×

Vi använder kakor för att göra LingQ bättre. Genom att besöka sajten, godkänner du vår cookie-policy.

image

Who is She?, 15- Sitakusaidia

Unataka pesa kiasi gani?

Nitakueleza mara ngapi?

Sitakusaidia.

Sawa, basi nitakueleza ukweli.

Hatimaye, ukweli!

Ndugu yangu amerithi pesa nyingi kutoka kwa jamaa aliyefariki.

Hilo linanihusu kivipi?

Nataka kuhakikisha kuwa hajaoa, au kuishi katika uhusiano na msichana huyu.

Kwa nini jambo hilo lina umuhimu kwako?

Sitaki msichana apate pesa yoyote.

Kwa hivyo nahitaji msaada wako.

Ingawa wanaishi pamoja, sidhani kwamba hili linampa haki ya kupokea baadhi ya fedha.

Unajua nini kuhusu mambo hayo?

Hakika wewe si wakili.

Learn languages from TV shows, movies, news, articles and more! Try LingQ for FREE

Unataka pesa kiasi gani? Do you want|money|how much|much How much money do you want?

Nitakueleza mara ngapi? I will explain to you|how many times|how many How many times do I have to tell you?

Sitakusaidia. I will not help you I will not help you.

Sawa, basi nitakueleza ukweli. okay|then|I will tell you|the truth OK I will tell you the truth.

Hatimaye, ukweli! Finally|the truth Now it comes out.

Ndugu yangu amerithi pesa nyingi kutoka kwa jamaa aliyefariki. My brother|my|inherited|money||from|by|relative|who died My brother has just received a lot of money from a relative who died.

Hilo linanihusu kivipi? That|concerns me|how What has that got to do with me?

Nataka kuhakikisha kuwa hajaoa, au kuishi katika uhusiano na msichana huyu. I want|to ensure|that|he is not married|or|to live|in|relationship|with|girl|this I want to make sure that he is not married or living in a relationship with this girl.

Kwa nini jambo hilo lina umuhimu kwako? Why|question particle|thing|that|has|importance|to you Why does that matter to you?

Sitaki msichana apate pesa yoyote. I don't want|girl|to receive|money|any I do not want the girl to get any of this money.

Kwa hivyo nahitaji msaada wako. So|I need|your help|your|help Therefore I need your help.

Ingawa wanaishi pamoja, sidhani kwamba hili linampa haki ya kupokea baadhi ya fedha. Although|they live|together|I don't think|that|this|gives him|right|to|receive|some|of|money Even if they are living together, I do not think that this gives her the right to share in the money.

Unajua nini kuhusu mambo hayo? Do you know|what|about|things|those What do you know about things like that?

Hakika wewe si wakili. surely|you|are not|lawyer You are certainly no lawyer.