sijui nini cha kusema.

Una ujasiri mwingi.

Lakini nafurahi wakati wote kuwaeleza watu kuhusu LingQ.

Hapana, hukunisaidia hivyo.

Umenisaidia kwa sababu tofauti, ambayo inahusiana na Ibrahim.

Usijali.

Lakini Naomi, unapaswa kujifunza lugha.

Utafanya vizuri sana.

Unajitakia makuu na hauaibiki kwa urahisi.

Kwa kweli, siku zote nimetamani kusafiri na kukutana na watu kutoka nchi zingine.

Labda unasema ukweli.

Katika LingQ, wanaamini kila mtu anaweza kujifunza kuzungumza lugha kadhaa.

Wanaamini kwamba haifai kuwa ngumu.

Watu wanahitaji tu kuacha kujifunza jinsi walivyofanya shuleni, na kuanza kujifunza kwa njia ya asili zaidi.

Asalale, kweli una shauku nyingi kuhusu LingQ.

Unapaswa kujaribu na utagundua sababu.

Utaanza kufurahia lugha.

Ikiwa unapenda kujifunza, utafanya vizuri sana.

Hutakaidi lugha.

Utagundua kwamba kujifunza lugha ni safari ya kusisimua na yenye thawabu.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Je, kuna sababu nyingine unataka Ibrahim kuondoka? Are there any other reasons why you want George to leave?

Ndiyo, nina mpenzi mpya na hapendi nikiishi na Ibrahim. Yes|I have|boyfriend|new|and|doesn't like|me living|with|Ibrahim Yes, I have a new boyfriend who does not like me living with George.

Vizuri. Well Good.

Mpenzi wako mpya anasema ukweli. Your partner|your|new|says|the truth Your new boyfriend is right.

Kwa nini hilo ni nzuri? Why|is|that|is|good Why is that good?

Mbona inakujalisha? why|it concerns you Why does it matter to you?

Usijali, Hiyo ni siri ndogo yangu. Don't worry|That|is|secret|small|my Never mind, That is my little secret.

Hata hivyo, asante kwa kuturuhusu tukutembelee, na shukrani kwa msaada wako. However|so|thank you|for|allowing us|to visit you|and|gratitude|for|your help| Anyway, thanks for letting us visit you and thanks for your help.

Sijui nini cha kusema. I don't know|what|to|say I am not sure what to say.

Una ujasiri mwingi. You|courage|much You have a lot of nerve.

Lakini nafurahi wakati wote kuwaeleza watu kuhusu LingQ. But|I am happy|all the time||to explain|people|about|LingQ But I am always happy to help people by telling them about LingQ.

Hapana, hukunisaidia hivyo. No|you didn't help me|like that No, that is not how you helped me.

Umenisaidia kwa sababu tofauti, ambayo inahusiana na Ibrahim. You helped me|for|reason|different|which|is related|to|Ibrahim You have helped me for another reason that has to do with George.

Usijali. Don't worry Never mind.

Lakini Naomi, unapaswa kujifunza lugha. But|Naomi|you should|learn|language But Jane, you should learn languages.

Utafanya vizuri sana. You would do very well.

Unajitakia makuu na hauaibiki kwa urahisi. you wish for yourself|great things|and|you are not easily embarrassed|by|ease You are very determined and you are not easily embarrassed.

Kwa kweli, siku zote nimetamani kusafiri na kukutana na watu kutoka nchi zingine. To|truth|day|always|I have desired|to travel|and|to meet|with|people|from|country|other You know I have always wanted to travel and meet people from other countries.

Labda unasema ukweli. Maybe|you are saying|the truth Maybe you are right.

Katika LingQ, wanaamini kila mtu anaweza kujifunza kuzungumza lugha kadhaa. In|LingQ|they believe|every|person|can|learn|to speak|language|several At LingQ they think everybody can learn to speak several languages.

Wanaamini kwamba haifai kuwa ngumu. They believe|that|should not|be|hard They think that it doesn't have to be difficult.

Watu wanahitaji tu kuacha kujifunza jinsi walivyofanya shuleni, na kuanza kujifunza kwa njia ya asili zaidi. People|need|only|to stop|learning|how|they did|in school|and|to start|learning|in a|way|of|natural|more People just have to stop learning the way they did at school and start learning in a more natural way.

Asalale, kweli una shauku nyingi kuhusu LingQ. Asalale|really|you have|curiosity||about|LingQ Wow, you sure are keen on LingQ.

Unapaswa kujaribu na utagundua sababu. You should|try|and|you will discover|reason You should try it and you will see why.

Utaanza kufurahia lugha. You will start|enjoying|language You will start enjoying the language.

Ikiwa unapenda kujifunza, utafanya vizuri sana. If|you love|to learn|you will do|well|very much If you enjoy learning you will learn better.

Hutakaidi lugha. You will not refuse|language You will not resist the language.

Utagundua kwamba kujifunza lugha ni safari ya kusisimua na yenye thawabu. You will realize|that|learning|language|is|journey|of|exciting|and|having|rewards You will find learning a language an exciting and rewarding adventure.