×

我們使用cookies幫助改善LingQ。通過流覽本網站,表示你同意我們的 cookie 政策.


image

Habari za UN, WHO: Nchi ziache kutoa ruzuku kwa wakulima wa tumbaku | | Habari za UN

WHO: Nchi ziache kutoa ruzuku kwa wakulima wa tumbaku | | Habari za UN

Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO limezisihi nchi kuacha kutoa ruzuku kwa wakulima wa tumbaku na badala yake kuelekeza usaidizi wao kwenye mazao endelevu yatakayo wanufaisha mamilioni ya watu. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Leah Mushi.

Katika kuelekea siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani itakayoadhimishwa Mei 31 WHO inasema , watu milioni 300 ulimwenguni wanakabiliwa na uhaba wa chakula wakati huo huo zaidi ya hekta milioni 3 katika nchi 120 zinatumika kulima tumbaku, hata katika zile nchi zenye tatizo la njaa.

WHO katika taarifa yao kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo huko Geneva Uswisi imeeleza kuwa kwa kuchagua kulima mazao ya chakula badala ya tumbaku inamaanisha jamii inatoa kipaumbele kwenye afya, kulinda baianowai na kuimarisha uhakika wa chakula.

Akizungumzia athari za tumbaku, Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema “tumbaku imesababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 8 kwa mwaka, na bado serikali duniani kote zinatumia mamilioni ya kuwasaidia wakulima wa zao hilo.”

Ripoti mpya iliyotolewa na WHO kuelekea siku ya kupinga matumizi ya tumbaku iitwayo “Lima chakula sio tumbaku” imeeleza madhara ya kulima tumbaku na faida ambazo wakulima, jamii, uchumi, mazingira na dunia kwa ujumla itapata iwapo itahamia kwenye ukulima wa mazao mengine.

Ripoti hiyo pia inafichua tasnia ya tumbaku kuwa inawaingiza wakulima katika changamoto mbalimbali ikiwemo mzunguko mbaya wa madeni, wakulima kupata magonjwa na watoto zaidi ya milioni 1 wametumbukia kwenye kilimo hicho na kukosa fursa ya kupata elimu.

Katika kuhakikisha wakulima wanasaidiwa kuhamia kwenye kilimo cha mazao ya chakula WHO kwa kushirikiana na mashirika mengine ya UN lile la Mpango wa chakula duniani WFP na la chakula na kilimo FAO wanawasaidia wakulima 5000 nchini Kenya na Zambia kulima mazoa ya chakula endelevu badala ya tumbaku.

Katika juhudi hizo WHO kila mwaka katika siku ya Kutotumia tumbaku huwaenzi wale wanaoleta mabadiliko chanya katika udhibiti wa tumbaku na mwaka huu mmoja wa washindi wa Tuzo hizo, Bi. Sprina Robi Chacha, mkulima wa kike kutoka nchini Kenya ambaye anatambulika si tu kwa kuachana na kilimo cha tumbaku kuhamia kwenye maharagwe yenye protini nyingi, bali pia kutoa mafunzo kwa mamia ya wakulima wengine ili na wao waweze kutoka kwenye kilimo cha tumbaku na kujenga jamii yenye afya bora.

WHO: Nchi ziache kutoa ruzuku kwa wakulima wa tumbaku | | Habari za UN World Health Organization|countries|stop providing|provide|subsidies|"to"|farmers||tobacco farmers||| WER: Länder sollten aufhören, Tabakbauern zu subventionieren | UN-Nachrichten WHO: Countries should stop subsidizing tobacco farmers | UN news OMS: Los países deberían dejar de subsidiar a los productores de tabaco | noticias de la ONU OMS : Les pays devraient cesser de subventionner les producteurs de tabac | Actualités de l'ONU Oms: i paesi dovrebbero smettere di sovvenzionare i coltivatori di tabacco | Novità dell'ONU WHO:各国はタバコ農家への補助金をやめるべきだ|国連ニュース WHO: Kraje powinny zaprzestać dotowania rolników uprawiających tytoń | Wiadomości ONZ OMS: os países devem parar de subsidiar os produtores de tabaco | notícias da ONU DSÖ: Ülkeler tütün çiftçilerine verilen sübvansiyonu durdurmalı | BM haberleri

Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya ulimwenguni WHO limezisihi nchi kuacha kutoa ruzuku kwa wakulima wa tumbaku na badala yake kuelekeza usaidizi wao kwenye mazao endelevu yatakayo wanufaisha mamilioni ya watu. Organization|of the|Unity||Nations||Health|worldwide||has urged|countries|stop giving|provide|subsidies|"to"|farmers||tobacco farming||"instead" or "rather"||direct|their support|their assistance||crops|sustainable crops|that will|benefit|millions of people|| The World Health Organization (WHO) has urged countries to stop subsidizing tobacco farmers and instead direct their assistance to sustainable crops that will benefit millions of people. Tupate taarifa zaidi kutoka kwa Leah Mushi. Let's get|information|more information|from|from|Leah|Mushi Get more information from Leah Mushi.

Katika kuelekea siku ya kupinga matumizi ya tumbaku duniani itakayoadhimishwa Mei 31 WHO inasema , watu milioni 300 ulimwenguni wanakabiliwa na uhaba wa chakula wakati huo huo zaidi ya hekta milioni 3 katika nchi 120 zinatumika kulima tumbaku, hata katika zile nchi zenye tatizo la njaa. "In"|towards|day||oppose|use of||tobacco|in the world|"that will be celebrated"|May||||million|in the world|are facing||shortage||||"at the same time"|to|||hectares||||are used|cultivate|tobacco cultivation|even in||those|country|with the|problem of hunger|| As we approach World No Tobacco Day, which will be celebrated on May 31, WHO says that 300 million people worldwide face food shortages, while more than 3 million hectares in 120 countries are used to cultivate tobacco, even in countries facing hunger issues.

WHO katika taarifa yao kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo huko Geneva Uswisi imeeleza kuwa kwa kuchagua kulima mazao ya chakula badala ya tumbaku inamaanisha jamii inatoa kipaumbele kwenye afya, kulinda baianowai na kuimarisha uhakika wa chakula. ||statement|their||media outlets|||"released"||"there in"|Geneva, Switzerland|Switzerland|"has stated"|||choosing|to cultivate|food crops|||"instead of"|||means that|community|"gives" or "provides"|priority||health|protecting|environmental sustainability||strengthening|food security|| The WHO in their press statement released today in Geneva, Switzerland has stated that by choosing to grow food crops instead of tobacco, it means that the community is prioritizing health, protecting biodiversity, and enhancing food security.

Akizungumzia athari za tumbaku, Mkurugenzi Mkuu wa WHO Dkt Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema “tumbaku imesababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 8 kwa mwaka, na bado serikali duniani kote zinatumia mamilioni ya kuwasaidia wakulima wa zao hilo.” Speaking about|effects||tobacco|Director General|Director|||Dr.|Dr. Tedros|Adhanom Ghebreyesus|Ghebreyesus|has said||has caused|deaths|||||||per year||still|government||around the world|are using|millions of dollars||to help them|||crop|that crop Addressing the impact of tobacco, WHO Director-General Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus stated, “tobacco has caused the deaths of over 8 million people per year, yet governments worldwide continue to spend millions to support farmers of this crop.”

Ripoti mpya iliyotolewa na WHO kuelekea siku ya kupinga matumizi ya tumbaku iitwayo “Lima chakula sio tumbaku” imeeleza madhara ya kulima tumbaku na faida ambazo wakulima, jamii, uchumi, mazingira na dunia kwa ujumla itapata iwapo itahamia kwenye ukulima wa mazao mengine. Report||"released by"|||towards|||oppose|use of|||called|Grow||||has explained|harmful effects||to cultivate|||benefits|"which" or "that"|farmers|community|economy|environment||the world||overall|will gain|if it shifts|will shift to||farming||crops|other A new report released by WHO leading up to World No Tobacco Day titled “Grow Food Not Tobacco” outlines the harms of growing tobacco and the benefits that farmers, communities, the economy, the environment, and the world as a whole would gain if they transitioned to growing other crops.

Ripoti hiyo pia inafichua tasnia ya tumbaku kuwa inawaingiza wakulima katika changamoto mbalimbali ikiwemo mzunguko mbaya wa madeni, wakulima kupata magonjwa na watoto zaidi ya milioni 1 wametumbukia kwenye kilimo hicho na kukosa fursa ya kupata elimu. The report|||"reveals"|industry||tobacco||"entangles" or "involves"|the farmers||challenges|various challenges|including|cycle|bad||debts||to obtain|diseases||children|more than|||have fallen into|into|that farming|that||miss out on|opportunity to access|||education The report also reveals that the tobacco industry leads farmers into various challenges including a vicious cycle of debt, farmers contracting diseases, and over one million children plunging into farming and missing out on education.

Katika kuhakikisha wakulima wanasaidiwa kuhamia kwenye kilimo cha mazao ya chakula WHO kwa kushirikiana na mashirika mengine ya UN lile la Mpango wa chakula duniani WFP na la chakula na kilimo FAO wanawasaidia wakulima 5000 nchini Kenya na Zambia kulima mazoa ya chakula endelevu badala ya tumbaku. |ensuring||are being helped|to transition||agriculture||food crops|||||in collaboration with||organizations||||that of||Plan|||in the world|World Food Programme||the|||agriculture|Food and Agriculture|they help|||||and Zambia||food crops|||sustainable food crops|instead of||tobacco In ensuring that farmers are assisted to transition to food crop farming, WHO in collaboration with other UN agencies such as World Food Program (WFP) and Food and Agriculture Organization (FAO) are helping 5000 farmers in Kenya and Zambia to cultivate sustainable food crops instead of tobacco.

Katika juhudi hizo WHO kila mwaka katika siku ya Kutotumia tumbaku huwaenzi wale wanaoleta mabadiliko chanya katika udhibiti wa tumbaku na mwaka huu mmoja wa washindi wa Tuzo hizo, Bi. |efforts|those efforts|||||||No Tobacco Use||honor|"those who"|bring about|positive changes|positive changes||control of tobacco||||||one of||the winners||Award|those|Ms. In these efforts, WHO every year on World No Tobacco Day honors those who bring positive changes in tobacco control and this year one of the winners of the Awards, Ms. Sprina Robi Chacha, mkulima wa kike kutoka nchini Kenya ambaye anatambulika si tu kwa kuachana na kilimo cha tumbaku kuhamia kwenye maharagwe yenye protini nyingi, bali pia kutoa mafunzo kwa mamia ya wakulima wengine ili na wao waweze kutoka kwenye kilimo cha tumbaku na kujenga jamii yenye afya bora. Sprina Robi Chacha|Robi|"Chacha" in this context translates to "Chacha."|female farmer||female farmer|from|||who is recognized|is recognized|not only|"not only"||abandoning||farming|||move to||beans with high protein|with|high in protein|many|but also||provide training to|training||hundreds of farmers|||other farmers||||"they can"|||||||build|community|with|health community|better health Sprina Robi Chacha, a female farmer from Kenya who is recognized not only for abandoning tobacco farming and moving to high protein beans, but also for training hundreds of other farmers so that they too can get out of tobacco farming and build a healthy society better.