×

我们使用cookies帮助改善LingQ。通过浏览本网站,表示你同意我们的 cookie 政策.


image

LingQ Mini Stories, 55 - Nyumba Mpya

Mumbua na Wambua wangependa kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wao wawili wanakua.

Kwa bahati mbaya, imekuwa vigumu kununua nyumba mpya kwa sababu gharama ya makazi imepanda kwa kasi zaidi kuliko mapato ya watu.

Ili kuweza kununua nyumba mpya, wamekuwa wakihifadhi pesa kwa miaka.

Ikiwa wanataka kununua nyumba ya familia moja, watalazimika kuishi mbali na jiji.

Hii ingemaanisha safari ndefu kwenda kazini kwao wote wawili.

Waliangalia maghorofa lakini haya yalikuwa madogo sana au katika vitongoji hawapendi.

Wanatambua kwamba ingawa wote wawili wanafanya kazi kwa bidii na hawatumii pesa bila hekima, bado hawawezi kumudu nyumba wanavyotaka.

Walifikiri, wakati fulani, ya kukodisha nyumba, lakini kwa kweli walihisi walitaka kumiliki nyumba yao wenyewe.

Hatimaye waliamua kuhamia mji mdogo.

Wanahisi wanaweza kuishi maisha rahisi huko na kufurahia maisha bora ya familia.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Tulitaka kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wetu wawili walikuwa wakubwa.

Kwa bahati mbaya, ilikuwa vigumu kununua nyumba mpya kwa sababu gharama ya nyumba ilikuwa imepanda kwa kasi zaidi kuliko mapato yetu.

Ili tuweze kununua nyumba mpya, tumekuwa tukihifadhi pesa kwa miaka mingi.

Ikiwa tungetaka kununua nyumba ya familia moja, tungelazimika kuishi mbali na jiji.

Hii ingemaanisha safari ndefu kwa kazi zetu kwa sisi sote.

Tulikuwa tumeangalia vyumba lakini haya yalikuwa madogo sana au katika vitongoji ambavyo hatukupenda.

Tuligundua kwamba ingawa sote wawili tulifanya kazi kwa bidii na hatukutumia pesa vibaya, bado hatukuweza kumudu nyumba tuliyotaka.

Tulifikiria, wakati fulani, ya kukodisha nyumba, lakini kwa kweli tulihisi tunapendelea kumiliki nyumba yetu wenyewe.

Hatimaye tuliamua kuhamia mji mdogo.

Tulihisi tunaweza kuishi maisha rahisi huko na kufurahia maisha bora ya familia.

Maswali:

Moja: Mumbua na Wambua wanataka kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wao wawili wanakua.

Kwa nini Mumbua na Wambua wanataka kununua nyumba mpya?

Wanataka kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wao wanakua.

Mbili: Wamekuwa wakihifadhi pesa kwa miaka.

Mumbua na Wambua wamekuwa wakiokoa pesa kwa muda gani?

Wamekuwa wakihifadhi pesa kwa miaka.

Tatu: Ikiwa wanataka kununua nyumba ya familia moja, watalazimika kuishi mbali na jiji.

Nini kingetokea ikiwa wangenunua nyumba ya familia moja?

Wangelazimika kuishi mbali na jiji.

Nne: Waliangalia maghorofa lakini haya yalikuwa madogo sana au katika vitongoji hawakupenda.

Kwa nini hawakupenda vyumba walivyotazama?

Hawapendi vyumba walivyotazama kwa sababu vilikuwa vidogo sana au katika vitongoji ambavyo hawakuvipenda

Tano: Walitaka kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wao wawili walikuwa wakubwa.

Walitaka kufanya nini?

Walitaka kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wao wawili walikuwa wakubwa.

Sita: Walikuwa na mawazo, wakati fulani, ya kukodisha nyumba.

Walifikiria nini wakati mmoja?

Walikuwa wamefikiria, wakati mmoja, kuhusu kukodisha nyumba.

Saba: Kwa kweli walihisi wanapendelea kumiliki nyumba yao wenyewe.

Je, walihisi wanapendelea kumiliki nini?

Walihisi wanapendelea kumiliki nyumba yao wenyewe.

Nane: Hatimaye waliamua kuhamia mji mdogo.

Waliamua nini hatimaye?

Hatimaye waliamua kuhamia mji mdogo.

Mumbua na Wambua wangependa kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wao wawili wanakua. Sally and George would like to buy a new home because their two children are growing. Mumbua et Wambua aimeraient acheter une nouvelle maison car leurs deux enfants grandissent.

Kwa bahati mbaya, imekuwa vigumu kununua nyumba mpya kwa sababu gharama ya makazi imepanda kwa kasi zaidi kuliko mapato ya watu. Unfortunately, it has become difficult to buy a new home because the cost of housing has risen faster than people's incomes.

Ili kuweza kununua nyumba mpya, wamekuwa wakihifadhi pesa kwa miaka. In order to be able to buy a new home, they have been saving money for years. Pour pouvoir acheter une nouvelle maison, ils ont économisé de l’argent depuis des années.

Ikiwa wanataka kununua nyumba ya familia moja, watalazimika kuishi mbali na jiji. If they want to buy a single-family house, they would have to live far from the city. S’ils veulent acheter une maison unifamiliale, ils devront habiter loin de la ville.

Hii ingemaanisha safari ndefu kwenda kazini kwao wote wawili. This would mean a long commute to their jobs for both of them.

Waliangalia maghorofa lakini haya yalikuwa madogo sana au katika vitongoji hawapendi. They looked at apartments but these were either too small or in neighbourhoods they don't like.

Wanatambua kwamba ingawa wote wawili wanafanya kazi kwa bidii na hawatumii pesa bila hekima, bado hawawezi kumudu nyumba wanavyotaka. They realize that even though they both work hard and don't spend money unwisely, they still can't afford the home that they want.

Walifikiri, wakati fulani, ya kukodisha nyumba, lakini kwa kweli walihisi walitaka kumiliki nyumba yao wenyewe. They thought, at one point, of renting a home, but really felt they wanted to own their own home.

Hatimaye waliamua kuhamia mji mdogo. Finally they decided to move to a smaller town.

Wanahisi wanaweza kuishi maisha rahisi huko na kufurahia maisha bora ya familia. They feel they can live a simpler life there and enjoy a better family life.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti. Here is the same story told in a different way.

Tulitaka kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wetu wawili walikuwa wakubwa. We had wanted to buy a new home because our two children had grown older.

Kwa bahati mbaya, ilikuwa vigumu kununua nyumba mpya kwa sababu gharama ya nyumba ilikuwa imepanda kwa kasi zaidi kuliko mapato yetu. Unfortunately, it had become difficult to buy a new home because the cost of housing had risen faster than our incomes.

Ili tuweze kununua nyumba mpya, tumekuwa tukihifadhi pesa kwa miaka mingi. In order to be able to buy a new home, we had been saving money for years.

Ikiwa tungetaka kununua nyumba ya familia moja, tungelazimika kuishi mbali na jiji. If we had wanted to buy a single-family house, we would have had to live far from the city.

Hii ingemaanisha safari ndefu kwa kazi zetu kwa sisi sote. This would have meant a long commute to our jobs for both of us.

Tulikuwa tumeangalia vyumba lakini haya yalikuwa madogo sana au katika vitongoji ambavyo hatukupenda. We had looked at apartments but these were either too small or in neighbourhoods we didn't like.

Tuligundua kwamba ingawa sote wawili tulifanya kazi kwa bidii na hatukutumia pesa vibaya, bado hatukuweza kumudu nyumba tuliyotaka. We realized that even though we both worked hard and didn't spend money unwisely, we still couldn't afford the home that we wanted.

Tulifikiria, wakati fulani, ya kukodisha nyumba, lakini kwa kweli tulihisi tunapendelea kumiliki nyumba yetu wenyewe. We had thought, at one point, of renting a home, but really felt we preferred to own our own home.

Hatimaye tuliamua kuhamia mji mdogo. Finally we decided to move to a smaller town.

Tulihisi tunaweza kuishi maisha rahisi huko na kufurahia maisha bora ya familia. We felt we could live a simpler life there and enjoy a better family life.

Maswali: Questions:

Moja: Mumbua na Wambua wanataka kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wao wawili wanakua. One: Sally and George want to buy a new home because their two children are growing.

Kwa nini Mumbua na Wambua wanataka kununua nyumba mpya? Why do Sally and George want to buy a new home?

Wanataka kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wao wanakua. They want to buy a new home because their children are growing.

Mbili: Wamekuwa wakihifadhi pesa kwa miaka. Two: They have been saving money for years.

Mumbua na Wambua wamekuwa wakiokoa pesa kwa muda gani? How long have Sally and George been saving money?

Wamekuwa wakihifadhi pesa kwa miaka. They have been saving money for years.

Tatu: Ikiwa wanataka kununua nyumba ya familia moja, watalazimika kuishi mbali na jiji. Three: If they want to buy a single-family house, they would have to live far from the city.

Nini kingetokea ikiwa wangenunua nyumba ya familia moja? What would happen if they were to buy a single-family house?

Wangelazimika kuishi mbali na jiji. They would have to live far from the city.

Nne: Waliangalia maghorofa lakini haya yalikuwa madogo sana au katika vitongoji hawakupenda. Four: They looked at apartments but these were either too small or in neighbourhoods they didn't like.

Kwa nini hawakupenda vyumba walivyotazama? Why don't they like the apartments they looked at?

Hawapendi vyumba walivyotazama kwa sababu vilikuwa vidogo sana au katika vitongoji ambavyo hawakuvipenda They don't like the apartments they looked at because they were either too small or in neighbourhoods they didn't like

Tano: Walitaka kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wao wawili walikuwa wakubwa. Five: We had wanted to buy a new home because our two children had grown older.

Walitaka kufanya nini? What had we wanted to do?

Walitaka kununua nyumba mpya kwa sababu watoto wao wawili walikuwa wakubwa. You had wanted to buy a new home because your two children had grown older.

Sita: Walikuwa na mawazo, wakati fulani, ya kukodisha nyumba. Six: We had thought, at one point, of renting a home.

Walifikiria nini wakati mmoja? What had we thought about at one point?

Walikuwa wamefikiria, wakati mmoja, kuhusu kukodisha nyumba. You had thought, at one point, about renting a home.

Saba: Kwa kweli walihisi wanapendelea kumiliki nyumba yao wenyewe. Seven: We really felt we preferred to own our own home.

Je, walihisi wanapendelea kumiliki nini? What did we feel we preferred to own?

Walihisi wanapendelea kumiliki nyumba yao wenyewe. You felt you preferred to own your own home.

Nane: Hatimaye waliamua kuhamia mji mdogo. Eight: Finally we decided to move to a smaller town.

Waliamua nini hatimaye? What did we finally decide?

Hatimaye waliamua kuhamia mji mdogo. You finally decided to move to a smaller town.