×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.


image

Habari za UN, Ukatili wa kingono katika mizozo ni jinamizi lililokita mizizi katika pengo la usawa: UN | | Habari za UN

Ukatili wa kingono katika mizozo ni jinamizi lililokita mizizi katika pengo la usawa: UN | | Habari za UN

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili wa kingono katika mizozo ya vita Umoja wa Mataifa umesenma jinamizi hilo ni janga lililokita mizizi katika kukosekana kwa usawa na kanuni na tamaduni kali za masuala ya kijinsia. Tupate maelezo Zaidi kutoka kwa Flora Nducha

(TAARIFA YA FLORA NDICHA)

Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa leo mjini Brussells na New York na mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukatili wa kingono katika mizozo Pramila Patten na mwakilishi wa Muungano wa Ulaya kwa ajili ya mambo yan je na sera za usalama Josep Borrell wametoa wito wa hatua madhubuti zaidi za kuzuia na kukomesha unyanyasaji wa kingono, na kuendeleza usawa wa kijinsia kama kipaumbele cha kisiasa.

Wamesema “Tunasikitishwa na kuongezeka kwa matumizi ya unyanyasaji wa kingono kama mbinu ya kikatili ya vita, mateso, ugaidi na ukandamizaji wa kisiasa, na tishio kwa usalama wa pamoja. Hatari ya kuwa mlengwa wa unyanyasaji wa kingono leo inazidishwa na ukweli kwamba uhalifu huu unaweza pia kuwezeshwa na kukuzwa mtandaoni, kwa kutumia chaneli za kidijitali.”

Badala ya kutumika vibaya wamekumbusha kuwa “Wakati huo huo, majukwaa ya kidijitali yanaweza kuwa na jukumu muhimu na kuwa chombo chenye nguvu cha kuboresha usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake na wasichana, na kuchangia katika kujenga uwezo wao wa kustahimili nyakati za shida.

Wanaweza pia kusaidia katika kuzuia unyanyasaji wa kingono na kijinsia, na hatua zinazohitajika, kupitia tahadhari za mapema na kuunganisha waathiriwa na njia za kuwatambulisha kwenye huduma, na kuwezesha kuripoti..”

Viongozi hao wameonya kwamba badala ya kuwa msaada kwa waathirika leo hii “Mitandao hiyo inatumika vibaya kusambala kauli za chuki na kuchochea ukatili wa kijinsia na ubaguzi, kwani kauli za chuki za kijinsia zinaendelea kuongezeka kutumika kuwanyamazisha watetezi wa haki za binadamu, na wanaharakati wa kisiasa kwa kuchagiza utekelezaji wa ukatili wa kingono. Katika mazingira yaliyoathiriwa na migogoro, majukwaa ya kidijitali yanatumiwa kusafirisha kiharamu wanawake na wasichana kwa madhumuni ya unyanyasaji wa kingono. Walanguzi wa ngono wanatumia mtandao kama zana ya kuajiri wanawake na haswa Watoto na kutangaza huduma za kinyonyaji.”

Wameongeza kuwa na katika mazingira mabaya zaidi wanawake na wasichana wanauzwa mtandaoni kama ilivypoainishwa kwenye maenmeo yanayodhibitiwa na kundi la kigaidi la ISIL

Zaidi ya hayo wamesema “ upotoshaji wa habari kwa makusudi na udhibiti kupitia kampeni za kutoa taarifa potofu unaathiri uwezo wa mataifa kulinda raia na kushughulikia unyanyasaji wa kingono. Matumizi ya intaneti kama silaha katika maeneo yenye migogoro pia huzuia waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono unaohusiana na migogoro kupata taarifa kuhusu huduma za kuokoa maisha na kupata usaidizi wa mtandaoni kama vile usaidizi wa kisaikolojia.”

Kwa mantiki hiyo wametoa wito wa kuwa na “Majukwaa salama ya kidijitali yanayotii sheria za kimataifa, ili waathirika wa unyanyasaji wa kingono unaohusiana na migogoro na wale wanaowaunga mkono watumie mifumo hii kupambana na ukwepaji wa sheria na kudai uwajibikaji ulioboreshwa. Ni muhimu kukuza mazingira ya ulinzi mtandaoni na nje ya mtandao, ambayo yanazuia unyanyasaji wa kijinsia na vile vile kuwezesha kuripoti kwa usalama na makuchukuliwa hatua zinazofaa.”

Pia wameitaka Jumuiya ipambane kwa Pamoja dhidi ya tishio linaloongezeka kila mara linaloletwa na teknolojia ya kidijitali na kuziba pengo la mgawanyiko wa kidijitali wa kijinsia ili kuruhusu waathiriwa kupata rasilimali na kupambana na ukwepaji wa sheria kwa kuzingatia kujenga usawa wa kijinsia kwa kuzuia na kupambana na unyanyasaji wa kingono katika migogoro.

Wamehitimisha ujumbe wao kwa kusema kuwa “Kwa kushughulikia mgawanyiko wa kidijitali wa kijinsia, tunaweza kuunda ulimwengu ambapo wanawake na watoto wanaweza kuishi bila woga na vurugu.”

Siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili wa kingono katika mizozo huadhimishwa kila mwaka Juni 19 na mwaka huu imejikita katika kuhakikisha teknolojia inaunga mkono juhudi za kuzuia na kukomesha uhalifu huu, ikiwa ni pamoja na kuongeza fursa za ufikiaji huduma za intaneti na kuwawajibisha watu kwa matendo yao mtandaoni."

Ukatili wa kingono katika mizozo ni jinamizi lililokita mizizi katika pengo la usawa: UN | | Habari za UN Sexual violence in conflicts is a nightmare rooted in the equality gap: UN | | UN news La violence sexuelle dans les conflits est un cauchemar enraciné dans l'écart d'égalité : ONU | | Actualités de l'ONU Violência sexual em conflitos é um pesadelo enraizado na lacuna de igualdade: ONU | | notícias da ONU Sexuellt våld i konflikter är en mardröm med rötter i jämställdhetsklyftan: FN | | FN-nyheter

Ikiwa leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili wa kingono katika mizozo ya vita Umoja wa Mataifa umesenma jinamizi hilo ni janga lililokita mizizi katika kukosekana kwa usawa na kanuni na tamaduni kali za masuala ya kijinsia. Si aujourd’hui est la journée internationale pour l’éradication de la violence sexuelle dans les conflits de guerre, les Nations Unies ont déclaré que ce cauchemar est une tragédie enracinée dans les inégalités et dans des normes et cultures fortes en matière de genre. Tupate maelezo Zaidi kutoka kwa Flora Nducha Get more information from Flora Nducha Obtenez plus d’informations auprès de Flora Nducha

(TAARIFA YA FLORA NDICHA) (FLORA NDICHA STATEMENT)

Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa leo mjini Brussells na New York na mwakilishi wa pamoja wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukatili wa kingono katika mizozo Pramila Patten na mwakilishi wa Muungano wa Ulaya kwa ajili ya mambo yan je na sera za usalama Josep Borrell wametoa wito wa hatua madhubuti zaidi za kuzuia na kukomesha unyanyasaji wa kingono, na kuendeleza usawa wa kijinsia kama kipaumbele cha kisiasa. |||||||||||||||||||||||||||||||||||||étrangères et||||||||||||||||||||||||||||| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||strong measures||||||||||||||||| Dans une déclaration conjointe publiée aujourd'hui à Bruxelles et à New York par la représentante spéciale des Nations unies sur la violence sexuelle en temps de conflit, Pramila Patten, et le représentant de l'Union européenne pour les affaires étrangères et la politique de sécurité, Josep Borrell, ont appelé à des mesures plus fermes pour prévenir et mettre fin aux abus sexuels, et à promouvoir l'égalité des sexes comme une priorité politique.

Wamesema “Tunasikitishwa na kuongezeka kwa matumizi ya unyanyasaji wa kingono kama mbinu ya kikatili ya vita, mateso, ugaidi na ukandamizaji wa kisiasa, na tishio kwa usalama wa pamoja. Ils ont déclaré : "Nous sommes préoccupés par l'augmentation de l'utilisation des abus sexuels en tant que méthode cruelle de guerre, de torture, de terrorisme et de répression politique, et comme une menace pour la sécurité collective. Hatari ya kuwa mlengwa wa unyanyasaji wa kingono leo inazidishwa na ukweli kwamba uhalifu huu unaweza pia kuwezeshwa na kukuzwa mtandaoni, kwa kutumia chaneli za kidijitali.” Le risque d'être victime d'abus sexuels est aujourd'hui exacerbé par le fait que ce crime peut également être facilité et promu en ligne, en utilisant des canaux numériques."

Badala ya kutumika vibaya wamekumbusha kuwa “Wakati huo huo, majukwaa ya kidijitali yanaweza kuwa na jukumu muhimu na kuwa chombo chenye nguvu cha kuboresha usawa wa kijinsia na kuwawezesha wanawake na wasichana, na kuchangia katika kujenga uwezo wao wa kustahimili nyakati za shida. Au lieu d'être mal utilisés, ils ont rappelé que "En même temps, les plateformes numériques peuvent jouer un rôle important et être un outil puissant pour améliorer l'égalité des sexes et autonomiser les femmes et les filles, tout en contribuant à renforcer leur capacité à résister aux crises."

Wanaweza pia kusaidia katika kuzuia unyanyasaji wa kingono na kijinsia, na hatua zinazohitajika, kupitia tahadhari za mapema na kuunganisha waathiriwa na njia za kuwatambulisha kwenye huduma, na kuwezesha kuripoti..” |||||abuse||||||||||||||||||||||| Ils peuvent également aider à prévenir les abus sexuels et de genre, ainsi que les mesures nécessaires, par le biais de précautions préventives et en reliant les victimes à des moyens de les orienter vers des services, tout en facilitant le signalement."

Viongozi hao wameonya kwamba badala ya kuwa msaada kwa waathirika leo hii “Mitandao hiyo inatumika vibaya kusambala kauli za chuki na kuchochea ukatili wa kijinsia na ubaguzi, kwani kauli za chuki za kijinsia zinaendelea kuongezeka kutumika kuwanyamazisha watetezi wa haki za binadamu, na wanaharakati wa kisiasa kwa kuchagiza utekelezaji wa ukatili wa kingono. ||||||||||||||is misused|||||||||||||||||||||||||||||||||||||| Ces dirigeants ont averti qu'au lieu de soutenir les victimes aujourd'hui, "Ces réseaux sont mal utilisés pour propager des discours de haine et inciter à la violence de genre et à la discrimination, alors que les discours de haine sexistes continuent d'être utilisés pour faire taire les défenseurs des droits de l'homme et les militants politiques en promouvant l'exécution de violences sexuelles." Katika mazingira yaliyoathiriwa na migogoro, majukwaa ya kidijitali yanatumiwa kusafirisha kiharamu wanawake na wasichana kwa madhumuni ya unyanyasaji wa kingono. Dans des environnements affectés par des conflits, les plateformes numériques sont utilisées pour traffiquer illégalement des femmes et des filles à des fins d'exploitation sexuelle. Walanguzi wa ngono wanatumia mtandao kama zana ya kuajiri wanawake na haswa Watoto na kutangaza huduma za kinyonyaji.” Les proxénètes utilisent Internet comme un outil pour recruter des femmes et surtout des enfants et pour promouvoir des services d'exploitation.

Wameongeza kuwa na katika mazingira mabaya zaidi wanawake na wasichana wanauzwa mtandaoni kama ilivypoainishwa kwenye maenmeo yanayodhibitiwa na kundi la kigaidi la ISIL Ils ont ajouté que dans des environnements encore plus mauvais, les femmes et les filles sont vendues en ligne comme indiqué dans les zones contrôlées par le groupe terroriste ISIL.

Zaidi ya hayo wamesema “ upotoshaji wa habari kwa makusudi na udhibiti kupitia kampeni za kutoa taarifa potofu unaathiri uwezo wa mataifa kulinda raia na kushughulikia unyanyasaji wa kingono. Matumizi ya intaneti kama silaha katika maeneo yenye migogoro pia huzuia waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono unaohusiana na migogoro kupata taarifa kuhusu huduma za kuokoa maisha na kupata usaidizi wa mtandaoni kama vile usaidizi wa kisaikolojia.” L'utilisation d'Internet comme arme dans les zones de conflit empêche également les victimes de violence sexuelle liée aux conflits d'accéder à des informations sur les services de sauvetage et de recevoir une aide en ligne, comme un soutien psychologique.

Kwa mantiki hiyo wametoa wito wa kuwa na “Majukwaa salama ya kidijitali yanayotii sheria za kimataifa, ili waathirika wa unyanyasaji wa kingono unaohusiana na migogoro na wale wanaowaunga mkono watumie mifumo hii kupambana na ukwepaji wa sheria na kudai uwajibikaji ulioboreshwa. Dans cette logique, ils ont appelé à la création de « plateformes numériques sécurisées respectant le droit international, afin que les victimes de violence sexuelle liée aux conflits et ceux qui les soutiennent puissent utiliser ces systèmes pour lutter contre l'impunité et exiger une responsabilité améliorée. Ni muhimu kukuza mazingira ya ulinzi mtandaoni na nje ya mtandao, ambayo yanazuia unyanyasaji wa kijinsia na vile vile kuwezesha kuripoti kwa usalama na makuchukuliwa hatua zinazofaa.” Il est essentiel de promouvoir un environnement de protection en ligne et hors ligne, qui empêche les violences sexistes et facilite également un signalement en toute sécurité et la prise de mesures appropriées.

Pia wameitaka Jumuiya ipambane kwa Pamoja dhidi ya tishio linaloongezeka kila mara linaloletwa na teknolojia ya kidijitali na kuziba pengo la mgawanyiko wa kidijitali wa kijinsia ili kuruhusu waathiriwa kupata rasilimali na kupambana na ukwepaji wa sheria kwa kuzingatia kujenga usawa wa kijinsia kwa kuzuia na kupambana na unyanyasaji wa kingono katika migogoro. Ils ont également appelé la communauté à lutter ensemble contre la menace de plus en plus croissante posée par la technologie numérique et à combler le fossé du partage numérique de genre afin de permettre aux victimes d'accéder à des ressources et de lutter contre l'évasion des lois en veillant à établir l'égalité des sexes en prévenant et en combattant les violences sexuelles dans les conflits.

Wamehitimisha ujumbe wao kwa kusema kuwa “Kwa kushughulikia mgawanyiko wa kidijitali wa kijinsia, tunaweza kuunda ulimwengu ambapo wanawake na watoto wanaweza kuishi bila woga na vurugu.” ||||||||||||||||où||||nous pouvons||||| ||||||||||digital||||||||||||||| Ils ont conclu leur message en disant : « En s'attaquant au fossé numérique de genre, nous pouvons créer un monde où les femmes et les enfants peuvent vivre sans crainte ni violence. »

Siku ya kimataifa ya kutokomeza ukatili wa kingono katika mizozo huadhimishwa kila mwaka Juni 19 na mwaka huu imejikita katika kuhakikisha teknolojia inaunga mkono juhudi za kuzuia na kukomesha uhalifu huu, ikiwa ni pamoja na kuongeza fursa za ufikiaji huduma za intaneti na kuwawajibisha watu kwa matendo yao mtandaoni." |||||||||||||||||s'est concentrée||||soutient|||||||||||||||||||||tenir responsables|||actions|| La Journée internationale pour l'élimination de la violence sexuelle en conflit est célébrée chaque année le 19 juin et cette année, elle se concentre sur la garantie que la technologie soutient les efforts pour prévenir et mettre fin à ce crime, y compris en augmentant l'accès aux services Internet et en tenant les gens responsables de leurs actions en ligne.