×

Ми використовуємо файли cookie, щоб зробити LingQ кращим. Відвідавши сайт, Ви погоджуєтесь з нашими правилами обробки файлів «cookie».

image

LingQ Mini Stories, 39 - Mwimbaji Anayependwa na Wandia

Mwimbaji anayependwa zaidi na Wandia alikuwa na tamasha mwezi uliopita.

Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha.

Angelazimika kununua tikiti ili aende.

Alianza kutafuta tikiti mtandaoni.

Lakini kulikuwa na tikiti chache tu zilizosalia.

Tikiti nyingi zilikuwa tayari zimeuzwa.

Wandia alikuwa amekaribia kuchagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia.

Lakini kiti kilikuwa mbali kidogo na jukwaa.

Wandia aliamua kuwa ni nzuri vya kutosha.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Mwimbaji ninayempenda atakuwa na tamasha mwezi ujao.

Rafiki yangu anataka kwenda kwenye tamasha.

Nitakuwa nikinunua tikiti kesho ili niweze kwenda kwenye tamasha pia.

Nitatafuta tikiti mtandaoni.

Lakini nina hakika kutakuwa na tikiti chache tu zilizosalia.

Tikiti nyingi tayari zitauzwa.

Kesho, nitachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia.

Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa.

Lakini nadhani itakuwa nzuri vya kutosha.

Nitafurahi tu kupata tikiti.

Maswali:

Moja: Mwimbaji anayependwa na Wandia alikuwa na tamasha.

Nani alikuwa na tamasha? Mwimbaji anayependwa na Wandia alikuwa na tamasha.

Mbili: Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha.

Wandia alikuwa anataka kwenda wapi? Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha.

Tatu: Wandia angelazimika kununua tikiti ili aende.

Wandia angelazimika kufanya nini? Angelazimika kununua tikiti ili aende.

Nne: Alianza kutafuta tikiti mtandaoni.

Alianza kutafuta tikiti wapi? Alianza kutafuta tikiti mtandaoni.

Tano: Kutakuwa na tikiti chache tu zilizosalia kwa sababu tiketi nyingi zitakuwa zimeuzwa tayari.

Ni tikiti ngapi zitasalia? Kutakuwa na tiketi chache tu zilizosalia. Tikiti nyingi zitakuwa zimeuzwa tayari.

Sita: Wandia atachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia.

Wandia atachagua tikiti ya kiti? Atachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia.

Saba: Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa.

kiti kitakuwa wapi? Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa.

Nane: Wandia anafikiri tiketi itakuwa nzuri ya kutosha.

Wandia anahisije kuhusu tikiti? Anadhani tiketi itakuwa nzuri ya kutosha.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Mwimbaji anayependwa zaidi na Wandia alikuwa na tamasha mwezi uliopita. The singer|who is loved|more|by|the Wandia people|was|having|concert|month|last Wandias Lieblingssängerin hatte letzten Monat ein Konzert. Adrian's favourite singer had a concert last month.

Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha. Wandia|wanted|to go|to the|festival Wandia wollte zum Konzert gehen. Adrian had wanted to go to the concert.

Angelazimika kununua tikiti ili aende. She must|buy|ticket|so that|she goes He would have had to buy tickets so he could go.

Alianza kutafuta tikiti mtandaoni. He/She started|to search|ticket|online He'd started looking for tickets online.

Lakini kulikuwa na tikiti chache tu zilizosalia. But|there were|and|tickets|few|only|remaining Es waren aber nur noch wenige Tickets übrig. But there had only been a few tickets left.

Tikiti nyingi zilikuwa tayari zimeuzwa. Die meisten Tickets waren bereits verkauft. Many tickets had already been sold.

Wandia alikuwa amekaribia kuchagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia. Wandia|was|about to|choose|ticket|best|more|of|seat| Adrian had almost chosen the best seat ticket left.

Lakini kiti kilikuwa mbali kidogo na jukwaa. But|the chair|was|far|a little|from|the stage But the seat was a little too far from the stage.

Wandia aliamua kuwa ni nzuri vya kutosha. Wandia|decided|to be|is|good|enough|sufficient Adrian decided it was good enough.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti. Here|there is|story|same|told|in|way|different Here is the same story told in a different way.

Mwimbaji ninayempenda atakuwa na tamasha mwezi ujao. The singer|whom I love|will have|a|concert|month|next My favourite singer will be having a concert next month.

Rafiki yangu anataka kwenda kwenye tamasha. My friend|my|wants|to go|to|festival My friend wants to go to the concert.

Nitakuwa nikinunua tikiti kesho ili niweze kwenda kwenye tamasha pia. I will be|buying|ticket|tomorrow|so that|I can|go|to|festival|also I'll be buying tickets tomorrow so I can go to the concert too.

Nitatafuta tikiti mtandaoni. I will search for|ticket|online I'll search for tickets online.

Lakini nina hakika kutakuwa na tikiti chache tu zilizosalia. But|I have|sure|there will be|and|tickets|few|only|remaining But I'm sure there will only be a few tickets left.

Tikiti nyingi tayari zitauzwa. Many tickets will already be sold.

Kesho, nitachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia. Tomorrow|I will choose|ticket|best|more|of|seat|remaining Morgen werde ich das beste verbleibende Sitzplatzticket auswählen. Tomorrow, I'll choose the best seat ticket that's left.

Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa. The chair|maybe|will be|far|a little|from|the stage The seat will probably be a little too far from the stage.

Lakini nadhani itakuwa nzuri vya kutosha. But|I think|it will be|good|enough|sufficient Aber ich denke, es wird gut genug sein. But I think it'll be good enough.

Nitafurahi tu kupata tikiti. I will be happy|just|to get|ticket Ich freue mich einfach über ein Ticket. I'll just be happy to get a ticket.

Maswali: Questions Questions:

Moja: Mwimbaji anayependwa na Wandia alikuwa na tamasha. One|The singer|who is loved|by|Wandia|had|a|concert One: Adrian's favourite singer had a concert.

Nani alikuwa na tamasha? Who|was|with|party Who had a concert? Mwimbaji anayependwa na Wandia alikuwa na tamasha. The singer|who is loved|by|Wandia|had|a|concert Adrian's favourite singer had a concert.

Mbili: Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha. Two|Wandia|wanted|to go|to|the festival Two: Adrian had wanted to go to the concert.

Wandia alikuwa anataka kwenda wapi? Wandia|was|wanted|to go|where Where had Adrian wanted to go? Wandia alitaka kwenda kwenye tamasha. Wandia|wanted|to go|to the|festival Adrian had wanted to go to the concert.

Tatu: Wandia angelazimika kununua tikiti ili aende. |Wandia|would have to|buy|ticket|so that|she goes Three: Adrian would have had to buy tickets so he could go.

Wandia angelazimika kufanya nini? Wandia|must|do|what What would Adrian have had to do? Angelazimika kununua tikiti ili aende. She must|buy|ticket|so that|she goes He would have had to buy tickets so he could go.

Nne: Alianza kutafuta tikiti mtandaoni. Four|He/She started|to search|ticket|online Four: He started looking for tickets online.

Alianza kutafuta tikiti wapi? He/She started|to search|ticket|where Where did he start looking for tickets? Alianza kutafuta tikiti mtandaoni. He/She started|to search|ticket|online He started looking for tickets online.

Tano: Kutakuwa na tikiti chache tu zilizosalia kwa sababu tiketi nyingi zitakuwa zimeuzwa tayari. Five|There will be|and|tickets|few|only|remaining|for|reason|tickets||they will be|sold|already Five: There will only be a few tickets left because many tickets will have been sold already.

Ni tikiti ngapi zitasalia? How many|tickets|will remain|will remain How many tickets will be left? Kutakuwa na tiketi chache tu zilizosalia. There will be|and|tickets|few|only|remaining There will only be a few tickets left. Tikiti nyingi zitakuwa zimeuzwa tayari. Tickets|many|will have|been sold|already Many tickets will have been sold already.

Sita: Wandia atachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia. Sita|Wandia|will choose|ticket|better|than|of|seat|remaining Six: Adrian will choose the best seat ticket that's left.

Wandia atachagua tikiti ya kiti? Wandia|will choose|ticket|for|seat Which seat ticket will Adrian choose? Atachagua tikiti bora zaidi ya kiti iliyosalia. He will choose|ticket|best|more|than|seat|remaining He will choose the best seat ticket that's left.

Saba: Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa. |The chair|maybe|will be|far|a little|from|the stage Seven: The seat will probably be a little too far from the stage.

kiti kitakuwa wapi? chair|will be|where Where will the seat be? Kiti pengine kitakuwa mbali kidogo na jukwaa. The chair|maybe|will be|far|a little|from|the stage The seat will probably be a little too far from the stage.

Nane: Wandia anafikiri tiketi itakuwa nzuri ya kutosha. Eight|Wandia|thinks|ticket|it will be|good|enough|sufficient Eight: Adrian thinks the ticket will be good enough.

Wandia anahisije kuhusu tikiti? Wandia|thinks|about|ticket How does Adrian feel about the ticket? Anadhani tiketi itakuwa nzuri ya kutosha. He thinks|ticket|it will be|good|enough|sufficient He thinks the ticket will be good enough.