×

Ми використовуємо файли cookie, щоб зробити LingQ кращим. Відвідавши сайт, Ви погоджуєтесь з нашими правилами обробки файлів «cookie».

image

Habari za UN, UNFPA inasaidia kuhakikisha uzazi salama kwa wanawake na wasichana wanaokimbia ghasia Khartoum | | Habari za U...

UNFPA inasaidia kuhakikisha uzazi salama kwa wanawake na wasichana wanaokimbia ghasia Khartoum | | Habari za U...

Wanawake na wasichana wanaokimbia machafuko yanayoendelea mjini Kharthoum nchini Sudan wanakabiliwa na changamoto lukuki hususan kwa wajawazito wanaohitaji msaada wa kujifungua, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA ambalo sasa limechukua jukumu la kuhakikisha uzazi salama kwa wanawake hao.

Miongoni mwa wanawake hao ni Omnia hili si jina lake halisi amepewa ili kulinda usalama wake, akiwa na ujauzito wa miezi tisa, alilazimika kuacha nyumba yake na kila kitu alichojua ili kuepuka vita kali iliyoukumba mji mkuu wa Sudan, Khartoum kuokoa maisha yake.

Kwa uchumngu mkubwa anasema "Nimepoteza kila kitu katika vita hii. Lakini sikutaka kumpoteza mtoto wangu ambaye bado hajazaliwa.”

Ingawa kusafiri katika hali yake ilikuwa hatari, alihisi hakuwa na chaguo, ukosefu wa usalama, risasi zinazorindima, uporaji na uharibifu wa vituo vya afya ulimaanisha kuwa hakuweza kumuona daktari kwa wiki kadhaa, ilikuwa safari ngumu ya siku tano, hatimaye mapema Juni alifanikiwa kufika Port Sudan, kwenye ufuo wa jimbo la bahari ya Sham.

Omnia alikuwa akilia njia nzima kutoka Khartoum na aliogopa kwamba angepata uchungu na kujifungulia njiani kuelekea Port Sudan.

Kwa mujibu wa UNFPA Omnia ni kisa kimoja tu lakini maelfu ya wanawake na wasichana wanapitia changamoto hiyo hivi sasa Sudan.

Alikuwa na bahati kwani aliwasili katika hospitali ya mafunzo ya Port Sudan ambako alianza kuumwa uchungu na kusaidiwa kujifungua salama mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji.

Hata hivyo UNFPA inasema “hiyo ni hospital pekee ya serikali inayotoa huduma za uzazi kwa watu milioni 1.6 na sasa shirika hilo la idadi ya watu na wadau wa bahari ya Sham wanaisaidia hospitali hio kwa vifaa, dawa na mafunzo kwa wahudumu ili kuhakikisha wakina mama wajawazito kama Omnia waliotawanywa na vita na kuwasili Port Sudan kutoka nchi nzima wanajifungua salama.”

Mkurugenzi mkuu wa hospitali hiyo Dkt. Randa Osman anasema “Timu yetu imejitolea kikamilifu kusaidia wanawake na wasichana wanaowasili kutoka Khartoum, lakini tunahitaji vifaa zaidi vya dharura, ikiwa ni pamoja na mafuta na vifaa vya kuokoa maisha na dawa.

Kwa mujibu wa UNFPA takriban vituo 46 vya afya nchini Sudan vimeshambuliwa, na karibu theluthi mbili havifanyi kazi tena.

Mpango wa hivi karibuni wa msaada wa kibinadamu Sudan unalenga kuwasaidia waty milioni 24.7 ambapo milioni 11 kati yao wanahitaji msaada wa dharura wa huduma za afya na wanawake na wasicha milioni 2.6 miongoni mwao wako katika umri wa kuzaa.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

UNFPA inasaidia kuhakikisha uzazi salama kwa wanawake na wasichana wanaokimbia ghasia Khartoum | | Habari za U... UNFPA|"is helping"|ensure|safe childbirth|safe childbirth||women and girls||girls|fleeing from|violence|Khartoum|||United Nations Population Fund FN:s befolkningsfond|stödjer||||||||som flyr||||| UNFPA trägt dazu bei, eine sichere Geburt für Frauen und Mädchen zu gewährleisten, die vor Gewalt in Khartum fliehen | Neuigkeiten von U... UNFPA helps ensure safe childbirth for women and girls fleeing violence in Khartoum | News of U... El UNFPA ayuda a garantizar un parto seguro para mujeres y niñas que huyen de la violencia en Jartum | Noticias de U... L'UNFPA contribue à garantir un accouchement sans danger pour les femmes et les filles fuyant la violence à Khartoum | Des nouvelles de vous... L’UNFPA aiuta a garantire un parto sicuro per le donne e le ragazze in fuga dalla violenza a Khartoum | Notizie di U... UNFPA、ハルツームで暴力から逃れてきた女性と少女の安全な出産を支援|あなたのニュース UNFPA는 하르툼의 폭력을 피해 도망친 여성과 소녀들의 안전한 출산을 보장합니다. | 당신의 소식 UNFPA helpt een veilige bevalling te garanderen voor vrouwen en meisjes die het geweld in Khartoem ontvluchten | Nieuws van U... UNFPA pomaga zapewnić bezpieczny poród kobietom i dziewczętom uciekającym przed przemocą w Chartumie | Wiadomości o U... UNFPA ajuda a garantir parto seguro para mulheres e meninas que fogem da violência em Cartum | Novidades de vc... ЮНФПА помогает обеспечить безопасные роды для женщин и девочек, спасающихся от насилия в Хартуме | Новости У... UNFPA hjälper till att säkerställa säker förlossning för kvinnor och flickor som flyr från våld i Khartoum | Nyheter om U... UNFPA, Hartum'da şiddetten kaçan kadın ve kızların güvenli doğum yapmasına yardımcı oluyor | Sizden Haberler... UNFPA допомагає забезпечити безпечні пологи для жінок і дівчат, які тікають від насильства в Хартумі | Новини У... 人口基金帮助确保逃离喀土穆暴力的妇女和女童安全分娩|美国新闻...

Wanawake na wasichana wanaokimbia machafuko yanayoendelea mjini Kharthoum nchini Sudan wanakabiliwa na changamoto lukuki hususan kwa wajawazito wanaohitaji msaada wa kujifungua, kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la idadi ya watu na afya ya uzazi UNFPA ambalo sasa limechukua jukumu la kuhakikisha uzazi salama kwa wanawake hao. ||||||||||||||||||||accouchement||||||||||||||||||||a pris|||||||| Women|||"fleeing"|chaos|ongoing|in the city|Khartoum|"in the country"|Sudan|are facing||Challenges|numerous|especially for||pregnant women|"who need"|assistance||give birth||according to||organization||United Nations||United Nations agency||population||||health||Reproductive health||"which" or "that"||"has taken on"|responsibility||to ensure|reproductive health|safe childbirth|||those women ||||oroja|pågående||Khartoum|||står inför|||många|||gravida|som behöver|||att föda||||||||||||||hälsa och reproduktion||||||har tagit|uppdrag||||||| Women and girls fleeing the ongoing unrest in Khartoum in Sudan are facing serious challenges, especially for pregnant women who need help giving birth, according to the United Nations population and reproductive health organization UNFPA, which has now taken on the responsibility of ensuring safe childbirth for these women. . Les femmes et les filles fuyant les troubles en cours à Khartoum, au Soudan, sont confrontées à de nombreux défis, en particulier les femmes enceintes qui ont besoin d'aide pour accoucher, selon l'agence des Nations Unies pour la population et la santé reproductive (UNFPA), qui a maintenant pris la responsabilité d'assurer un accouchement sécurisé pour ces femmes.

Miongoni mwa wanawake hao ni Omnia hili si jina lake halisi amepewa ili kulinda usalama wake, akiwa na ujauzito wa miezi tisa, alilazimika kuacha nyumba yake na kila kitu alichojua ili kuepuka vita kali iliyoukumba mji mkuu wa Sudan, Khartoum kuokoa maisha yake. |||||||||||||||||||||||||||||ce qu'il savait|||||qui a frappé|||||||| "Among"|"among"||"those women"||Omnia||is not|||real name|has been given|"in order to"|protect|her safety||"being"||pregnancy||nine months|nine months pregnant|was forced to|leave||||||she knew|"in order to"|to avoid|war|fierce war|"that struck"|city|capital city||Sudan's capital|Khartoum|to save|her life| |||||Omnia|||||verkliga namnet|has been given||att skydda|||||graviditet|||||||||||allt han visste||undvika|||drabbat staden|||||||| Among these women is Omnia, this is not her real name given to protect her safety. Nine months pregnant, she was forced to leave her home and everything she knew to escape the fierce fighting that engulfed the capital city of Sudan, Khartoum, to save her life. Parmi ces femmes se trouve Omnia, ce n'est pas son vrai nom, qui a été donné pour protéger sa sécurité. Avec une grossesse de neuf mois, elle a été contrainte de quitter sa maison et tout ce qu'elle connaissait pour échapper aux violentes batailles qui frappent la capitale soudanaise, Khartoum, pour sauver sa vie.

Kwa uchumngu mkubwa anasema "Nimepoteza kila kitu katika vita hii. |Great sorrow|||"I have lost"||||war| |ekonomi|||I have lost||||| With great sadness, she says, "I have lost everything in this war. Avec une grande tristesse, elle déclare: "J'ai tout perdu dans cette guerre." Lakini sikutaka kumpoteza mtoto wangu ambaye bado hajazaliwa.” |"I didn't want"|"to lose"|||"who is"|"not yet"|"not yet born" ||förlora|||||inte född But I did not want to lose my unborn child." Mais je ne voulais pas perdre mon enfant qui n'était pas encore né.

Ingawa kusafiri katika hali yake ilikuwa hatari, alihisi hakuwa na chaguo, ukosefu wa usalama, risasi zinazorindima, uporaji na uharibifu wa vituo vya afya ulimaanisha kuwa hakuweza kumuona daktari kwa wiki kadhaa, ilikuwa safari ngumu ya siku tano, hatimaye mapema Juni alifanikiwa kufika Port Sudan, kwenye ufuo wa jimbo la bahari ya Sham. |||||||il se sentit||||||||des balles qui ré||||||||signifiait que|||||||||||||||||il réussit||||||||||| "Although" or "Even though"|to travel||condition|||dangerous|felt|he had||choice|lack of||insecurity|bullets|"Ringing out"|looting||destruction||health centers||health facilities|meant that|to be|could not|see the doctor|doctor|||several weeks|||difficult||||finally|early June|June|succeeded in reaching|arrive at|Port Sudan|||shoreline||state||Red Sea||Red Sea |||||||kände|||valmöjlighet||||kulorotera|som ljudet av|plundring||||vårdinrättningar|||innebar betydde|||||||||||||||||lyckades|nå fram|Port Sudan|||||||havet||Syrienkusten Although traveling in such conditions was dangerous, she felt she had no choice, the lack of security, whizzing bullets, looting, and the destruction of health centers meant she couldn't see a doctor for weeks, it was a tough five-day journey, finally in early June she managed to reach Port Sudan, on the coast of the Red Sea state. Bien que voyager dans son état était dangereux, il sentait qu'il n'avait pas le choix, l'insécurité, les tirs de balles, le pillage et la destruction des établissements de santé signifiant qu'il ne pouvait pas voir un médecin pendant plusieurs semaines, ce fut un voyage difficile de cinq jours, enfin, début juin, il réussit à arriver à Port Soudan, sur le rivage de l'État de la mer Rouge.

Omnia alikuwa akilia njia nzima kutoka Khartoum na aliogopa kwamba angepata uchungu na kujifungulia njiani kuelekea Port Sudan. Omnia|was crying|was crying|whole way|whole way||||was afraid||would experience|pain||give birth|on the way|heading to|| ||gråta||||||was afraid|||smärta||öppna sig|under vägen||| Omnia was crying all the way from Khartoum and was afraid she would experience pain and give birth on the way to Port Sudan. Omnia pleurait tout le long du chemin depuis Khartoum et avait peur d'accoucher en route vers Port Soudan.

Kwa mujibu wa UNFPA Omnia ni kisa kimoja tu lakini maelfu ya wanawake na wasichana wanapitia changamoto hiyo hivi sasa Sudan. |"according to"||United Nations Population Fund|Omnia is one||case|one case only|only||thousands of|||||are experiencing|challenge||right now|| ||||||fall|ett|||tusentals|||||genomgår utmaningen||||| According to UNFPA Omnia is just one case but thousands of women and girls are facing the same challenges in Sudan right now. Selon l'UNFPA, Omnia est un seul cas, mais des milliers de femmes et de filles traversent actuellement ce défi au Soudan.

Alikuwa na bahati kwani aliwasili katika hospitali ya mafunzo ya Port Sudan ambako alianza kuumwa uchungu na kusaidiwa kujifungua salama mtoto wa kike kwa njia ya upasuaji. ||luck|because|arrived||hospital||training||||where|began to experience|to feel pain|pain||to be assisted|give birth safely||||baby girl||||cesarean section ||||ankom till||sjukhus||||||||att få ont||||||||||||operation She was lucky as she arrived at the Port Sudan training hospital where she started experiencing labor pains and was assisted in safely delivering a baby girl through surgery. Elle avait de la chance car elle est arrivée à l'hôpital de formation de Port Soudan où elle a commencé à avoir des contractions et a été aidée à accoucher en toute sécurité d'une fille par césarienne.

Hata hivyo UNFPA inasema “hiyo ni hospital pekee ya serikali inayotoa huduma za uzazi kwa watu milioni 1.6 na sasa shirika hilo la idadi ya watu na wadau wa bahari ya Sham wanaisaidia hospitali hio kwa vifaa, dawa na mafunzo kwa wahudumu ili kuhakikisha wakina mama wajawazito kama Omnia waliotawanywa na vita na kuwasili Port Sudan kutoka nchi nzima wanajifungua salama.” |||||||||||||||||||||||||||||||aide à|||||||||||||||||||||||||||accouchent en sécurité| "Even so"|however|United Nations Population Fund||||government hospital|only||government-run|that provides|services||reproductive health services||||||organization|that organization||population agency||||stakeholders||Red Sea||Red Sea|are helping||that||equipment|medicine||training for staff||service providers|"to ensure"|to ensure|pregnant women|pregnant women|pregnant women||Omnia|"displaced by"||war||arriving at|||||whole country|give birth safely| |||säger|||sjukhus||||som erbjuder|||||||||||||||||||||hjälper den|||||||||vårdpersonal|||mödrar|||||somaliserade||||||||||födsel| However, UNFPA says, "this is the only government hospital providing reproductive health services to 1.6 million people and now the population agency and partners of the Red Sea are supporting this hospital with equipment, drugs, and training for staff to ensure that pregnant women like Omnia, who have been displaced by conflict and arrived in Port Sudan from across the country, give birth safely." Cependant, l'UNFPA déclare : « C'est le seul hôpital public qui fournit des services de maternité pour une population de 1,6 million de personnes, et maintenant cette agence de population et des acteurs de la mer de Cham aident cet hôpital avec des équipements, des médicaments et des formations pour le personnel afin de garantir que les mères enceintes comme Omnia, qui ont été dispersées par la guerre et qui sont arrivées à Port Soudan depuis tout le pays, accouchent en toute sécurité. »

Mkurugenzi mkuu wa hospitali hiyo Dkt. Director|chief|||| The hospital's Chief Executive Officer, Dr. Le directeur général de cet hôpital, Dr. Randa Osman anasema “Timu yetu imejitolea kikamilifu kusaidia wanawake na wasichana wanaowasili kutoka Khartoum, lakini tunahitaji vifaa zaidi vya dharura, ikiwa ni pamoja na mafuta na vifaa vya kuokoa maisha na dawa. Randa|Osman||Team|our team|has committed fully|completely|||||arriving from Khartoum||||we need|equipment|||emergency supplies|"including"||"including"||fuel||equipment||save lives|||medicine Randa|Osman||||haritakila kujitolea|fullständigt|att hjälpa||||som anländer||||vi behöver|||||||||bränsle||||||| Randa Osman says, "Our team is fully dedicated to helping women and girls arriving from Khartoum, but we need more emergency supplies, including fuel and life-saving equipment and medicine." Randa Osman dit : « Notre équipe est pleinement engagée à aider les femmes et les filles arrivant de Khartoum, mais nous avons besoin de plus de matériel d'urgence, y compris des médicaments et du matériel de sauvetage. " «

Kwa mujibu wa UNFPA takriban vituo 46 vya afya nchini Sudan vimeshambuliwa, na karibu theluthi mbili havifanyi kazi tena. |according to||United Nations Population Fund||health centers||health facilities|||have been attacked||nearly|one-third||are not functioning|| ||||||||||has been attacked|||en tredjedel||de slutar fungera|| According to UNFPA, approximately 46 health facilities in Sudan have been attacked, and nearly two-thirds are no longer functioning. Selon l'UNFPA, environ 46 établissements de santé en السودان ont été attaqués, et près des deux tiers ne sont plus opérationnels.

Mpango wa hivi karibuni wa msaada wa kibinadamu Sudan unalenga kuwasaidia waty milioni 24.7 ambapo milioni 11 kati yao wanahitaji msaada wa dharura wa huduma za afya na wanawake na wasicha milioni 2.6 miongoni mwao wako katika umri wa kuzaa. |||récemment||||||||les personnes|||||||||||||||||et les filles||||||||de procréer Plan|||recent||assistance||humanitarian assistance||aims to assist|to help|people||"where" or "of whom"||"among them"||need|assistance||emergency||services||health services||||girls||among them|among them|are in||childbearing age||to give birth |||||||||syftar på|att hjälpa dem|människor||där||||behöver hjälp|||||||||||flickor||||||||föda The latest humanitarian aid program in Sudan aims to assist 24.7 million people, with 11 million of them needing emergency health services, and 2.6 million of them being women and girls of reproductive age. Le récent programme d'aide humanitaire au السودان vise à aider 24,7 millions de personnes, dont 11 millions ont besoin d'une aide d'urgence pour des soins de santé, et 2,6 millions de femmes et de filles parmi elles sont en âge de procréer.