×

LingQ'yu daha iyi hale getirmek için çerezleri kullanıyoruz. Siteyi ziyaret ederek, bunu kabul edersiniz: çerez politikası.

image

Swahili music, Mbosso - Maajab

Mbosso - Maajab

Nana na naaa

Naa nana naaa na

Naa nana naa na

Naa naa nana

Moko mokooo

Imara kashikilia,

mwache avimbe bichwa

Wallahi kanipatia

anastahili sifa

Chumba kizima chanukia

uturi kajifisha

Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa

Ananikosha mwili

kwa maji ya madafu

Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu

Anijua tumbo la ng'iri

kwa mafuuta ya karafuu

Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

maajab maajab

penzi lake la ajabu

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu

maajab maajab

penzi lake la ajabu

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu

Kifuani unipaka harua

mikono tende anazichambua

Anilambaaa aah

Kitandani humwaga maua

vingine hata chembe sikuwa najua.

hanitoa ushamba aah

uuuh

Na nitake nini kwake?

Niombe nsipewee

Iwe pemba ama chako chake,

nichague mwenyewe eeh

Kanipa pombe roho yake

ninywe nilewe eeh

Mambo shega ni mwake mwake,

mangaka msewe eeh

Libanikee penzi kama gazeti walisomee

tuwa adabishe sangara shombo vibetwe

tuwango'e

Ni kila nilishe,

chapati za alizeti ni none

tuwafungishe midomo uzi cement , tuwashonee

Ananikosha mwili

kwa maji ya madafu

Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu

Anijua tumbo la ngi'ri

kwa mafuta ya karaafu

Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

maajab maajab

penzi lake la ajabu

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu

maajab maajab

penzi lake la ajabu

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu

haluwa haluwa

hunipa vitamu laini lainii..

haluwa haluwa

Kinyama cha hamu

uhondo utosinii.

haluwa haluwa

Sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimii.

haluwa haluwa

Napewa hadi vya miko sa nitake nini?

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Mbosso - Maajab Mbosso| Mbosso - Wonders|"Amazing" or "Wonderful" |Maajab Mbosso – Maajab Mbosso - Wonders Mbosso - Maravillas Mbosso - Maajab Mbosso-Maajab ムボッソ - マジャブ 음보소 - 불가사의 Mbosso - Wonderen Mbosso – Cuda Mbosso - Maajab (Videoclipe Oficial) SMS SKIZA 8546310 para 811 Мбоссо - потрясающе

Nana na naaa Nana|und|nein Nana||Nana and naaa Nana and naaa

Naa nana naaa na Naa nana naaa na||| Naa nana naa naa

Naa nana naa na I||| Naa nana naa na

Naa naa nana Naa and nana

Moko mokooo Moko|Moko Elbow|Many hands Moko mokooo

Imara kashikilia, Imara|hält "Firmly holding"|Hold firmly Hold fast,

mwache avimbe bichwa ||Kopf Let him|let it swell|head let him swell up

Wallahi kanipatia I swear he gave me|"gave me" God bless me

anastahili sifa deserves praise|praise he deserves credit

Chumba kizima chanukia Whole room|whole|lit up The whole room smells

uturi kajifisha Incense hides itself|hide yourself the skin is weak

Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa Fingers|I manage|"at the edge"|I'm brought I manage my fingers, I am brought to the edge

Ananikosha mwili He massages me| He washes my body

kwa maji ya madafu |||coconut water for boiling water

Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu He is|is the|coach||"teaching me"||dirty tricks He is the coach and he is teaching me how to play the game

Anijua tumbo la ng'iri He knows me|stomach||warthog I know the belly of a wild boar

kwa mafuuta ya karafuu |clove oil||clove with clove oil

Nikichoka ananikanda kwa mabarafu When I'm tired|massages me||ice packs When I get tired, he crushes me with ice cubes

maajab maajab wonder wonder

penzi lake la ajabu amazing love|||extraordinary his wonderful love

maajab maajab wonder wonder

mahaba yake ya ajabu his amazing love|||wonderful his wonderful romance

maajab maajab wonder wonder

penzi lake la ajabu love|||wonder his wonderful love

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu his amazing love|||wonderful

Kifuani unipaka harua On the chest|apply on me|scratch

mikono tende anazichambua hands|palms|is sorting

Anilambaaa aah He will wait|stretched out lazily

Kitandani humwaga maua In the bed|scatter|flowers

vingine hata chembe sikuwa najua. "other things"||bit|"I was not"|"I knew" I didn't even know the rest.

hanitoa ushamba aah "stop being naive"|naivety|

uuuh "uuuh"

Na nitake nini kwake? |I want||"from him/her"

Niombe nsipewee "Pray for me"|be denied Ask me to give it to you

Iwe pemba ama chako chake, "Whether"|side|"or"|yours|

nichague mwenyewe eeh I chose|myself|"right?"

Kanipa pombe roho yake Gave me|alcohol|his favorite drink|

ninywe nilewe eeh "Let me drink"|get drunk|

Mambo shega ni mwake mwake, |"cool"||"on fire"|

mangaka msewe eeh mangaka msewe eeh -> "mangaka dance eeh"|kite string|

Libanikee penzi kama gazeti walisomee Give me|||newspaper|read it to

tuwa adabishe sangara shombo vibetwe "we cook"|"prepare"|Nile perch|fishy smell|fish without scales

tuwango'e Let's remove it

Ni kila nilishe, ||"feed me"

chapati za alizeti ni none sunflower chapati||sunflower oil||not available

tuwafungishe midomo uzi cement , tuwashonee "Let's sew shut"|mouths|thread|seal tightly|"Sew their mouths"

Ananikosha mwili

kwa maji ya madafu

Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu

Anijua tumbo la ngi'ri |||warthog

kwa mafuta ya karaafu |||clove

Nikichoka ananikanda kwa mabarafu

maajab maajab

penzi lake la ajabu

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu

maajab maajab

penzi lake la ajabu

maajab maajab

mahaba yake ya ajabu

haluwa haluwa Sweet treat|

hunipa vitamu laini lainii.. give me|"sweet things"|soft|very soft

haluwa haluwa

Kinyama cha hamu Craving beast||desire

uhondo utosinii. Gossip is endless.|"to the fullest"

haluwa haluwa

Sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimii. "Better"||jealousy/envy|fed||tongue

haluwa haluwa

Napewa hadi vya miko sa nitake nini? "I am given"|||"wooden spoons"|right now||