×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

image

LingQ Mini Stories, 10- Sherehe Ya Kuzaliwa

William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa.

Anahitaji kununua zawadi kwa ajili ya Eva.

Ila, William huwa haendi katika sherehe nyingi.

Ana wasiwasi na anajiuliza anunue nini.

Eva huwa anapenda vito, wanyama, na rangi ya bluu.

William anaenda katika duka la vito.

Anaona mkufu mzuri wa fedha.

Mkufu huo una paka wa bluu juu yake.

William anafurahi, na ananunua mkufu huo.

Anatarajia Eva ataupenda mkufu huo.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na William.

Ninaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa.

Ninahitaji kununua zawadi kwa ajili ya Eva.

Ila, huwa siendi kwenye sherehe nyingi sana.

Nina wasiwasi na ninajiuliza ninunue nini.

Eva huwa anapenda vito, wanyama, na rangi ya bluu.

Ninaenda kwenye duka la vito.

Ninaona mkufu mzuri wa fedha.

Mkufu huo una paka wa bluu juu yake.

Ninafurahi, na kununua mkufu huo.

Ninatarajia Eva ataupenda mkufu huo.

Maswali.

1) William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Eva. Je, William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa? Ndiyo, William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Eva.

2) William huwa haendi kwenye sherehe nyingi, hivyo anajisikia wasiwasi. Je, William huwa anaenda kwenye sherehe nyingi? Hapana, William huwa haendi kwenye sherehe nyingi, hivyo anajisikia wasiwasi.

3) Eva anapenda wanyama, na rangi ya bluu. Je, Eva anapenda wanyama? Ndiyo, Eva anapenda wanyama, na pia anapenda rangi ya bluu.

4) William anaenda katika duka la vito. Je, Eva alienda katika duka la vito? Hapana, Eva hakwenda katika duka la vito, lakini William alikwenda.

5) William anaona mkufu wa fedha. Je, William aliona pete? Hapana, aliona mkufu wa fedha, sio pete.

6) Mkufu ni wa fedha. Je mkufu ni wa fedha, au dhahabu? Mkufu ni wa fedha, sio wa dhahabu.

7) Kuna paka wa bluu kwenye mkufu. Je, kuna paka wa zambarau kwenye mkufu? Hapana, hakuna. Kuna paka wa bluu kwenye mkufu.

8) William ananunua mkufu kwa sababu anatarajia Eva ataupenda. Je, William ananunua mkufu? Ndiyo, William ananunua mkufu kwa sababu anatarajia Eva ataupenda.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa. William|is going|to the|party|of|birthday William geht zu einer Geburtstagsfeier. Jack is going to a birthday party. William va à une fête d'anniversaire.

Anahitaji kununua zawadi kwa ajili ya Eva. He/She needs|to buy|gift|for|purpose|of|Eva He needs to buy a present for Meg.

Ila, William huwa haendi katika sherehe nyingi. But|William||does not go|to|parties| Allerdings geht William nicht auf viele Partys. Jack doesn't go to many parties, though.

Ana wasiwasi na anajiuliza anunue nini. She|worries|and|she asks herself|she should buy|what Er macht sich Sorgen und fragt sich, was er kaufen soll. He is nervous and wonders what to buy.

Eva huwa anapenda vito, wanyama, na rangi ya bluu. Eva|||jewelry|animals|and|color|of|blue Eva liebt Schmuck, Tiere und die Farbe Blau. Meg likes jewelry, animals, and the colour blue. Eva houdt van sieraden, dieren en de kleur blauw.

William anaenda katika duka la vito. William|goes|to|store|of|jewelry Jack goes to a jewelry store. William se rend dans une bijouterie.

Anaona mkufu mzuri wa fedha. He sees|necklace|beautiful|of|silver Er sieht eine wunderschöne silberne Halskette. He sees a pretty, silver necklace.

Mkufu huo una paka wa bluu juu yake. The necklace|that|has|cat|with|blue|on|it Auf der Halskette ist eine blaue Katze abgebildet. The necklace has a blue cat on it. Op de ketting staat een blauwe kat.

William anafurahi, na ananunua mkufu huo. William||and|he buys|necklace|that Jack is happy, and he buys the necklace.

Anatarajia Eva ataupenda mkufu huo. He expects|Eva|will like|necklace|that Er hofft, dass Eva die Halskette mögen wird. He hopes Meg will like the necklace. Eva förväntas att älska den halsbandet.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na William. This|is|story|that|told|by|William Here is the same story told in a different way. Det är den berättelsen, berättad av William.

Ninaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa. I am going|to the|party|of|birthday I am going to a birthday party. Jag går på födelsedagsfesten.

Ninahitaji kununua zawadi kwa ajili ya Eva. I need|to buy|gift|for|purpose|of|Eva I need to buy a present for Meg.

Ila, huwa siendi kwenye sherehe nyingi sana. But|usually|I don't go|to|parties||very Aber ich gehe nicht auf viele Partys. I don't go to many parties, though.

Nina wasiwasi na ninajiuliza ninunue nini. I have|worry|and|I ask myself|I should buy|what I am nervous and wonder what to buy.

Eva huwa anapenda vito, wanyama, na rangi ya bluu. Eva||loves|jewelry|animals|and|color|of|blue Meg likes jewelry, animals, and the colour blue.

Ninaenda kwenye duka la vito. I am going|to|store|of|jewelry I go to a jewelry store.

Ninaona mkufu mzuri wa fedha. I see|necklace|beautiful|of|silver Ich sehe eine wunderschöne silberne Halskette. I see a pretty, silver necklace.

Mkufu huo una paka wa bluu juu yake. The necklace|that|has|cat|with|blue|on|it The necklace has a blue cat on it.

Ninafurahi, na kununua mkufu huo. I am happy|and|to buy|necklace|that I am happy, and I buy the necklace.

Ninatarajia Eva ataupenda mkufu huo. I expect|Eva|will like|necklace|that I hope Meg will like the necklace.

Maswali. Questions Questions:

1) William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Eva. William|is going|to|party|of|birthday|of|Eva One: Jack is going to a birthday party for Meg. Je, William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa? question particle|William|is going|to|party|of|birthday Is Jack going to a birthday party? Est-ce que William va à la fête d'anniversaire ? Ndiyo, William anaenda kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Eva. Yes|William|is going|to the|party|of|birthday|of|Eva Yes, Jack is going to a birthday party for Meg. Oui, William va à la fête d'anniversaire d'Eva.

2) William huwa haendi kwenye sherehe nyingi, hivyo anajisikia wasiwasi. William||does not go|to|parties||so|he feels|anxious 2) William geht nicht auf viele Partys und ist daher nervös. Two: Jack does not go to many parties, so he feels nervous. 2) William ne va pas à beaucoup de fêtes, donc il se sent nerveux. Je, William huwa anaenda kwenye sherehe nyingi? question particle|William||goes|to|parties|many Does Jack go to many parties? William va-t-il à de nombreuses fêtes ? Hapana, William huwa haendi kwenye sherehe nyingi, hivyo anajisikia wasiwasi. No|William||does not go|to|parties||so|he feels|anxious No, Jack does not go to many parties, so he feels nervous. Non, William ne va pas à beaucoup de fêtes, donc il se sent nerveux.

3) Eva anapenda wanyama, na rangi ya bluu. Eva|loves|animals|and|color|of|blue Three: Meg likes animals, and the colour blue. 3) Eva aime les animaux et la couleur bleue. Je, Eva anapenda wanyama? Does Meg like animals? Eva aime-t-elle les animaux ? Ndiyo, Eva anapenda wanyama, na pia anapenda rangi ya bluu. Yes|Eva|loves|animals|and|also|loves|color|of|blue Yes, Meg likes animals, and she also likes the colour blue. Oui, Eva aime les animaux, et elle aime aussi la couleur bleue.

4) William anaenda katika duka la vito. William|goes|to|store|of|jewelry Four: Jack goes to a jewelry store. 4) William se rend à la bijouterie. Je, Eva alienda katika duka la vito? question particle|Eva|went|to|store|of|jewelry Does Meg go to a jewelry store? Eva est-elle allée à la bijouterie ? Hapana, Eva hakwenda katika duka la vito, lakini William alikwenda. No|Eva||to|store|of|jewelry|but|William|went No, Meg does not go to a jewelry store, but Jack does. Non, Eva n'est pas allée à la bijouterie, mais William y est allé.

5) William anaona mkufu wa fedha. William|sees|necklace|of|silver Five: Jack sees a silver necklace. 5) William voit un collier en argent. Je, William aliona pete? question particle|William|saw|ring Does Jack see a silver ring? William a-t-il vu la bague ? Hapana, aliona mkufu wa fedha, sio pete. No|he saw|necklace|of|silver|not|ring No, he sees a silver necklace, not a ring. Non, il a vu un collier en argent, pas une bague.

6) Mkufu ni wa fedha. necklace|is|of|silver Six: The necklace is silver. 6) Le collier est en argent. Je mkufu ni wa fedha, au dhahabu? Is|necklace|is|of|silver|or|gold Is the necklace silver, or gold? Le collier est-il en argent ou en or ? Mkufu ni wa fedha, sio wa dhahabu. necklace|is|of|silver|not|of|gold The necklace is silver, not gold.

7) Kuna paka wa bluu kwenye mkufu. There is|cat|of|blue|on|necklace Seven: There is a blue cat on the necklace. 7) Il y a un chat bleu sur le collier. Je, kuna paka wa zambarau kwenye mkufu? Is|there is|cat|of|purple|on|necklace Is there a purple cat on the necklace? Y a-t-il un chat violet sur le collier ? Hapana, hakuna. No|there is none No, there is not. Kuna paka wa bluu kwenye mkufu. There is|cat|of|blue|on|necklace There is a blue cat on the necklace.

8) William ananunua mkufu kwa sababu anatarajia Eva ataupenda. William|buys|necklace|for|reason|he expects|Eva|will like it Eight: Jack buys the necklace because he hopes Meg will like it. Je, William ananunua mkufu? Does Jack buy the necklace? Ndiyo, William ananunua mkufu kwa sababu anatarajia Eva ataupenda. Yes|William|buys|necklace|for|reason|he expects|Eva|will like it Yes, Jack buys the necklace because he hopes Meg will like it. Oui, William achète le collier parce qu'il espère qu'il plaira à Eva.