×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.

image

Habari za UN, Jifunze Kiswahili: "Mama ni Mama Hata Kama ni Rikwama" | | Habari za UN

Jifunze Kiswahili: "Mama ni Mama Hata Kama ni Rikwama" | | Habari za UN

Na sasa kama nilivyokuahidi, ni wasaa wa kujifunza Kiswahili na leo hii nampisha Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) nchini Tanzania. Si mwingine bali ni Dkt. Mwanahija Ally Juma akituchambulia methali: Mama ni Mama Hata Kama ni Rikwama!

Mama ni mama hata kama ni rikwama. Mama ni mzazi mwanamke ambaye mara nyingi anachukua nafasi kubwa katika kumleta au kumzaa mtoto. Na anachukua nafasi kubwa katika kumhudumia mtoto tokea yuko tumboni hadi anazaliwa, hadi kukua kwake.

Na rikwama ni kifaa ambacho kinatumika kubebea mizigo. Kwa hiyo, hata kama mama anafanya kazi nyingi, ana nafasi kubwa katika malezi, ana shughuli nyingi za kumhudumikia mtoto, anabeba mazuri na mabaya, shida na dhiki, lakini bado atakuwa ni mama, na ana umuhimu sana katika familia na katika jamii. Kwa hiyo, mama ni mama hata kama ni rikwama.

Hata kama mama analazimika kufanya pilka nyingi, kubeba machungu, kubeba maovu, kubeba furaha, kubeba dhiki, kubeba shida, lakini bado ni mama na anastahili kutunzwa. Anastahili kupewa heshima. Kufikiriwa kwa mujibu wa uzito wake. Kwa kuwa ni rikwama anachukuliwa kama ni kitu ambacho kimetelekezwa kubeba vitu vizuri, vitu vichafu mbalimbali. Kazi yake ni kuzibeba tu lakini thamani yake ni ndogo. Ikimaliza kubeba inawekwa pembeni. Kwa hiyo mama ni mama. Bado anayo nafasi ya kuthaminiwa, ya kusaidiwa. Anayo nafasi ya kupewa umuhimu na uzito unaofaa hata kama ana shida nyingi ambazo zinamsibu na anajitwika na mazonge mengi kutokea uzazi, malezi, shida, matatizo, dhiki za watoto, na dhiki zake yeye bado zinamkabidhi. Lakini bado ni mama na anastahili heshima yote.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Jifunze Kiswahili: "Mama ni Mama Hata Kama ni Rikwama" | | Habari za UN Lerne Swahili|||||Auch wenn|auch wenn||Einkaufstasche||| Learn||||||||||| ||||||||Rikwama||| Kiswahili lernen: „Eine Mutter ist eine Mutter, auch wenn sie eine Rikwama ist“ | | UN-Nachrichten Learn Kiswahili: "A mother is a mother even if she is a Rikwama" | | UN news Aprende kiswahili: "Una madre es una madre aunque sea una Rikwama" | | noticias de la ONU Apprendre le Kiswahili : « Une mère est une mère même si elle est Rikwama » | | Actualités de l'ONU スワヒリ語を学ぶ: 「たとえリクワマであっても、母親は母親です」 | |国連ニュース Aprenda Kiswahili: "Uma mãe é uma mãe mesmo que seja uma Rikwama" | | notícias da ONU

Na sasa kama nilivyokuahidi, ni wasaa wa kujifunza Kiswahili na leo hii nampisha Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) nchini Tanzania. |||wie ich versprach||Zeit|||||||übergebe ich an||||||||||| |||as I promised||möjlighet|||||||ger tillträde||exekutiv||||||Zanzibar|Kiswahilirådet Zanzibar|| Wie versprochen ist es jetzt an der Zeit, Suaheli zu lernen, und heute möchte ich Platz für den Exekutivsekretär des Swahili-Rates von Sansibar (BAKIZA) in Tansania machen. And now, as I promised you, it is time to learn Kiswahili and today I appoint the Executive Secretary of the Kiswahili Council of Zanzibar (BAKIZA) in Tanzania. Si mwingine bali ni Dkt. |kein anderer|sondern|| Es ist niemand anders als Dr. None other than Dr. Mwanahija Ally Juma akituchambulia methali: Mama ni Mama Hata Kama ni Rikwama! |||uns erklärt|Sprichwort||||||| |||analyzing for us||||||||Rikwama barn|Allie||analyzing|ordspråk||||||| Mwanahija Ally Juma analysiert das Sprichwort: Eine Mutter ist eine Mutter, selbst wenn sie hinkt! Pilgrim Ally Juma analyzing a proverb for us: A mother is a mother even if she is Rikwama!

Mama ni mama hata kama ni rikwama. A mother is a mother even if she is a mother. Mama ni mzazi mwanamke ambaye mara nyingi anachukua nafasi kubwa katika kumleta au kumzaa mtoto. ||Elternteil|Frau||||übernimmt|Rolle|||aufziehen||zur Welt bringen| ||mor förälder|||||||||att föda||att föda| Eine Mutter ist eine Frau, die oft eine große Rolle dabei spielt, ein Kind zu erziehen oder zu gebären. A mother is a female parent who often takes a big role in bringing or giving birth to a child. Na anachukua nafasi kubwa katika kumhudumia mtoto tokea yuko tumboni hadi anazaliwa, hadi kukua kwake. |||||betreuen|||im Bauch ist|im Mutterleib|bis|geboren wird|bis zu|aufwachsen| |||||serving the child||||||is born||| |||||ta hand om||från det att||i magen||födelse||växa upp| Sie spielt eine große Rolle bei der Betreuung des Kindes vom Mutterleib bis zur Geburt und darüber hinaus beim Aufwachsen. And he takes a big role in caring for the child from the time he is in the womb until he is born, until he grows up.

Na rikwama ni kifaa ambacho kinatumika kubebea mizigo. |Rucksack||Gerät||verwendet wird|tragen| ||||||carry| |||||används för|bära med sig| Und ein Rucksack ist ein Gerät, das zum Tragen von Lasten verwendet wird. And a cart is a device that is used to carry goods. Kwa hiyo, hata kama mama anafanya kazi nyingi, ana nafasi kubwa katika malezi, ana shughuli nyingi za kumhudumikia mtoto, anabeba mazuri na mabaya, shida na dhiki, lakini bado atakuwa ni mama, na ana umuhimu sana katika familia na katika jamii. |daher|sogar|||||viele||große Rolle|||Erziehung||Aktivitäten|||zu versorgen||trägt mit sich|||schlechte Dinge|Probleme||Not.||immer noch||||||||||||Gemeinschaft |||||||||||||||||to serve him/her||||||||||||||||importance|||||| ||||||||||||uppfostran|||||att tjäna||bär|||dåliga|||nöd, svårigheter|||||||||||||| Daher, auch wenn eine Mutter viel arbeitet, hat sie einen großen Platz in der Erziehung, sie hat viele Aufgaben, um das Kind zu versorgen, sie trägt Gutes und Schlechtes, Leid und Not, aber sie wird immer noch eine Mutter sein und hat eine große Bedeutung in der Familie und in der Gemeinschaft. Therefore, even if a mother works a lot, has a big role in upbringing, has many activities to serve the child, carries the good and the bad, problems and stress, but she will still be a mother, and she is very important in the family and in the society. Kwa hiyo, mama ni mama hata kama ni rikwama. ||||||||alte Frau Also ist eine Mutter eine Mutter, auch wenn sie kämpft. Therefore, a mother is a mother even if she is a mother.

Hata kama mama analazimika kufanya pilka nyingi, kubeba machungu, kubeba maovu, kubeba furaha, kubeba dhiki, kubeba shida, lakini bado ni mama na anastahili kutunzwa. |||||Hektik||tragen|Schmerzen||Übel||Freude||Notlagen||Probleme||||||verdient es|gepflegt werden |||is forced to|||||sorrows||||||||||||||deserves| |||måste||många uppgifter|||||ont saker||||||||||||förtjänar|vårdas Auch wenn eine Mutter gezwungen ist, viele Lasten zu tragen, Schmerzen zu ertragen, Böses zu ertragen, Freude zu tragen, Not zu ertragen, Probleme zu ertragen, aber sie bleibt immer noch eine Mutter und verdient es, gepflegt zu werden. Even if a mother has to do a lot of pilka, bear pains, bear evils, bear happiness, bear stress, bear problems, but she is still a mother and deserves to be taken care of. Anastahili kupewa heshima. ||Ehre |att ges| He deserves respect. Kufikiriwa kwa mujibu wa uzito wake. Nach seinem Gewicht||gemäß||Gewicht| is considered||||| att tänka på||enligt||| Nach seinem Gewicht beurteilt werden. Considered according to its weight. Kwa kuwa ni rikwama anachukuliwa kama ni kitu ambacho kimetelekezwa kubeba vitu vizuri, vitu vichafu mbalimbali. Kazi yake ni kuzibeba tu lakini thamani yake ni ndogo. Weil||||||||||||gute Dinge||schmutzige Dinge|verschiedene|||||||||| ||||is considered|||||abandoned item||||||||||to carry them|||||| ||||anses|||||||||||||||att bära|||||| Da es schwer ist, wird es als etwas betrachtet, das nur dazu dient, schwere und schmutzige Dinge zu tragen. Sein einziger Zweck ist es, Lasten zu tragen, aber sein Wert ist gering. Since it is a cart, it is treated as something that has been abandoned to carry good things, various dirty things. His job is just to carry them but his value is small. Ikimaliza kubeba inawekwa pembeni. |||zur Seite |||aside ||det placeras|vid sidan av Sobald es mit dem Tragen fertig ist, wird es beiseite gelegt. When finished carrying it is put aside. Kwa hiyo mama ni mama. Deshalb ist eine Mutter eine Mutter. So a mother is a mother. Bado anayo nafasi ya kuthaminiwa, ya kusaidiwa. |hat noch|Chance||wertgeschätzt zu werden|| ||||be valued|| |fortfarande har hon|||att uppskattas||att få hjälp Sie hat immer noch einen Platz, um geschätzt und unterstützt zu werden. He still has a chance to be appreciated, to be helped. Anayo nafasi ya kupewa umuhimu na uzito unaofaa hata kama ana shida nyingi ambazo zinamsibu na anajitwika na mazonge mengi kutokea uzazi, malezi, shida, matatizo, dhiki za watoto, na dhiki zake yeye bado zinamkabidhi. ||||||Bedeutung|angemessenes Gewicht|||||||ihn plagen||trägt auf sich||Belastungen|||Mutterschaft|Erziehung|Probleme|Probleme|||||||||übergeben ihm/ihr ||||||||||||||||||burdens|||||||||||||||entrust to him |||||||som är lämplig|||||||som drabbar honom||belastar||tyngder|||föräldraskap||||||||||||överlämna till honom Sie verdient es, Wertschätzung und angemessenes Gewicht zu erhalten, auch wenn sie mit vielen Problemen zu kämpfen hat, die sie aus Schwangerschaft, Erziehung, Schwierigkeiten, Problemen, den Belastungen der Kinder und ihren eigenen Belastungen ihrer Verantwortung übertragen hat. He has the opportunity to be given importance and appropriate weight even if he has many problems that are affecting him and he is burdened with many conversations arising from parenting, upbringing, problems, problems, children's distress, and his own distress is still entrusted to him. Lakini bado ni mama na anastahili heshima yote. Aber sie ist immer noch eine Mutter und verdient den ganzen Respekt. But she is still a mother and deserves all the respect.