×

Vi använder kakor för att göra LingQ bättre. Genom att besöka sajten, godkänner du vår cookie-policy.

image

LingQ Mini Stories, 7- Ninafanya Kazi Ofisini

Joseph anafanya kazi ofisini.

Ametingwa sana na kazi kila siku.

Huwa ana vikao vingi na wateja wake.

Joseph huwa hapendi vikao hivi.

Huwa anafikiri kwamba vinaboa sana.

Baadhi ya wateja ni wakarimu kwa Joseph.

Ila, baadhi ya wateja sio wakarimu.

Joseph huwa anachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana.

Anaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja.

Huwa anasubiri kila siku saa kumi na moja ifike.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Joseph.

Ninafanya kazi ofisini.

Huwa nimetingwa sana na kazi kila siku.

Huwa nina vikao vingi na wateja wangu.

Sivipendi vikao hivi.

Ninafikiria kwamba vinaboa sana.

Baadhi ya wateja ni wakarimu kwangu.

Ila, baadhi ya wateja sio wakarimu.

Huwa ninachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana.

Ninaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja jioni.

Huwa ninasubiri kila siku saa kumi na moja ifike.

Maswali.

1) Joseph anafanya kazi ofisini. Je, Joseph anafanya kazi shuleni? Hapana, Joseph anafanya kazi ofisini.

2) Joseph huwa ametingwa sana na kazi kila siku. Je, Joseph ametingwa sana na kazi? Ndiyo, Joseph ametingwa sana na kazi kila siku.

3) Joseph huwa ana vikao vingi na wateja wake. Je Joseph huwa ana vikao vichache? Hapana, Joseph huwa ana vikao vingi na wateja wake.

4) Joseph huwa anafikiri kwamba vikao vinaboa. Je, Joseph anafikiri vikao vinaboa? Ndiyo, Joseph huwa anafikiri vikao vinaboa.

5) Baadhi ya wateja ni wakarimu. Je, wateja wote ni wakarimu? Hapana, baadhi ya wateja ni wakarimu.

6) Joseph huwa anachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana. Je, Joseph huwa anachukua mapumziko mafupi muda wa chakula cha mchana? Hapana, huwa hachukui mapumziko mafupi. Huwa anachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana.

7) Joseph anaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja jioni. Je, Joseph anaweza kwenda nyumbani saa kumi? Hapana, anaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Joseph anafanya kazi ofisini. Joseph|works|job|in the office James works in an office. Joseph trabaja en una oficina. Joseph travaille dans un bureau.

Ametingwa sana na kazi kila siku. is busy||||| Er ist jeden Tag sehr beschäftigt mit der Arbeit. He is very busy every day. Está muy ocupado con el trabajo todos los días. Il est très occupé par son travail chaque jour. Hij is elke dag erg druk met zijn werk.

Huwa ana vikao vingi na wateja wake. He usually|has|meetings|many|with|clients|his Er hat viele Sitzungen mit seinen Kunden. He has many meetings with his customers. Tiene muchas sesiones con sus clientes. Hij heeft veel sessies met zijn cliënten.

Joseph huwa hapendi vikao hivi. Joseph|usually|does not like|meetings|these James does not like these meetings.

Huwa anafikiri kwamba vinaboa sana. He usually|thinks|that|they are boring|very Er findet sie immer sehr langweilig. He thinks they are very boring. Siempre piensa que son muy aburridos.

Baadhi ya wateja ni wakarimu kwa Joseph. Some|of|customers|are|generous|to|Joseph Einige Kunden sind Joseph gegenüber großzügig. Some customers are friendly to James. Sommige klanten zijn genereus tegenover Joseph.

Ila, baadhi ya wateja sio wakarimu. But|some|of|customers|are not|generous Some customers are not nice, though. Sin embargo, algunos clientes no son generosos.

Joseph huwa anachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana. Joseph||takes|breaks|long|time|of|meal|of|lunch James takes long lunch breaks.

Anaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja. He can|go|home|o'clock|ten|and|one He can go home at five. Puede volver a casa a las once.

Huwa anasubiri kila siku saa kumi na moja ifike. He usually|waits|every|day|hour|ten|and|one|arrives Er wartet jeden Tag auf elf Uhr. He waits every day for five to come. Espera todos los días a que lleguen las once. Hij wacht elke dag tot elf uur voordat hij arriveert.

Hii ni hadithi hiyo, ikisimuliwa na Joseph. This|is|story|that|narrated|by|Joseph Here is the same story told in a different way. Esta es esa historia, contada por José.

Ninafanya kazi ofisini. I work|work|in the office I work in an office.

Huwa nimetingwa sana na kazi kila siku. I am usually|overwhelmed|very|by|work|every|day I am very busy every day.

Huwa nina vikao vingi na wateja wangu. I usually|have|meetings|many|with|clients|my I have many meetings with my customers.

Sivipendi vikao hivi. I don't like|meetings|these I do not like these meetings.

Ninafikiria kwamba vinaboa sana. I think|that|they are boring|very I think they are very boring.

Baadhi ya wateja ni wakarimu kwangu. Some|of|customers|are|generous|to me Some customers are friendly to me. Algunos clientes son amables conmigo.

Ila, baadhi ya wateja sio wakarimu. But|some|of|customers|are not|generous Some customers are not nice, though.

Huwa ninachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana. I usually|take|breaks|long|time|of|meal|of|lunch I take long lunch breaks.

Ninaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja jioni. I can|go|home|o'clock|ten|and|one|evening Ich kann um 17 Uhr nach Hause gehen. I can go home at five.

Huwa ninasubiri kila siku saa kumi na moja ifike. I usually|wait|every|day|hour|ten|and|one|to arrive I wait every day for five to come.

Maswali. Questions Questions:

1) Joseph anafanya kazi ofisini. Joseph|works|job|in the office One: James works in an office. Je, Joseph anafanya kazi shuleni? question particle|Joseph|does he do|work|at school Does James work at a school? Hapana, Joseph anafanya kazi ofisini. No|Joseph|works|job|in the office No, James works in an office.

2) Joseph huwa ametingwa sana na kazi kila siku. Joseph|is|overwhelmed|very|by|work|every|day Two: James is very busy every day. Je, Joseph ametingwa sana na kazi? Is James very busy? Ndiyo, Joseph ametingwa sana na kazi kila siku. Yes|Joseph|is overwhelmed|very|by|work|every|day Yes, James is very busy every day.

3) Joseph huwa ana vikao vingi na wateja wake. Joseph|usually|has|meetings|many|with|clients|his Three: James has many meetings with his customers. Je Joseph huwa ana vikao vichache? |||||few Does James have a few meetings? Hapana, Joseph huwa ana vikao vingi na wateja wake. No|Joseph|||meetings|many|and|clients|his No, James has many meetings with his customers.

4) Joseph huwa anafikiri kwamba vikao vinaboa. Joseph||thinks|that|meetings|are boring Four: James thinks the meetings are boring. Je, Joseph anafikiri vikao vinaboa? ||thinks|meetings|are boring Does James think the meetings are boring? Ndiyo, Joseph huwa anafikiri vikao vinaboa. Yes|Joseph|usually|thinks|meetings|are boring Yes, James thinks the meetings are boring.

5) Baadhi ya wateja ni wakarimu. Some|of|customers|are|generous Five: Some of the customers are friendly. Je, wateja wote ni wakarimu? ||all|| Are all the customers friendly? Hapana, baadhi ya wateja ni wakarimu. No|some|of|customers|are|generous No, some of the customers are friendly.

6) Joseph huwa anachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana. Joseph||takes|breaks|long|time|of|meal|of|lunch Six: James takes long lunch breaks. Je, Joseph huwa anachukua mapumziko mafupi muda wa chakula cha mchana? question particle|Joseph||takes|breaks|short|time|of|meal|of|lunch Does James take short lunch breaks? Hapana, huwa hachukui mapumziko mafupi. No||he doesn't take|breaks|short No, he does not take short breaks. Huwa anachukua mapumziko marefu muda wa chakula cha mchana. He usually|takes|breaks|long|time|of|meal|for|lunch He takes long lunch breaks.

7) Joseph anaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja jioni. Joseph|can|go|home|hour|ten|and|one|evening Seven: James can go home at five. Je, Joseph anaweza kwenda nyumbani saa kumi? question particle|Joseph|can|go|home|hour|ten Can James go home at four? Hapana, anaweza kwenda nyumbani saa kumi na moja. No|he can|go|home|hour|ten|and|one No, he can go home at five.