Sawa, lakini nina shughuli.
Okay|but|I have|task
OK but I am busy.
Unahitaji kuharakisha.
You need|to hurry
You had better hurry.
Tafadhali subiri.
Please|wait
Please wait.
Nahitaji sana msaada wako.
I need|very|help|your
I really need you to help me.
Siwezi kutumia siku nzima nikijibu tu maswali yako.
I cannot|spend|day|whole|if I answer|only|questions|your
I cannot spend the whole day just answering your questions.
Sijali ikiwa nitapata tiketi ya maegesho.
I don't care|if|I will get|ticket|of|parking
I do not care if I get a parking ticket.
Nataka unisaidie.
I want|you to help me
I want you to help me.
Na je ingekuwa ndugu yako?
And|question particle|would be|sibling|your
What if it were your brother?
Ungekuwa katika hali sawa na mimi.
You would be|in|situation|same|as|me
You would be in the same situation as me.
Naam, nimeelewa.
Yes|I understand
Well, get to the point.
Unataka kujua nini?
Do you want|to know|what
What do you want to know?
Na ningekupa dola mia moja?
And|I would give you|dollars|one hundred|one
What if I gave you one hundred dollars?
Je! Ungenisaidia kujua zaidi kuhusu kile ndugu yangu na mwenzake wanafanya?
|you would help me|to know|more|about|what|brother|my|and|his colleague|they are doing
Would you help me find out more about what my brother and his roommate are doing?
Unataka nimpeleleze ndugu yako?
Do you want|I to spy on|brother|your
You want me to spy on your brother?
La, siwezi kufanya hilo.
No|I can not|do|that
No, I will not do that.
Sio haki kwa ndugu yako.
It is not|fair|to|brother|your
It is not fair to your brother.
Na nikikupa dola mia tano, je, utafanya hivyo?
And|if I give you|dollars|one hundred|five|question particle|will you do|that
What if I give you five hundred dollars, would you do it then?
Hilo ni jambo lingine.
That|is|thing|another
That is a different story.
Bila shaka sifai kufanya hivyo, lakini kwa dola mia tano naweza kufanya hivyo.
Without|doubt|I should|to do|that|but|with|dollars|one hundred|five|I can|to do|that
Of course I really should not do it, but for five hundred dollars, I might be willing to do it.
Vizuri, Sasa nafahamu aina ya mtu nafanya kazi naye..
Well|Now|I understand|type|of|person|I work|work|with him
Good, Now I know the kind of person I am dealing with.
Unamaanisha nini kwa hilo?
What do you mean|what|by|that
What do you mean by that?
Wataka msaada wangu au la?
Do you want|my help|your|or|no
Do you want my help or not?
Ndiyo, nataka msaada wako.
Yes|I want|help|your
Yes I want your help.