×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.

image

Swahili music, Mbosso - Hodari

Mbosso - Hodari

shombe shombe mtoto laini laini

anawaka wakaa, (aaaah)

wanga wape vidonge

nimebaini baini

wanatapa tapaaa....(aaaah)

(mmmmhh) ..mi nawe mpaka kiama

tuwaombee uzima

waroge kwa kuchutama

na wasimame wimaa

kamwe watopata mwanya

hadithi fitina

wapike mabiringanya

si tutoke dinner

nalegeaaaa

ukinitazama yako macho,

yako macho..

(aah)..nalegeaaa

ikigusana yangu na yako

yangu na yako

katoto hodari

hodari wa mapenzi

jamani hodaarii

hodari wa mapenzi

kwa michezo

ya chumbani

hodaaarii

hodari wa mapenzi

mtundu kitandani, Hodarii!!

Hodari wa mapeenzi

katoto nyakanga,

kamemzidi somo na kumbwi

chumbani kiranga

kinaishanga komo kirungi

ni sakata makirikiri

kuniwasha ka piripiri

fundi haswa amekithiri

hunipa nilewe

kwasa kwasa ndani bingiri,

za kukata saga ka chili,

nani haswa unafikiri,

kama sio wewe?

nichezeshe kidaruso usiku wa manane

(vangaa!)

nikande kipanda uso tufunikane

(kanga!)

nipitishe boda la huko tukakutane,

(Tanga!)

siye pini wa uputo wasijichanganye, watapasuka!

Nalegeeaa!

ukinitazama yako macho,

yako macho!

(aah), nalegeeaaaa,

ikigusana yangu na yako

yangu na yako

katoto hodari

hodari wa mapenzi

jamani hodari

hodari wa mapenzi

kiuno kunengua, hodaari!

hodari wa mapenzi

bidu kulibidua, hodaari

hodari wa mapenzi

(wasafi)mmh Wema Sepetu, hodari!

hodari wa mapenzi

Uwoya, hodari!

hodari wa mapenzi

Mama Cookie hodari

hodari wa mapenzi

Mama Dangote, hodari!

hodari wa mapenzi

Jackie Wolper, hodari

Hodari wa mapenzi

Zari Mama Tiffa, hodari!

Hodari wa mapenzi

Ohesmakan, hodari

Hodari wa mapenzi

Elizabeth Michael, hodaari!

Hodari wa mapenzi

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Mbosso - Hodari 姆博索| |Strong Mbosso – Stark Mbosso - Strong Mbosso - Fuerte Mbosso - Fort Mbosso - Forte ムボッソ - 強い 음보소 - 강함 Mbosso – silny Mbosso - Hodari (videoclipe oficial) Мбоссо – Сильный Mbosso - Güçlü 姆博索 - 强

shombe shombe mtoto laini laini |||weich| "soft"|"chubby"|child|soft|soft shombe shombe baby soft soft

anawaka wakaa, (aaaah) 醒來|| He is shining|burns brightly|expression of relief he's on fire, (aaaah)

wanga wape vidonge 药丸|| wer|| Give them pills|give them|pills give them starch tablets donnez-leur des comprimés d'amidon

nimebaini baini 我已確定| I have identified| I have found out

wanatapa tapaaa....(aaaah) |呼喊| they're clapping....(aaaah)

(mmmmhh) ..mi nawe mpaka kiama |我||直到|末日 (mmmmhh) ..I'm with you until the end

tuwaombee uzima 為我們祈禱| let us pray for life

waroge kwa kuchutama 躲避|| |für| charm them by crouching

na wasimame wimaa |我們的朋友| und||

kamwe watopata mwanya ||机会 never|they will find|gap they will never find an opening

hadithi fitina |混乱 纷争 争斗 story|conflict intriguing story

wapike mabiringanya 蘑菇| |eggplants cook the eggplants

si tutoke dinner |吃晚餐| nicht|| not|let's leave|

nalegeaaaa 學習 I am studying

ukinitazama yako macho, 看著你||眼睛 if you look into my eyes,

yako macho.. |猛男 deine|Augen your eyes..

(aah)..nalegeaaa 啊|

ikigusana yangu na yako 我的和你的||| relationship||| touching mine and yours

yangu na yako mein|und|dein

katoto hodari 強壯的| child|skilled

hodari wa mapenzi ||愛情 fähig|von|Liebe strong love

jamani hodaarii 天哪| Freunde| oh my goodness|brave people

hodari wa mapenzi strong love

kwa michezo |運動 |sports for sports

ya chumbani |房間 |of the bedroom of the room

hodaaarii 豪华

hodari wa mapenzi amour fort

mtundu kitandani, Hodarii!! 类型|| type|| go to bed, Hodarii!! va te coucher, Hodarii !!

Hodari wa mapeenzi ||愛情 ||will Passionné

katoto nyakanga, |月亮 baby|young nyakanga little boy, petit garçon,

kamemzidi somo na kumbwi 給予知識|||海豚 er hat ihn übertroffen|Unterricht|und|Kumbwi He has exceeded the lesson and the pool Il a dépassé la leçon et la piscine

chumbani kiranga |床单 im Zimmer|Kissen in the bedroom dans la chambre

kinaishanga komo kirungi |像这样| ich frage mich|Komo|Kirungi I wonder|suddenly|goodness It's surprising how much it is C'est surprenant à quel point c'est

ni sakata makirikiri ||小小的 |trouble|scooter it's a rags to riches saga c'est une saga de la misère à la richesse

kuniwasha ka piripiri |的| ignite me|with|pepper pour m'exciter comme piripiri

fundi haswa amekithiri |專家| expert|especially|has excelled the technician is especially extreme

hunipa nilewe 我們的家| gib mir|ich werde verstehen give me|let me it makes me drunk

kwasa kwasa ndani bingiri, 舞蹈||| kosa kosa in beetroot,

za kukata saga ka chili, ||辣椒的传奇||辣椒 for cutting chili peppers,

nani haswa unafikiri, ||你到底在想什么 ||denkst who|exactly who|you think who exactly do you think,

kama sio wewe? |不是| wenn|| if|if not|you if not you?

nichezeshe kidaruso usiku wa manane |提供光源|||午夜 |Kitaruso|||Mitternacht wake me up|||| let me play homework at midnight

(vangaa!) 快点 Vanga (look!)

nikande kipanda uso tufunikane 我被遮住|||被覆盖 Let's cover each other's face

(kanga!) 坎戈 Kanga (wrap!)

nipitishe boda la huko tukakutane, |摩托车||那裡|讓我們見面 let me pass|motorcycle taxi||| pass me the boda there so we can meet,

(Tanga!) 坦噶 Tanga (Wander!)

siye pini wa uputo wasijichanganye, watapasuka! |尖端|||不要混淆|會破裂 we|pin||instruction||will break apart It's not a bubble pin, don't get tangled up, they'll burst!

Nalegeeaa! 我明白了 I'm falling

ukinitazama yako macho, if you look into my eyes, si tu me regardes dans les yeux,

yako macho! your eyes!

(aah), nalegeeaaaa, |我明白了 |niederlegen (aah), I'm limping, (aah), je boite,

ikigusana yangu na yako Beziehung|mein|und|deiner my and your|my|| touching mine and yours toucher le mien et le tien

yangu na yako mein|und|dein mine and yours le mien et le tien

katoto hodari das Kind|klug a strong child enfant fort

hodari wa mapenzi fähig|von|Liebe ||love skills strong love amour fort

jamani hodari Freunde| mighty man homme puissant

hodari wa mapenzi fähig||Liebe strong love amour fort

kiuno kunengua, hodaari! 腰部|| waistline, strong! tour de taille, fort !

hodari wa mapenzi strong love amour fort

bidu kulibidua, hodaari |我能做到| bidu kulibidua, hodaari bidu kulibidua, hodaari

hodari wa mapenzi strong love amour fort

(wasafi)mmh Wema Sepetu, hodari! 好棒|||韋瑪·塞佩圖| wasafi|||| (pure) mmh Wema Sepetu, strong! (pur) mmh Wema Sepetu, fort !

hodari wa mapenzi strong love amour fort

Uwoya, hodari! 你能的| La laine, forte !

hodari wa mapenzi amour fort

Mama Cookie hodari |曲奇| The mighty Cookie Mama La puissante Cookie Mama

hodari wa mapenzi strong love amour fort

Mama Dangote, hodari! |丹戈特| Mother Dangote, strong! Mère Dangote, forte !

hodari wa mapenzi

Jackie Wolper, hodari |沃尔珀| Jackie Wolper, strong Jackie Wolper, forte

Hodari wa mapenzi

Zari Mama Tiffa, hodari! 金线||| Zari|Mama|Tiffa|tapfer Zari Mama Tiffa, strong! Zari Mama Tiffa, forte !

Hodari wa mapenzi Amour fort

Ohesmakan, hodari 保持警惕| Ohesmakan, puissant

Hodari wa mapenzi

Elizabeth Michael, hodaari! 伊丽莎白|| Elizabeth Michael, puissante !

Hodari wa mapenzi Hodari|von|Liebe ||Poder del amor