×

我们使用 cookie 帮助改善 LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.

image

LingQ Mini Stories, 11- Nyumba Yangu Ni Ndogo Sana

Nyumba ya Jumanne ni ndogo sana.

Anataka kuhamia nyumba mpya.

Anatazama picha za nyumba kwenye intaneti.

Nyumba moja ni bei nafuu sana.

Ila imezeeka na ipo tupu.

Nyumba nyingine ina samani ndani yake.

Ina kitanda, televisheni, na jiko.

Ila, hiyo nyumba ni gharama.

Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi.

Namna hiyo, ataweza kuhama mwaka ujao.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Jumanne.

Nyumba yangu ni ndogo sana.

Ninataka kuhamia kwenye nyumba mpya.

Ninatazama picha za nyumba kwenye intaneti.

Nyumba moja ni bei rahisi.

Lakini imezeeka na ni tupu.

Nyumba nyingine ina samani ndani yake.

Ina kitanda, televisheni, na jiko.

Ila, nyumba hiyo ni gharama.

Ninaamua kutunza fedha zaidi.

Namna hiyo, nitaweza kuhama mwaka ujao.

Maswali.

1) Nyumba ya Jumanne ni ndogo sana. Je, nyumba ya Jumanne ni kubwa? Hapana, nyumba yake sio kubwa. Ni ndogo sana.

2) Jumanne anataka kuhamia kwenye nyumba mpya. Je, Jumanne anataka kuhama? Ndiyo, Jumanne anataka kuhamia kwenye nyumba mpya.

3) Jumanne anatazama picha za nyumba kwenye intaneti. Je, Jumanne anatazama picha za magari? Hapana, Jumanne hatazami picha za magari. Anatazama picha za nyumba.

4) Nyumba ya kwanza ni bei nafuu. Je, nyumba ya kwanza ni gharama? Hapana, nyumba ya kwanza sio gharama. Ni bei nafuu.

5) Nyumba ya kwanza imezeeka na ipo tupu. Je, nyumba ya kwanza imezeeka? Ndiyo, nyumba ya kwanza imezeeka na ipo tupu.

6) Nyumba nyingine ina kitanda, televisheni, na jiko. Je, nyumba nyingine ina samani? Ndiyo, nyumba nyingine ina kitanda, televisheni, na jiko.

7) Nyumba yenye samani ni gharama. Je, nyumba yenye samani ni bei nafuu? Hapana, nyumba yenye samani sio bei nafuu, ni gharama.

8) Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi. Je, Jumanne anataka kutunza fedha zaidi? Ndiyo, Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi.

9) Jumanne anaweza kuhama mwaka ujao. Je, Jumanne anaweza kuhama mwaka huu? Hapana, Jumanne hawezi kuhama mwaka huu. Anaweza kuhama mwaka ujao.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Nyumba ya Jumanne ni ndogo sana. das Haus|von|Jumanne|ist|klein|sehr The house|of|Jumanne|is|small|very Das Haus am Dienstag ist sehr klein. Brad's apartment is too small. La maison de mardi est très petite.

Anataka kuhamia nyumba mpya. sie möchte|ziehen|| He wants|to move to|house|new Er möchte in ein neues Haus umziehen. He wants to move to a new apartment.

Anatazama picha za nyumba kwenye intaneti. You are looking at|pictures|of|houses|on|the internet He looks at pictures of apartments on the internet.

Nyumba moja ni bei nafuu sana. House|one|is|price|affordable|very One apartment is very cheap.

Ila imezeeka na ipo tupu. But|is old|and|it is|empty Aber es ist alt und leer. But it is old and empty.

Nyumba nyingine ina samani ndani yake. The house|another|has|furniture|inside|it In einem anderen Haus stehen Möbel. Another apartment has furniture.

Ina kitanda, televisheni, na jiko. It has|a bed|a television|and|a stove It has a bed, a TV, and a stove.

Ila, hiyo nyumba ni gharama. But|that|house|is|expensive That apartment is expensive, though.

Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi. Tuesday|decides|to save|money|more Am Dienstag beschließt er, mehr Geld zu behalten. Brad decides to save more money.

Namna hiyo, ataweza kuhama mwaka ujao. that way||will be able to|move|year|next Auf diese Weise kann er nächstes Jahr umziehen. Then, he can move next year.

Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Jumanne. This|is|story|that|being told|by|Jumanne Here is the same story told in a different way.

Nyumba yangu ni ndogo sana. My house|is|very|small|small My apartment is too small. Ma maison est très petite.

Ninataka kuhamia kwenye nyumba mpya. I want|to move|into|house|new I want to move to a new apartment.

Ninatazama picha za nyumba kwenye intaneti. I am looking at|pictures|of|houses|on|the internet I look at pictures of apartments on the internet.

Nyumba moja ni bei rahisi. The house|one|is|price|cheap One apartment is very cheap. Une maison est bon marché.

Lakini imezeeka na ni tupu. But|is old|and|is|empty But it is old and empty.

Nyumba nyingine ina samani ndani yake. The house|another|has|furniture|inside|it In einem anderen Haus stehen Möbel. Another apartment has furniture.

Ina kitanda, televisheni, na jiko. It has|a bed|a television|and|a stove It has a bed, a TV, and a stove.

Ila, nyumba hiyo ni gharama. But|house|that|is|expensive That apartment is expensive, though.

Ninaamua kutunza fedha zaidi. I decide|to save|money|more I decide to save more money.

Namna hiyo, nitaweza kuhama mwaka ujao. ||I will be able|move|| Then, I can move next year.

Maswali. Questions Questions:

1) Nyumba ya Jumanne ni ndogo sana. The house|of|Jumanne|is|small|very One: Brad's apartment is too small. Je, nyumba ya Jumanne ni kubwa? Is Brad's apartment big? Hapana, nyumba yake sio kubwa. No|house|his|is not|big No, his apartment is not big. Ni ndogo sana. It is|small|very It is too small.

2) Jumanne anataka kuhamia kwenye nyumba mpya. Jumanne|wants|to move|into|house|new Two: Brad wants to move to a new apartment. Je, Jumanne anataka kuhama? Does Brad want to move? Ndiyo, Jumanne anataka kuhamia kwenye nyumba mpya. Yes|Jumanne|wants|to move|into|house|new Yes, Brad wants to move to a new apartment.

3) Jumanne anatazama picha za nyumba kwenye intaneti. Tuesday|looks at|pictures|of|house|on|internet Three: Brad looks at pictures of apartments on the internet. Je, Jumanne anatazama picha za magari? question particle|Jumanne|watches|pictures|of|cars Does Brad look at pictures on the internet? Hapana, Jumanne hatazami picha za magari. No|Tuesday|does not look at|pictures|of|cars Yes, Brad looks at pictures of apartments on the internet. Anatazama picha za nyumba. You are looking at|pictures|of|house He looks at the pictures of the house.

4) Nyumba ya kwanza ni bei nafuu. The house|of|first|is|price|affordable Four: The first apartment is cheap. Je, nyumba ya kwanza ni gharama? Is|house|of|first|is|expensive Is the first apartment expensive? Hapana, nyumba ya kwanza sio gharama. No|house|of|first|is not|expensive No, the first apartment is not expensive. Ni bei nafuu. It is|price|affordable It is cheap.

5) Nyumba ya kwanza imezeeka na ipo tupu. The house|of|first|has aged|and|is|empty Five: The first apartment is old and empty. Je, nyumba ya kwanza imezeeka? Is the first apartment old? Ndiyo, nyumba ya kwanza imezeeka na ipo tupu. Yes|house|of|first|has aged|and|is|empty Yes, the first apartment is old and empty.

6) Nyumba nyingine ina kitanda, televisheni, na jiko. The house|another|has|bed|television|and|kitchen Six: The other apartment has a bed, a TV, and a stove. Je, nyumba nyingine ina samani? Do|house|another|has|furniture Does the other apartment have furniture? Ndiyo, nyumba nyingine ina kitanda, televisheni, na jiko. Yes|house|another|has|bed|television|and|kitchen Yes, the other apartment has a bed, a TV, and a stove.

7) Nyumba yenye samani ni gharama. The house|with|furniture|is|expensive 7) Ein möbliertes Haus ist teuer. Seven: The other apartment is expensive. Je, nyumba yenye samani ni bei nafuu? Is|the house|with|furniture|is|price|affordable Is the other apartment cheap? Hapana, nyumba yenye samani sio bei nafuu, ni gharama. No|house|with|furniture|is not|price|affordable|it is|expensive No, the other apartment is not cheap, it is expensive.

8) Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi. Tuesday|decides|to save|money|more Eight: Brad decides to save more money. Je, Jumanne anataka kutunza fedha zaidi? Does Brad want to save more money? Ndiyo, Jumanne anaamua kutunza fedha zaidi. Yes|Jumanne|decides|to save|money|more Yes, Brad decides to save more money.

9) Jumanne anaweza kuhama mwaka ujao. Tuesday|can|move|year|next Nine: Brad can move next year. Je, Jumanne anaweza kuhama mwaka huu? question particle|Jumanne|can|move|year|this Kann der Dienstag dieses Jahr verschoben werden? Can Brad move this year? Hapana, Jumanne hawezi kuhama mwaka huu. No|Jumanne|can|move|year|this No, Brad can't move this year. Anaweza kuhama mwaka ujao. He/She can|move|year|next He can move next year. Il pourrait déménager l'année prochaine.