Binti yangu huwa anakwenda shule kila siku.
||elle||||jour
My daughter|my|usually|she goes|to school|every|day
Meine Tochter geht jeden Tag zur Schule.
My daughter goes to school every day.
Ma fille va à l'école tous les jours.
Mijn dochter gaat elke dag naar school.
Huwa anapenda shule sana.
il|||
He usually|loves|school|very much
Er mag die Schule immer sehr.
She likes school very much.
Il aime toujours beaucoup l'école.
Ni mwanafunzi mzuri shuleni.
|élève|bon|
It is|student|good|at school
She is a good student at school.
C'est un bon élève à l'école.
Ele é um bom aluno na escola.
Walimu wanampenda binti yangu sana.
The teachers|love him|daughter|my|very much
The teachers like my daughter a lot.
Les professeurs aiment beaucoup ma fille.
Binti yangu pia ana marafiki wengi.
Daughter|my|also|has|friends|many
Meine Tochter hat auch viele Freunde.
My daughter also has many friends.
Ma fille a aussi de nombreux amis.
Rafiki yake wa karibu ni Mariam.
His friend|his|of|close|is|Mariam
Ihre beste Freundin ist Mariam.
Her best friend is Amy.
Sa meilleure amie est Mariam.
Mariam huwa anapenda hisabati na sayansi.
Mariam|usually|loves|mathematics|and|science
Mariam mag Mathematik und Naturwissenschaften.
Amy likes math and science.
Binti yangu huwa anapenda Kiingereza na historia.
My daughter|my|usually|loves|English|and|history
My daughter likes English and history.
Ma fille aime toujours l'anglais et l'histoire.
Huwa wanasaidiana na kazi zao za nyumbani.
They usually|help each other|with|chores|their|of|home
Sie helfen sich immer gegenseitig bei den Hausaufgaben.
They help each other with homework.
Ze helpen elkaar altijd met hun huiswerk.
Wanasoma kwa bidii na wanafanya vizuri shuleni.
They study|with|diligence|and|they perform|well|in school
Sie lernen fleißig und sind in der Schule gut.
They study hard and do well in school.
Eles estudam muito e vão bem na escola.
Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na binti huyo.
This|is|story|that|told|by|girl|that
Dies ist die Geschichte, die das Mädchen erzählt.
Here is the same story told in a different way.
Dit is het verhaal, verteld door het meisje.
Huwa ninakwenda shule kila siku.
I usually|go|to school|every|day
I go to school every day.
Ninapenda shule sana
I love|school|very much
I like school very much.
Mimi ni mwanafunzi mzuri shuleni.
I|am|student|good|at school
I am a good student at school.
Walimu wangu wananipenda sana.
My teachers|me|love me|very much
My teachers like me a lot.
Pia nina marafiki wengi.
Also|I have|friends|many
Ich habe auch viele Freunde.
I also have many friends.
Rafiki yangu wa karibu ni Mariam.
My friend|my|of|close|is|Mariam
My best friend is Amy.
Huwa anapenda hesabu na sayansi.
He usually|loves|mathematics|and|science
Er mag Mathematik und Naturwissenschaften.
She likes math and science.
Mimi ninapenda Kiingereza na historia.
I|love|English|and|history
I like English and history.
Huwa tunasaidiana na kazi zetu za nyumbani.
We usually|help each other|with|work|our|of|home
We help each other with homework.
Tunasoma kwa bidii na tunafanya vizuri shuleni.
We study|with|diligence|and|we do|well|in school
Wir lernen fleißig und sind in der Schule gut.
We study hard and do well in school.
Maswali:
Questions
Questions:
1) Binti huyo huwa anakwenda shuleni kila siku.
The girl|that|usually|walks|to school|every|day
One: The daughter goes to school every day.
Je, binti huyo huwa anaenda shuleni kila siku?
question particle|girl|that|usually|goes|to school|every|day
Does the daughter go to school every day?
Ndiyo, huwa anaenda shule kila siku.
Yes|usually|he/she goes|school|every|day
Yes, she goes to school every day.
2) Binti huyo huwa anapenda shule.
The girl|that||loves|school
Two: The daughter likes school.
Je, Binti huyo huwa anapenda shule?
question particle|The girl|that|usually|loves|school
Does the daughter like school?
Ndiyo, huwa anapenda shule.
Yes|usually|he/she loves|school
Yes, she likes school.
3) Binti huyo ni mwanafunzi mzuri.
The girl|that|is|student|good
Three: The daughter is a good student.
Je, binti huyu ni mwanafunzi mbaya?
Is|girl|this|is|student|bad
Is the daughter a bad student?
Hapana, binti huyo sio mwanafunzi mbaya.
No|girl|that|is not|student|bad
No, the daughter is not a bad student.
Ni mwanafunzi mzuri.
He/She is|student|good
She is a good student.
4) Walimu wanampenda binti huyo.
The teachers|love him/her|girl|that
Four: The teachers like the daughter.
Je, walimu wanampenda binti huyo?
question particle|the teachers|love him/her|girl|that
Do the teachers like the daughter?
Ndiyo, walimu wanampenda.
Yes|the teachers|love him
Yes, the teachers like her.
5) Rafiki yake wa karibu anaitwa Mariam.
His friend|his|of|close|is called|Mariam
Five: Her best friend is named Amy.
5) Sa meilleure amie s'appelle Mariam.
Je, rafiki yake wa karibu anaitwa Anna?
question particle|friend|his/her|of|close|is called|Anna
Is her best friend named Julie?
Hapana, rafiki yake wa karibu anaitwa Mariam.
No|friend|his|of|close|is called|Mariam
No, her best friend is named Amy.
6) Mariam huwa anapenda hisabati na sayansi.
Mariam|usually||mathematics|and|science
Six: Amy likes math and science.
Je, Mariam huwa anapenda Kiingeleza na historia?
question particle|Mariam|usually|loves|English|and|history
Does Amy like English and history?
Hapana, huwa anapenda hisabati na sayansi.
No|he|likes|mathematics|and|science
No, she likes math and science.
Non, il aime toujours les mathématiques et les sciences.
7) Binti huyo na Mariam wanafanya vizuri shuleni.
The girl|that|and|Mariam|they do|well|in school
Seven: The daughter and Amy do well in school.
Je, binti huyo anafanya vizuri shuleni?
question particle|girl|that|does|well|in school
Does the daughter do well in school?
La fille réussit-elle bien à l'école ?
Ndiyo, binti huyo na Mariam wanafanya vizuri shuleni.
Yes|daughter|that|and|Mariam|they do|well|in school
Yes, the daughter and Amy do well in school.
Oui, la fille et Mariam réussissent bien à l'école.