×

Vi använder kakor för att göra LingQ bättre. Genom att besöka sajten, godkänner du vår cookie-policy.

image

LingQ Mini Stories, 46 - Mukeni Ana Hofu Kuhusu Wasilisho Lake

Mukeni atapanda ndege kuelekea Los Angeles usiku wa leo.

Ana wasilisho muhimu la mauzo la kutoa hapo.

Ana wasiwasi sana kuhusu hilo, kwani hii itakuwa mara yake ya kwanza kuzungumza mbele ya hadhira kubwa.

Mwajiri wake alimwambia ni muhimu sana kwamba afanye kazi nzuri.

Alisema kuwa mafanikio ya bidhaa hiyo mpya yalitegemea yeye.

Mukeni hapendi shinikizo la aina hii.

Ana wasiwasi kwamba atafukuzwa kazi ikiwa atafanya makosa.

Walakini, anajaribu kufikiria vyema.

Labda kama atafanya vizuri, atapandishwa cheo badala yake.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti.

Ninapanda ndege kuelekea Los Angeles usiku wa leo.

Nina wasilisho muhimu la mauzo la kutoa hapo.

Nina wasiwasi sana kuhusu hilo, kwa kuwa hii itakuwa mara yangu ya kwanza kuzungumza mbele ya hadhira kubwa.

Mwajiri wangu aliniambia ni muhimu sana nifanye kazi nzuri.

Alisema kuwa mafanikio ya bidhaa mpya inategemea mimi.

Sipendi shinikizo la aina hii.

Nina wasiwasi nitafukuzwa kazi nikikosea.

Walakini, ninajaribu kufikiria vyema.

Labda nikifanya vizuri, nitapandishwa cheo badala yake.

Maswali:

Moja: Mukeni atapanda ndege kuelekea LA usiku wa leo.

Mukeni atapanda ndege lini?

Mukeni atapanda ndege kuelekea LA usiku wa leo.

Mbili: Ana wasilisho muhimu la mauzo la kutoa hapo.

Atakuwa anafanya nini huko?

Ana wasilisho muhimu la mauzo la kutoa hapo.

Tatu: Ana wasiwasi sana kuhusu hilo, kwa kuwa hii itakuwa mara yake ya kwanza kuzungumza mbele ya hadhira kubwa.

Mbona ana woga sana?

Kwa sababu hii itakuwa mara yake ya kwanza kuzungumza mbele ya hadhira kubwa.

Nne: Mwajiri wake alimwambia ni muhimu sana kwamba afanye kazi nzuri.

Mwajiri wake alimwambia nini?

Mwajiri wake alimwambia ni muhimu sana kwamba afanye kazi nzuri.

Tano: Alisema kuwa mafanikio ya bidhaa mpya inategemea yeye.

Alisema nini?

Alisema kuwa mafanikio ya bidhaa mpya inategemea yeye.

Sita: Mukeni ana wasiwasi kwamba atafukuzwa kazi ikiwa atafanya makosa.

Ana wasiwasi gani?

Ana wasiwasi kwamba atafukuzwa kazi ikiwa atafanya makosa.

Saba: Hata hivyo, anajaribu kufikiria vyema.

Anajaribu kufikiria vipi?

Anajaribu kufikiria vyema.

Nane: Labda kama Mukeni atafanya vizuri, atapandishwa cheo badala yake.

Nini kinaweza kutokea ikiwa atafanya vizuri?

Labda kama Mukeni atafanya vyema, atapandishwa cheo badala yake.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Mukeni atapanda ndege kuelekea Los Angeles usiku wa leo. Mukeni|wird steigen|Flugzeug|nach|Los|Angeles|Nacht||heute Mukeni|will board|plane|to|Los|Angeles|night|of|today Mukeni wird heute Abend ein Flugzeug nach Los Angeles besteigen. Lin will be catching a flight to Los Angeles tonight.

Ana wasilisho muhimu la mauzo la kutoa hapo. |Präsentation|wichtig||Verkauf||verkaufen| She|presentation|important|of|sales|to|provide|there Er hat dort eine wichtige Verkaufspräsentation zu halten. She has an important sales presentation to give there.

Ana wasiwasi sana kuhusu hilo, kwani hii itakuwa mara yake ya kwanza kuzungumza mbele ya hadhira kubwa. |Sorge||über||denn|das|||||||vor||Publikum| She|worry|very|about|that|because|this|will be|time|her|of|first|to speak|in front of|of||large She is very nervous about it since this will be her first time speaking in front of a large audience.

Mwajiri wake alimwambia ni muhimu sana kwamba afanye kazi nzuri. Arbeitgeber||hatte ihm gesagt||wichtig||||| The employer|his|told him|it is|important|very|that|he does|work|good Her boss told her it was very important that she do a good job.

Alisema kuwa mafanikio ya bidhaa hiyo mpya yalitegemea yeye. ||Erfolg||Produkt|||hingen von| He said|that|success|of|product|that|new|depended|on him He said that the success of the new product depended on her. Il a déclaré que le succès du nouveau produit dépendait de lui.

Mukeni hapendi shinikizo la aina hii. ||Druck||Art| Mukeni|does not like|pressure|of|type|this Mukeni mag diesen Druck nicht. Lin doesn't like this kind of pressure. Mukeni n'aime pas ce genre de pression.

Ana wasiwasi kwamba atafukuzwa kazi ikiwa atafanya makosa. |hat Angst||wird gefeuert||||Fehler He|worries|that|will be fired|job|if|he makes|mistakes She's worried that she will get fired if she makes a mistake.

Walakini, anajaribu kufikiria vyema. aber||denken|gut However|he/she is trying|to think|well Nevertheless, she's trying to think positively.

Labda kama atafanya vizuri, atapandishwa cheo badala yake. vielleicht|wenn|||wird befördert|Rangordnung|statt| Maybe|if|he/she will perform|well|he/she will be promoted|rank|instead|his/her Maybe if she does well, she will get promoted instead. Peut-être que s’il réussit, il sera promu à la place.

Hapa kuna hadithi sawa iliyosimuliwa kwa njia tofauti. Here|there is|story|same|told|in|way|different Here is the same story told in a different way.

Ninapanda ndege kuelekea Los Angeles usiku wa leo. ich steige ein||||||| I board|plane|towards|Los|Angeles|night|of|today I am catching a flight to Los Angeles tonight.

Nina wasilisho muhimu la mauzo la kutoa hapo. |Präsentation|wichtig||Verkauf||geben| I have|presentation|important|of|sales|of|delivery|there I have an important sales presentation to give there.

Nina wasiwasi sana kuhusu hilo, kwa kuwa hii itakuwa mara yangu ya kwanza kuzungumza mbele ya hadhira kubwa. ||||||||||||||||Publikum| I have|worry|very|about|that|since|that|this|will be|time|my|of|first|to speak|in front of|of||large I am very nervous about it, since this is going to be my first time speaking in front of a large audience.

Mwajiri wangu aliniambia ni muhimu sana nifanye kazi nzuri. Mein Arbeitgeber|||||||| My employer|me||I|important|very|I do|work|good My boss told me it's very important that I do a good job.

Alisema kuwa mafanikio ya bidhaa mpya inategemea mimi. ||Erfolg||Produkt||abhängt| He said|that|success|of|product|new|depends on|me He said that the success of the new product depends on me.

Sipendi shinikizo la aina hii. |Druck||| I don't like|pressure|of|type|this I don't like this kind of pressure.

Nina wasiwasi nitafukuzwa kazi nikikosea. ||ich werde gefeuert||wenn ich einen Fehler mache I have|worry|I will be fired|job|if I make a mistake I'm worried I'll get fired if I make a mistake.

Walakini, ninajaribu kufikiria vyema. aber|||gut However|I am trying|to think|well Nevertheless, I'm trying to think positively.

Labda nikifanya vizuri, nitapandishwa cheo badala yake. |ich mache||werde befördert||| Maybe|I do|well|I will be promoted|rank|instead|of him/her Maybe if I do well, I'll get promoted instead.

Maswali: Questions Questions:

Moja: Mukeni atapanda ndege kuelekea LA usiku wa leo. One|Mukeni|will board|plane|towards|LA|night|of|today One: Lin will be catching a flight to LA tonight.

Mukeni atapanda ndege lini? Mukeni|will board|flight|when When will Lin be catching a flight?

Mukeni atapanda ndege kuelekea LA usiku wa leo. Mukeni|will board|plane|to|Los Angeles|night|of|today Lin will be catching a flight to LA tonight.

Mbili: Ana wasilisho muhimu la mauzo la kutoa hapo. |||||Verkäufe||| Two|He has|presentation|important|of|sales|to|provide|there Two: She has an important sales presentation to give there.

Atakuwa anafanya nini huko? |||dort He will be|doing|what|there What will she be doing there?

Ana wasilisho muhimu la mauzo la kutoa hapo. ||||||verkaufen| She|presentation|important|of|sales|of|delivery|there She has an important sales presentation to give there.

Tatu: Ana wasiwasi sana kuhusu hilo, kwa kuwa hii itakuwa mara yake ya kwanza kuzungumza mbele ya hadhira kubwa. ||Sorgen||über|||||||||||||Publikum| Tatu|He|worry|very|about|that|because|that|this|will be|time|his|of|first|to speak|in front of|of||large Three: She is very nervous about it, since this will be her first time speaking in front of a large audience.

Mbona ana woga sana? warum||Angst| Why|he has|fear|very much Why is she very nervous?

Kwa sababu hii itakuwa mara yake ya kwanza kuzungumza mbele ya hadhira kubwa. |||||||||vor||Publikum| For|this|reason|it will be|time|his|of|first|to speak|in front of|of|audience|large Because this will be her first time speaking in front of a large audience.

Nne: Mwajiri wake alimwambia ni muhimu sana kwamba afanye kazi nzuri. Four|Employer|his|told him|it is|important|very|that|he does|work|well Four: Her boss told her it's very important that she do a good job.

Mwajiri wake alimwambia nini? Employer|his|told him|what What did her boss tell her?

Mwajiri wake alimwambia ni muhimu sana kwamba afanye kazi nzuri. The employer|his|told him|it is|important|very|that|he does|work|good Her boss told her it's very important that she do a good job.

Tano: Alisema kuwa mafanikio ya bidhaa mpya inategemea yeye. |||Erfolg||||abhängt| Five|He said|that|success|of|product|new|depends on|him Five: He said that the success of the new product depends on her.

Alisema nini? He said|what What did he say?

Alisema kuwa mafanikio ya bidhaa mpya inategemea yeye. He said|that|success|of|product|new|depends on|him He said that the success of the new product depends on her.

Sita: Mukeni ana wasiwasi kwamba atafukuzwa kazi ikiwa atafanya makosa. |||Ängste|||||| Sita|Mukeni|has|worry|that|will be fired|job|if|he makes|mistakes Six: Lin is worried she'll get fired if she makes a mistake.

Ana wasiwasi gani? She has|worries|what What is she worried about?

Ana wasiwasi kwamba atafukuzwa kazi ikiwa atafanya makosa. |||wird gefeuert|||| He|worries|that|will be fired|job|if|he makes|mistakes She's worried she'll get fired if she makes a mistake.

Saba: Hata hivyo, anajaribu kufikiria vyema. |sogar|||| Saba|However|thus|he/she is trying|to think|well Seven: Nevertheless, she's trying to think positively.

Anajaribu kufikiria vipi? He is trying|to think|how How is she trying to think?

Anajaribu kufikiria vyema. |denken|gut He is trying|to think|well She's trying to think positively.

Nane: Labda kama Mukeni atafanya vizuri, atapandishwa cheo badala yake. |||||||Rangordnung|| Eight|Maybe|if|Mukeni||well|will be promoted|rank|instead|of him Eight: Maybe if Lin does well, she'll get promoted instead.

Nini kinaweza kutokea ikiwa atafanya vizuri? |kann|passieren||| What|can|happen|if|he/she does|well Was kann passieren, wenn es ihm gut geht? What might happen if she does well?

Labda kama Mukeni atafanya vyema, atapandishwa cheo badala yake. vielleicht|||||||| Maybe|if|Mukeni||well|will be promoted|rank|instead|of him Maybe if Lin does well, she'll get promoted instead.