×

Ми використовуємо файли cookie, щоб зробити LingQ кращим. Відвідавши сайт, Ви погоджуєтесь з нашими правилами обробки файлів «cookie».

image

Who is She?, 25- Yeye Ni Mchafu

Siwezi kukumbuka mengi ya yale niliyojifunza shuleni.

Kwangu mimi, hakuna mengi ya kusahau.

Mimi pia!

Lakini njia niliyotumia kujifunza lugha shuleni ilinifanya nichukie kujifunza lugha.

Ilifanya nikaidi lugha niliyojifunza.

Nina hakika hilo ni kweli kwa watu wengi.

Ndio Watu wanapaswa kujifunza kufurahia lugha.

Watu wanapaswa kuacha kukaidi lugha na kuichukua kama kitu cha kawaida.

Naam, nadhani ilifaulu kwako.

Kwa uhakika.

Ibrahim alinifundisha hilo, nami nikamruhusu kuishi katika nyumba yangu.

Kwa hivyo hukumkataa Ibrahim aidha?

Unamaanisha nini?

Yeye sio mpenzi wangu.

Hatulali kitanda kimoja!

Ilikuwa jambo nzuri kumruhusu kuishi katika nyumba yako.

Ilikuwa ni manufaa kwangu.

Nilikuwa na mazungumzo ya bure ya Kiingereza pamoja naye wakati wa kifungua kinywa na wakati wa chakula cha jioni.

Wakati mwingine tunaenda kwa karamu pamoja.

Nadhani hilo lilisaidia Kiingereza chako.

Ndiyo, lakini sasa nataka aondoke.

Simhitaji tena.

Mbali na hilo, ameanza kunisumbua.

Kwanini unasema hivyo?

Mbona humtaki karibu tena?

Yeye ni mchafu.

Hazingatii usafi.

Anacha nguo chafu kila mahali

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Siwezi kukumbuka mengi ya yale niliyojifunza shuleni. I cannot|remember|much|of|those|I learned|at school I cannot remember much of what I learned at school either.

Kwangu mimi, hakuna mengi ya kusahau. to me|I|there is no|much|to|forget In my case there is not too much to forget.

Mimi pia! I|also Me too!

Lakini njia niliyotumia kujifunza lugha shuleni ilinifanya nichukie kujifunza lugha. But|the way|I used|to learn|language|at school|it made me|hate|learning|language But the way I learned languages at school made me hate learning languages.

Ilifanya nikaidi lugha niliyojifunza. It made|I ignored|language|that I had learned It made me resist the language I was learning.

Nina hakika hilo ni kweli kwa watu wengi. I have|certainty|that|is|true|for|people| I am sure that is true for many people.

Ndio Watu wanapaswa kujifunza kufurahia lugha. Yes|People|should|learn|to enjoy|language Yes, People have to learn to enjoy the language.

Watu wanapaswa kuacha kukaidi lugha na kuichukua kama kitu cha kawaida. People|should|stop|resisting|language|and|to take it|as|something|of|normal People have to stop resisting the language and take it in naturally.

Naam, nadhani ilifaulu kwako. Yes|I think|it succeeded|for you Well I guess it really worked for you.

Kwa uhakika. For|surety Oh yes.

Ibrahim alinifundisha hilo, nami nikamruhusu kuishi katika nyumba yangu. Ibrahim|taught me|that|and I|I allowed him|to live|in|house|my George taught me that so I let him stay in my apartment.

Kwa hivyo hukumkataa Ibrahim aidha? So|you|did not reject|Ibrahim|either So you did not resist George either?

Unamaanisha nini? What do you mean|what What are you trying to say?

Yeye sio mpenzi wangu. He|is not|my partner|mine He is not my boyfriend.

Hatulali kitanda kimoja! She does not sleep|| We did not share the same bed!

Ilikuwa jambo nzuri kumruhusu kuishi katika nyumba yako. It was|thing|good|to allow him|to live|in|house|your It was nice of you to let him stay in your apartment.

Ilikuwa ni manufaa kwangu. It was|beneficial|advantageous|to me It was good for me.

Nilikuwa na mazungumzo ya bure ya Kiingereza pamoja naye wakati wa kifungua kinywa na wakati wa chakula cha jioni. I was|having|conversations|of|free|of|English|together|with him|during|of|breakfast|meal|and|during|of|dinner|of|evening I had free English conversations with him at breakfast and at dinner.

Wakati mwingine tunaenda kwa karamu pamoja. Sometimes|we|go|to|party|together We would sometimes go to parties together.

Nadhani hilo lilisaidia Kiingereza chako. I think|that|helped|English|your I guess that helped your English.

Ndiyo, lakini sasa nataka aondoke. Yes|but|now|I want|he/she to leave Yes, but now I want him to leave.

Simhitaji tena. I don't need it again.| I do not need him anymore.

Mbali na hilo, ameanza kunisumbua. Apart|and|that|he has started|to disturb me Besides he is getting on my nerves.

Kwanini unasema hivyo? Why|do you say|that way Why do you say that?

Mbona humtaki karibu tena? why|you don't want him|close|again Why do you not want him around anymore?

Yeye ni mchafu. He|is|dirty He is so messy.

Hazingatii usafi. He/She does not observe|cleanliness He does not clean up after himself.

Anacha nguo chafu kila mahali He leaves|clothes|dirty|every| He leaves dirty clothes lying around.