Joshua anataka kazi mpya.
Joshua wants a new job.|||
Joshua vill ha ett nytt jobb.|||
Gene wants a new job.
Hapendi kazi yake ya ofisini.
He/She doesn't like||his||in the office
He doesn't like his office job.
Kukaa kwenye kompyuta kunaboa.
Sitting|||is boring
Sitta vid|||är tråkigt
Am Computer zu sitzen ist scheiße.
He thinks his job is too boring.
Joshua anataka kazi ya kusisimua zaidi.
||||exciting|more exciting
||||spännande|
Gene wants a more exciting job.
Anatafuta kazi mpya mtandaoni.
He is searching|||online
Söker efter|||på nätet
He looks for a new job online.
Kuna kazi nyingi katika migahawa.
there are|work|many|in|restaurants
There are many jobs in restaurants.
Angeweza kuwa mpishi au mhudumu.
"Could have been"|be|chef|or|server
Kunde ha varit||||servitör
There are also many jobs in stores.
Joshua hawezi kupika vizuri sana.
|cannot|cook|well|very much
Gene can't cook very well.
Lakini anapenda kutembea na kuongea na watu.
but||to walk||to talk||
||att promenera||||
Aber er geht gerne spazieren und redet gerne mit Menschen.
But he likes shopping and talking to people.
Joshua anatarajia atapata kazi kama mhudumu.
|"is hoping"|will get|job|"as a"|attendant
||kommer att få|||
Gene hopes he can find a job in a store.
Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Joshua.
This||||||
Here is the same story told in a different way.
Ninataka kazi mpya.
I want||
I want a new job.
Sipendi kazi yangu ya ofisini.
I don't like||my office work||
I don't like my office job.
Kukaa kwenye kompyuta kunaboa.
Sitting|||is boring
I think my job is too boring.
Nataka kazi ya kusisimua zaidi.
|||more exciting|
I want a more exciting job.
Ninatafuta kazi mpya mtandaoni.
I am looking|||online
Jag söker|||
I look for a new job online.
Kuna kazi nyingi katika migahawa.
||||restaurants
There are many jobs in restaurants.
Ningeweza kuwa mpishi au mhudumu.
"I could be"||||server or waiter
Jag kunde ha||||
There are also many jobs in stores.
Siwezi kupika vizuri sana.
I can't cook very well.
Lakini napenda kutembea na kuongea na watu.
|"I like"|||to talk||people
But I like shopping and talking to people.
Natarajia nitapata kazi kama mhudumu.
I hope|I will get|||
I hope I can find a job in a store.
Maswali.
Questions:
1) Joshua anataka kazi mpya.
One: Gene wants a new job.
Je, Joshua anataka kazi mpya?
Does Gene want a new job?
Ndiyo, Joshua anataka kazi mpya.
Yes, Gene wants a new job.
2) Joshua anafikiria kuwa kazi yake inaboa.
|is thinking||||is boring
|tänker att||||är tråkigt
2) Joshua findet seine Arbeit langweilig.
Two: Gene thinks his job is too boring.
Je, Joshua anaipenda kazi yake ya ofisini?
||"He likes it"||||
||Han gillar den||||
Does Gene like his office job?
Hapana, haipendi kazi yake ya ofisini.
|does not like||||
|tycker inte om||||
No, he doesn't like his office job.
Anafikiria kazi yake inaboa.
"She thinks"|||is boring
he thinks his job is too boring.
3) Joshua anataka kazi yenye kusisimua.
|||with|exciting
Three: Gene wants a more exciting job.
Je, Joshua anataka kazi ya kuboa?
|||||unclog
|||||borrning
Does Gene want a boring job?
Hapana, Joshua anataka kazi ya kusisimua zaidi.
No||||||
|||||spännande|
No, Gene wants a more exciting job.
4) Joshua anatafuta kazi mpya mtandaoni.
|is looking for|||online
Four: Gene looks for a new job online.
Je, Joshua anatafuta kazi mtandaoni?
||"is looking for"||online
Does Gene look for a job online?
Ndiyo, anatafuta kazi mpya mtandaoni.
|is looking for|||online
Yes, he looks for a new job online.
5) Joshua angeweza kuwa mpishi au mhudumu katika mgahawa.
|could be able||a cook||waiter||
Five: Jene could be a cook or a waiter in a restaurant.
Je, Joshua anaweza kuwa mpishi ndani ya ofisi?
|||||||office
Can Jene be the chef in the office?
Hapana, hawezi kuwa mpishi ndani ya ofisi.
No, he cannot be a chef in the office.
Angeweza kuwa mpishi au mhudumu katika mgahawa.
Could have been||||waiter||
He could be a cook or a waiter in a restaurant.
6) Joshua hawezi kupika vizuri.
Six: Gene can't cook very well.
Je, Joshua anaweza kupika vizuri?
||||well
Can Gene cook well?
Hapana, Joshua hawezi kupika vizuri.
||"cannot"||
No, Gene can't cook very well.
7) Joshua anapenda kutembea na kuongea na watu.
Seven: Gene likes shopping and talking to people.
Je, Joshua anapenda kuongea na watu?
Does Gene like talking to people?
Ndiyo, Joshua anapenda kutembea na kuongea na watu.
Yes, Gene likes talking to people, and shopping.
8) Joshua anataka kutafuta kazi kama mhudumu.
||to look for|||
||söka efter||som|
Eight: Gene wants to find a job in a store.
Je, Joshua anataka kuwa mpishi katika mgahawa?
Does Gene want a job in a restaurant?
Hapana, hataki kuwa mpishi.
|does not want||
No, he doesn't want a job in a restaurant.
Anataka kutafuta kazi kama mhudumu.
|to look for|||
||||servitör
he wants to find a job in a store.