Latifa yupo ndani ya mgahawa.
Latifa ist im Restaurant.
Kimi is in a restaurant.
Latifa est au restaurant.
Ana miadi na Rajabu.
Er hat einen Termin mit Rajab.
She has a date with Saul.
Il a rendez-vous avec Rajab.
Latifa hamjui Rajabu.
Latifa kennt Rajab nicht.
Kimi doesn't know Saul.
Latifa ne connaît pas Rajab.
Lakini ni rafiki wa rafiki yake.
But he is a friend of a friend.
Rajabu anakuja ndani ya muda, na anasema "Habari!"
Saul comes on time.
Anauliza, "Wewe ni Rajabu? Mimi ni Latifa."
He says “Hello” and Kimi says “Hi”.
Rajabu anakaa chini, na Latifa anamtizama.
Saul sits down, and Kimi looks at him.
Anawaza kuwa ni mtanashati sana.
Er denkt, dass er sehr gutaussehend ist.
She thinks he is very handsome.
Latifa anatabasamu, na Rajabu anamtazama.
Latifa lächelt und Rajabu sieht sie an.
Kimi smiles, and Saul looks at her.
"Una tabasamu zuri." Rajabu akasema.
"Sie haben ein schönes Lächeln." sagte Rajab.
“You have a nice smile,” Saul says.
Hii ni hadithi hiyo ikisimuliwa na Latifa.
Here is the same story told in a different way.
Nipo ndani ya mgahawa.
I am in a restaurant.
Nina miadi na Rajabu.
I have a date with Saul.
Simjui Rajabu.
I don't know Saul.
Lakini ni rafiki wa rafiki yangu.
But he is a friend of a friend.
Anakuja ndani ya muda, na anasema "Habari!"
Er kommt rechtzeitig und sagt „Hallo!“
He comes on time.
Ninamuuliza, "Wewe ni Rajabu? Mimi ni Latifa."
He says “Hello”, and I say “Hi”.
Anakaa chini, na ninamtizama.
He sits down, and I look at him.
Ninawaza kuwa ni mtanashati sana.
Ich finde, er ist sehr hübsch.
I think he is very handsome.
Ninatabasamu, na Rajabu ananitazama.
I smile, and Saul looks at me.
"Una tabasamu zuri." Rajabu akasema.
“You have a nice smile,” Saul says.
Maswali:
Questions:
1) Latifa yupo katika mgahawa.
One: Kimi is at a restaurant.
Je, Latifa yupo nyumbani?
Is Kimi at home?
Hapana, Latifa hayupo nyumbani.
No, Kimi is not at home.
Yupo katika mgahawa.
She is at a restaurant.
2) Latifa ana miadi na Rajabu.
Two: Kimi has a date with Saul.
Je, Latifa ana miadi na Nathan?
Does Kimi have a date with George?
Hapana, Latifa hana miadi na Nathan.
No, Kimi does not have a date with George.
Ana miadi na Rajabu.
She has a date with Saul.
3) Latifa hamjui Rajabu, lakini ni rafiki wa rafiki yake.
Three: Kimi does not know Saul, but he is a friend of a friend.
Je, Latifa anamjua Rajabu?
Does Kimi know Saul?
Hapana, Latifa hamjui Rajabu, lakini ni rafiki wa rafiki yake.
No, Kimi does not know Saul, but he is a friend of a friend.
4) Rajabu anakuja kwenye mgahawa ndani ya muda.
Four: Saul comes to the restaurant on time.
Je, Rajabu amechelewa?
Does Saul come to the restaurant on time?
Hapana, Rajabu hajachelewa.
Yes, Saul comes to the restaurant on time.
Amefika katika mgahawa ndani ya muda.
He has arrived at the restaurant in time.
5) Rajabu anasema "Habari!" kwa Latifa.
Five: Saul says “Hello!” to Kimi.
Je, Rajabu anasema lolote kwa Latifa?
Does Saul say, “Hello”?
Ndiyo, Rajabu anasema "Habari!" kwa Latifa.
Yes, Saul says “Hello!” to Kimi.
6) Latifa anamuuliza Rajabu kama yeye ni Rajabu.
6) Latifa fragt Rajabu, ob er Rajabu ist.
Six: Kimi thinks Saul is handsome.
Je, Latifa anamuuliza Rajabu swali?
Does Kimi think Saul is handsome?
Ndiyo, Latifa anamuuliza Rajabu kama yeye ni Rajabu.
Yes, Kimi thinks Saul is handsome.
7) Latifa anawaza kwamba Rajabu ni mtanashati.
Seven: Saul looks at Kimi.
Je, Latifa anawaza Rajabu ni mtanashati?
Does Saul look at Kimi?
Ndiyo, Latifa anawaza Rajabu ni mtanashati.
Yes, Saul looks at Kimi.
8) Rajabu anasema Latifa ana tabasamu zuri.
Eight: Saul says Kimi has a nice smile.
Je, Rajabu anapenda tabasamu la Latifa?
Does Saul say he likes Kimi's smile?
Ndiyo, Rajabu anasema Latifa ana tabasamu zuri.
Yes, Saul says Kimi has a nice smile.