×

Ми використовуємо файли cookie, щоб зробити LingQ кращим. Відвідавши сайт, Ви погоджуєтесь з нашими правилами обробки файлів «cookie».

image

LingQ Mini Stories, 15- Eliza Hana Nguvu

Johari na Eliza wanataka kupunguza uzito.

Wanataka kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi.

Ila kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama.

Hivyo wanaamua kufanya mazoezi nyumbani.

Johari anaanza kukimbia, na Eliza ananyanyua vyuma.

Ila Johari hapendi kukimbia.

Na Eliza hana nguvu.

Na pia wametingwa sana na kazi.

Hawana muda wa kufanya mazoezi.

Labda watajaribu tena wiki ijayo.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Johari.

Eliza na mimi tunataka kupunguza uzito.

Tunataka kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi.

Ila kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama.

Hivyo, tunaamua kufanya mazoezi nyumbani.

Ninaanza kukimbia, na Eliza anaanza kunyanyua vyuma.

Ila sipendi kukimbia.

Na Eliza hana nguvu.

Pia tumetingwa sana na kazi.

Hatuna muda wa kufanya mazoezi.

Labda tutajaribu tena wiki ijayo.

Maswali.

1) Johari na Eliza wanataka kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa mazoezi. Je, Johari na Eliza wanataka kufanya mazoezi? Ndiyo, wanataka kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa mazoezi.

2) Kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama. Je, kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni bei rahisi? Hapana, sio bei rahisi. Kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama.

3) Wanaamua kufanya mazoezi nyumbani, sababu ukumbi wa mazoezi ni gharama sana. Je, ukumbi wa mazoezi ni upo mbali sana nao? Hapana, ukumbi wa mazoezi haupo mbali sana nao. Ukumbi wa mazoezi ni gharama sana.

4) Johari hapendi kukimbia. Je Johari anapenda kukimbia? Hapana, Johari hapendi kukimbia.

5) Eliza anajaribu kunyanyua vyuma, lakini hana nguvu. Je, Eliza anajaribu kukimbia pia? Hapana, Eliza hajajaribu kukimbia. Anajaribu kunyanyua vyuma.

6) Eliza hana nguvu. Je, Eliza ana nguvu za kutosha kunyanyua vyuma? Hapana, Eliza hana nguvu.

7) Johari na Eliza wametingwa sana na kazi, hivyo hawana muda mwingi wa kufanya mazoezi. Je, Johari na Eliza wametingwa sana na kazi? Ndiyo, wametingwa sana na kazi, hawana muda mwingi wa kufanya mazoezi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Johari na Eliza wanataka kupunguza uzito. Johari|and|Eliza|want|to lose|weight Mara and Emily want to lose weight. Johari et Eliza veulent perdre du poids.

Wanataka kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi. They want|to go|to the|gym|of|exercise Sie wollen ins Fitnessstudio gehen. They want to go to a gym. Ils veulent aller au gymnase.

Ila kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama. But|going|to the|gym|of|exercise|is|cost Going to a gym is expensive, though. Mais aller à la salle de sport coûte cher.

Hivyo wanaamua kufanya mazoezi nyumbani. So|they decide|to do|exercise|at home So, they decide to exercise at home. Ils décident donc de pratiquer à la maison.

Johari anaanza kukimbia, na Eliza ananyanyua vyuma. Johari|starts|to run|and|Eliza|lifts|weights Johari beginnt zu rennen und Eliza greift nach den Eisen. Mara tries to run, and Emily lifts weights. Johari se met à courir et Eliza ramasse les fers.

Ila Johari hapendi kukimbia. But|Johari|does not like|to run Mara doesn't like running, though. Mais Johari n'aime pas courir.

Na Eliza hana nguvu. And|Eliza|has no|strength Und Eliza ist machtlos. And Emily is not very strong. Et Eliza est impuissante.

Na pia wametingwa sana na kazi. And|also|they are overwhelmed|very|by|work Und sie sind auch sehr arbeitslos. They are also very busy. Et ils sont également très au chômage.

Hawana muda wa kufanya mazoezi. They do not have|time|to|do|exercises Sie haben keine Zeit zum Sport. They don't have time to exercise. Ils n'ont pas le temps de faire de l'exercice.

Labda watajaribu tena wiki ijayo. Maybe|they will try|again|week|next Maybe they can try again next week. Peut-être qu'ils réessayeront la semaine prochaine.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Johari. This|is|story|that|narrated|by|Johari Here is the same story told in a different way. C'est l'histoire racontée par Johari.

Eliza na mimi tunataka kupunguza uzito. Eliza|and|I|we want|to lose|weight Emily and I want to lose weight. Eliza et moi voulons perdre du poids.

Tunataka kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi. We want|to go|to the|gym|of|exercise We want to go to a gym. Nous voulons aller à la salle de sport.

Ila kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama. But|going|to the|gym|of|exercise|is| Going to a gym is expensive, though. Mais aller à la salle de sport coûte cher.

Hivyo, tunaamua kufanya mazoezi nyumbani. Therefore|we decide|to do|exercise|at home So, we decide to exercise at home. Nous décidons donc de pratiquer à la maison.

Ninaanza kukimbia, na Eliza anaanza kunyanyua vyuma. I start|to run|and|Eliza|she starts|to lift|weights I try to run, and Emily lifts weights. Je commence à courir et Eliza commence à soulever des poids.

Ila sipendi kukimbia. But|I don't like|to run I don't like running, though. Mais je n'aime pas courir.

Na Eliza hana nguvu. And|Eliza|has no|strength And Emily is not very strong. Et Eliza est impuissante.

Pia tumetingwa sana na kazi. Also|we are overwhelmed|very|by|work We are also very busy. Nous sommes également très isolés du travail.

Hatuna muda wa kufanya mazoezi. We don't have|time|to|do|exercise We don't have time to exercise. Nous n'avons pas le temps de pratiquer.

Labda tutajaribu tena wiki ijayo. Maybe|we will try|again|week|next Maybe we can try again next week. Peut-être que nous réessayerons la semaine prochaine.

Maswali. Questions Questions: Des questions.

1) Johari na Eliza wanataka kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa mazoezi. Johari|and|Eliza|want|to do|exercise|in|gym|of|exercise One: Mara and Emily want to exercise at the gym. Je, Johari na Eliza wanataka kufanya mazoezi? Do Mara and Emily want to exercise? Ndiyo, wanataka kufanya mazoezi kwenye ukumbi wa mazoezi. Yes|they want|to do|exercises|in|gym|of|exercises Yes, they want to exercise at a gym.

2) Kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama. Going|to|gym|of|exercise|is|expensive Two: Going to a gym is expensive. Je, kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni bei rahisi? ||||||||cheap Is going to a gym cheap? Hapana, sio bei rahisi. No|is not|price|cheap No, it is not cheap. Kwenda kwenye ukumbi wa mazoezi ni gharama. Going|to|gym|of|exercise|is|expensive going to a gym is expensive.

3) Wanaamua kufanya mazoezi nyumbani, sababu ukumbi wa mazoezi ni gharama sana. They decide|to do|exercise|at home|because|gym|of|exercise|is|expensive|very Three: They decide to exercise at home, because the gym is too expensive. Je, ukumbi wa mazoezi ni upo mbali sana nao? question particle|hall|of|exercises|is|you are|far|very|from them Ist das Fitnessstudio zu weit von ihnen entfernt? Do they decide to exercise at home? Hapana, ukumbi wa mazoezi haupo mbali sana nao. No|hall|of|exercises|is not|far|very|it Yes, they decide to exercise at home. Ukumbi wa mazoezi ni gharama sana. The hall|of|exercises|is|expensive|very because the gym is too expensive.

4) Johari hapendi kukimbia. Four: Mara does not like running. Je Johari anapenda kukimbia? Does Mara like to run? Hapana, Johari hapendi kukimbia. No|Johari|does not like|to run No, Mara does not like running.

5) Eliza anajaribu kunyanyua vyuma, lakini hana nguvu. Eliza|is trying|to lift|weights|but|she has no|strength Five: Emily tries lifting weights, but she is not very strong. Je, Eliza anajaribu kukimbia pia? question particle|Eliza|tries|to run|also Does Emily try running, too? Hapana, Eliza hajajaribu kukimbia. No|Eliza|has not tried|to run No, Emily doesn't try running. Anajaribu kunyanyua vyuma. He is trying|to lift|metals She tries lifting weights.

6) Eliza hana nguvu. Six: Emily is not strong. Je, Eliza ana nguvu za kutosha kunyanyua vyuma? |||||sufficient|lift| Is Emily strong? Hapana, Eliza hana nguvu. No|Eliza|does not have|strength No, Emily is not strong.

7) Johari na Eliza wametingwa sana na kazi, hivyo hawana muda mwingi wa kufanya mazoezi. Johari|and|Eliza|are overwhelmed|very|by|work|so|they do not have|time|much|to|do|exercises Seven: Mara and Emily are very busy, so they don't have a lot of time to exercise. Je, Johari na Eliza wametingwa sana na kazi? question particle|Johari|and|Eliza|are overwhelmed|very|by|work Are Mara and Emily very busy? Ndiyo, wametingwa sana na kazi, hawana muda mwingi wa kufanya mazoezi. Yes|they are overwhelmed|very|by|work|they do not have|time|much|to|do|exercise Yes, they are very busy, so they don't have a lot of time to exercise.