×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

image

Who is She?, 9- Anamiliki Nyumba

Msichana alihamia nyumba lini?

Ngoja nikumbuke.

Siwezi kukumbuka.

Tafadhali jaribu kukumbuka.

Najaribu kukumbuka.

Ilikuwa kama lini?

Nahitaji kujua.

Kulingana nami ni kama alihamia katika nyumba miaka miwili iliyopita.

Una uhakika?

Ndiyo, Hata ni nyumba yake.

Anamiliki nyumba.

Nyumba ni ya msichana?

Inashangaza!

Ndiyo, Nakumbuka wakati alipohamia.

Ilikuwa Novemba.

Siku hiyo kulikuwa na theluji.

Una uhakika?

Ndiyo Ndugu yako alihamia miezi sita tu iliyopita.

Kweli?

Unajuaje wakati ndugu yangu alihamia?

Nakumbuka kwamba ilikuwa usiku wa manane na mvua ilikuwa inanyesha.

Mbona uliweza kumtambua?

Alipiga kelele nyingi.

Alikuwa na marafiki waliomsaidia kuhama.

Wote wapiga kelele nyingi.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Msichana alihamia nyumba lini? The girl|moved|house|when When did the girl move into the apartment?

Ngoja nikumbuke. Wait|let me remember Let me see.

Siwezi kukumbuka. I cannot|remember I cannot remember.

Tafadhali jaribu kukumbuka. Please|try|to remember Please try to remember.

Najaribu kukumbuka. I try|to remember I am trying to remember.

Ilikuwa kama lini? It was|like|when Roughly when was it?

Nahitaji kujua. I need|to know I need to know.

Kulingana nami ni kama alihamia katika nyumba miaka miwili iliyopita. According to|me|is|like|he moved|into|house|years|two|ago I think she moved into the apartment two years ago.

Una uhakika? Do you have|certainty Are you sure?

Ndiyo, Hata ni nyumba yake. Yes|Even|is|house|his Yes, In fact it is her apartment.

Anamiliki nyumba. The apartment belongs to her.

Nyumba ni ya msichana? The house|is|for|girl It is the girl's apartment?

Inashangaza! it is surprising What a surprise!

Ndiyo, Nakumbuka wakati alipohamia. Yes|I remember|when|he moved in Yes, I remember when she moved in.

Ilikuwa Novemba. It was|November It was November.

Siku hiyo kulikuwa na theluji. Day|that|there was|and|snow It was snowing that day.

Una uhakika? Do you have|certainty Are you sure?

Ndiyo Ndugu yako alihamia miezi sita tu iliyopita. Yes|Brother|your|moved|months|six|only|ago Yes, Your brother just moved in six months ago.

Kweli? Really Really?

Unajuaje wakati ndugu yangu alihamia? How do you know|when|brother|my|moved How do you know when my brother moved in?

Nakumbuka kwamba ilikuwa usiku wa manane na mvua ilikuwa inanyesha. I remember|that|it was|night|of|midnight|and|rain|it was|raining I remember that it was late at night and it was raining.

Mbona uliweza kumtambua? Why|you were able to|to recognize him Why did you notice him?

Alipiga kelele nyingi. He/She shouted|noise| He made a lot of noise.

Alikuwa na marafiki waliomsaidia kuhama. He was|with|friends|who helped him|to move He had friends who helped him move.

Wote wapiga kelele nyingi. Everyone|makes|noise| They all made a lot of noise.