×

Ми використовуємо файли cookie, щоб зробити LingQ кращим. Відвідавши сайт, Ви погоджуєтесь з нашими правилами обробки файлів «cookie».

image

LingQ Mini Stories, 3- Naomi Alinunua Paka

Naomi ameboreka kazini na nyumbani.

Huwa anafanya kitu kile kile kila siku.

Anataka fani mpya.

Kwanza, amejaribu kupika.

Lakini chakula chake huwa hakina ladha nzuri.

Kisha, amejaribu kuogelea.

Lakini anaogopa maji.

Naomi anatembea kuelekea nyumbani na akaona duka la wanyama wa kufugwa.

Ndani ya duka la wanyama wa kufugwa, akaona paka!

Naomi akamnunua huyo paka, na sasa ana furaha sana.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Naomi.

Nimeboreka kazini na nyumbani.

Huwa ninafanya kitu kile kile kila siku.

Ninataka fani mpya.

Kwanza, nimejaribu kupika.

Lakini chakula changu huwa hakina ladha nzuri.

Kisha, nimejaribu kuogelea.

Lakini naogopa maji.

Nikielekea nyumbani nikaona duka la wanyama wa kufugwa.

Ndani ya duka la wanyama wa kufugwa, nikaona paka!

Nikanunua huyo paka, na sasa nina furaha sana.

Maswali:

1) Naomi ameboreka kazini, na nyumbani. Je, Naomi anafuraha kazini? Hapana, Naomi hana furaha kazini. Ameboreka kazini, na nyumbani.

2) Naomi huwa anafanya kitu kile kile kila siku. Je, Naomi huwa anafanya vitu vingi vipya? Hapana, Naomi huwa anafanya kitu kile kile kila siku.

3) Naomi anataka fani mpya. Je, Naomi anataka fani mpya? Ndiyo, Naomi anataka fani mpya.

4) Chakula cha Naomi huwa hakina ladha nzuri. Je, Naomi ni mpishi mzuri? Hapana, Naomi sio mpishi mzuri. Chakula chake huwa hakina ladha nzuri.

5) Naomi anaogopa maji. Je, Naomi anapenda kuogelea? Hapana, Naomi hapendi kuogelea. Anaogopa maji.

6) Naomi anaona paka ndani ya duka la wanyama wa kufugwa. Je, Naomi anaona paka ndani ya duka? Ndiyo, Naomi anaona paka ndani ya duka la wanyama wa kufugwa.

7) Naomi alinunua paka kutoka kwenye duka la wanyama wa kufugwa. Je, Naomi alinunua paka? Ndiyo, Naomi alinunua paka kutoka kwenye duka la wanyama wa kufugwa.

8) Naomi sasa ana furaha sana kwa sababu ana paka. Je, Naomi ameboreka sasa? Hapana, Naomi hajaboreka. Sasa ana furaha sana kwa sababu ana paka.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Naomi ameboreka kazini na nyumbani. |ist besser geworden||| Naomi|has improved|at work|and|at home Naomi hat sich bei der Arbeit und zu Hause verbessert. Karen is bored at work and at home. Naomi ha mejorado en el trabajo y en casa. Naomi s'est améliorée au travail et à la maison. Naomi is zowel op het werk als thuis verbeterd. Наомі покращилася на роботі та вдома.

Huwa anafanya kitu kile kile kila siku. |||das||| he|does|thing|that|that|every|day Er tut jeden Tag dasselbe. She does the same thing every day. Hace lo mismo todos los días. Il fait la même chose tous les jours. Hij doet elke dag hetzelfde.

Anataka fani mpya. ||neu He/She wants|profession|new She wants a new hobby. Quiere una nueva profesión. Il veut un nouveau métier. Hij wil een nieuw beroep.

Kwanza, amejaribu kupika. zuerst||kochen First|he has tried|to cook først||lage First, she tries to cook. Primero, ha probado a cocinar. D’abord, il a essayé la cuisine.

Lakini chakula chake huwa hakina ladha nzuri. ||sein|||Geschmack| But|food|his|always|does not have|taste|good But her food does not taste good. Pero su comida no siempre sabe bien. Mais sa nourriture n’a pas toujours bon goût.

Kisha, amejaribu kuogelea. dann|| Then|he has tried|to swim Then, she tries to swim. Ensuite, il a essayé de nager.

Lakini anaogopa maji. But|he/she fears|water But she is afraid of water. Mais il a peur de l'eau.

Naomi anatembea kuelekea nyumbani na akaona duka la wanyama wa kufugwa. Naomi|walks|towards|home|and|she saw|store|of|animals|for|pets Naomi geht nach Hause und sieht eine Zoohandlung. Karen walks home and sees a pet store. Naomi rentre chez elle à pied et voit une animalerie. Naomi loopt naar huis en ziet een dierenwinkel.

Ndani ya duka la wanyama wa kufugwa, akaona paka! Inside|of|store|of|animals|for|pets|he saw|cat In the pet store, she sees a cat! À l’intérieur de l’animalerie, il a vu un chat !

Naomi akamnunua huyo paka, na sasa ana furaha sana. Naomi|bought him|that|cat|and|now|she has|happiness|very Naomi hat die Katze gekauft und ist jetzt sehr glücklich. Karen buys the cat, and is now very happy. Naomi a acheté le chat et maintenant elle est très heureuse. Наомі купила кішку, і тепер вона дуже щаслива.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Naomi. This|is|story|that|told|by|Naomi Here is the same story told in a different way. Esta es esa historia, contada por Noemí. C'est cette histoire racontée par Naomi. Це історія, розказана Наомі.

Nimeboreka kazini na nyumbani. I am bored|at work|and|at home I am bored at work and at home. Je me suis amélioré au travail et à la maison.

Huwa ninafanya kitu kile kile kila siku. I usually|do|thing|that|same|every|day I do the same thing every day. Je fais toujours la même chose tous les jours. Я завжди роблю те саме щодня.

Ninataka fani mpya. I want|profession|new I want a new hobby. Je veux un nouveau roulement.

Kwanza, nimejaribu kupika. First|I have tried|to cook Zuerst habe ich versucht zu kochen. First, I try to cook. D’abord, j’ai essayé de cuisiner.

Lakini chakula changu huwa hakina ladha nzuri. But|food|my|usually|does not have|taste|good But my food does not taste good. Mais ma nourriture n’a pas toujours bon goût.

Kisha, nimejaribu kuogelea. Then|I have tried|to swim Then, I try to swim. Ensuite, j'ai essayé de nager.

Lakini naogopa maji. But|I fear|water But I am afraid of water. Mais j'ai peur de l'eau.

Nikielekea nyumbani nikaona duka la wanyama wa kufugwa. As I was heading|home|I saw|store|of|animals|for|pets I walk home and see a pet store. En rentrant chez moi, j'ai vu une animalerie.

Ndani ya duka la wanyama wa kufugwa, nikaona paka! Inside|of|store|of|animals|for|pets|I saw|cat In the pet store, I see a cat! À l’intérieur de l’animalerie, j’ai vu un chat !

Nikanunua huyo paka, na sasa nina furaha sana. I bought|that|cat|and|now|I have|happiness|very I buy the cat, and am now very happy. J'ai acheté le chat et maintenant je suis très content.

Maswali: Questions Questions:

1) Naomi ameboreka kazini, na nyumbani. Naomi|has improved|at work|and|at home One: Karen is bored at work, and at home. 1) Naomi s’est améliorée au travail et à la maison. Je, Naomi anafuraha kazini? question particle|Naomi|is happy|at work Is Karen happy at work? Naomi est-elle heureuse au travail ? Hapana, Naomi hana furaha kazini. No|Naomi|does not have|happiness|at work No, Karen is not happy at work. Non, Naomi n'est pas heureuse au travail. Ameboreka kazini, na nyumbani. He has improved|at work|and|at home Er hat sich bei der Arbeit und zu Hause verbessert. She is bored at work, and at home. Il s'est amélioré au travail et à la maison.

2) Naomi huwa anafanya kitu kile kile kila siku. Naomi|usually|does|thing|that|same|every|day 2) Naomi macht jeden Tag das Gleiche. Two: Karen does the same thing every day. Je, Naomi huwa anafanya vitu vingi vipya? question particle|Naomi|usually|does|things|many|new Macht Naomi viele neue Dinge? Does Karen do many new things? Naomi fait-elle beaucoup de nouvelles choses ? Hapana, Naomi huwa anafanya kitu kile kile kila siku. No|Naomi|usually|does|thing|that|same|every|day No, Karen does the same thing every day. Non, Naomi fait la même chose tous les jours.

3) Naomi anataka fani mpya. Naomi|wants|profession|new Three: Karen wants a new hobby. Je, Naomi anataka fani mpya? question particle|Naomi|wants|career|new Does Karen want a new hobby? Ndiyo, Naomi anataka fani mpya. Yes|Naomi|wants|profession|new Yes, Karen wants a new hobby.

4) Chakula cha Naomi huwa hakina ladha nzuri. The food|of|Naomi|is|does not have|taste|good Four: Karen's food does not taste good. 4) La nourriture de Naomi n'a pas toujours bon goût. Je, Naomi ni mpishi mzuri? Is|Naomi|a|cook|good Is Karen a good cook? Naomi est-elle une bonne cuisinière ? Hapana, Naomi sio mpishi mzuri. No|Naomi|is not|cook|good No, Karen is not a good cook. Chakula chake huwa hakina ladha nzuri. The food|his|is|does not have|taste|good her food does not taste good.

5) Naomi anaogopa maji. Naomi|is afraid of|water Five: Karen is afraid of water. 5) Naomi a peur de l’eau. Je, Naomi anapenda kuogelea? question particle|Naomi|loves|to swim Does Karen like swimming? Hapana, Naomi hapendi kuogelea. No|Naomi|does not like|to swim No, Karen does not like swimming. Non, Naomi n'aime pas nager. Anaogopa maji. she is afraid of|water she is afraid of water. Il a peur de l'eau.

6) Naomi anaona paka ndani ya duka la wanyama wa kufugwa. Naomi|sees|cat|inside|of|store|of|animals|for|pets Six: Karen sees a cat in a pet store. 6) Naomi voit un chat dans une animalerie. Je, Naomi anaona paka ndani ya duka? question particle|Naomi|sees|cat|inside|of|store Does Karen see a cat in a store? Ndiyo, Naomi anaona paka ndani ya duka la wanyama wa kufugwa. Yes|Naomi|sees|cat|inside|of|store|of|animals|for|pets Yes Karen sees a cat in a pet store. Oui, Naomi voit un chat dans une animalerie.

7) Naomi alinunua paka kutoka kwenye duka la wanyama wa kufugwa. Naomi|bought|cat|from|in|store|of|animals|for|pets 7) Naomi hat eine Katze in einer Zoohandlung gekauft. Seven: Karen buys the cat from the pet store. 7) Naomi a acheté un chat dans une animalerie. Je, Naomi alinunua paka? question particle|Naomi|bought|cat Does Karen buy the cat? Ndiyo, Naomi alinunua paka kutoka kwenye duka la wanyama wa kufugwa. Yes|Naomi|bought|cat|from|in|store|of|animals|for|pets Yes, Karen buys the cat from the pet store.

8) Naomi sasa ana furaha sana kwa sababu ana paka. Naomi|now|has|happiness|very|because|reason|has|cat 8) Naomi ist jetzt sehr glücklich, weil sie eine Katze hat. Eight: Karen is now very happy because she has a cat. 8) Naomi est maintenant très heureuse car elle a un chat. 8) Naomi is nu heel blij omdat ze een kat heeft. Je, Naomi ameboreka sasa? question particle|Naomi|has improved|now Is Karen bored now? Est-ce que Naomi va mieux maintenant ? Hapana, Naomi hajaboreka. No|Naomi|has not improved Nein, Naomi hat sich nicht verbessert. No, Karen is not bored, she is now very happy because she has a cat. Sasa ana furaha sana kwa sababu ana paka. Now|he has|happiness|very|because|reason|he has|cat Jetzt ist er sehr glücklich, weil er eine Katze hat. Now he is very happy because he has a cat. Maintenant, il est très heureux car il a un chat.